CHADEMA, mnatoa lini ripoti yenu ya Uchaguzi 2010?

Taifa_Kwanza

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
443
86
Report yenu ya Uchaguzi Mkuu inatoka lini? Naona kama inachukua Muda mrefu sana, why? au mimi ndio niko behind timu?
 
Tatizo la XHEDEMA hawana dira wala muelekeo! yaani wamekuwa kama wapinzani wa Gadafi wanataka mabadiliko lakini hawajui nani kiongozi wao au nini siasa na manifesto yao wakikamata dola itaongozwaje!!

CDM hawamalizi kazi moja ili matunda yake yaonekane! baada ya uchaguzi Mgombea wao wa Urais akiwa na Mwenyekiti wake walitutaka Watz tutulie ili waje kutoa taarifa yao yenye ushahidi tosha kuhusu uchakachuaji wa kura!

kabla ya hapo walikuwa na ziara zao mikoani zilizoitwa Sangara!
Badala ya kutimiza ahadi walizowapa wananchi ya kuwaletea maendeleo pindi chama chao kikiongoza halmashauri za Wilaya na manispaa, wakarukia issue ya kususia vikao vya bunge!

Walipoona hakuna kinachoeleweka wakaamua kuleta za kuleta huko Arusha na matokeo yake kila mtu kashuhudia!

Walipoona nchi za Waarabu ambao maisha yao yote hawajawahi kufanya uchaguzi wala kumiliki magazeti huru kama TANZANIA DAIMA(MBOWE) au MWANAHALISI wakaona huu ndio wakati hasa wa kukamata Dola kwa staili ya Tunisia na Egypt! hapo napo bado hakijaeleweka!

Sasa wanataka kutumia issue ya Babu wa Loliondo kwa kuwapeleka wagonjwa ili wakapate kikombe na baadae watangaze kuwa Serikali imeshindwa kutibu watu na jukumu hilo waachiwe wao ili waendelee kusafirisha Wagonjwa huko Loliondo kwa kutumia magari ya Kada wao wa Moshi Mzee Ndesamburo!

Sasa kama ya Loliondo haitaeleweka sijui karata yao nyingine itakuwa ipi!!

Very cheap Politics!!!!!!
 
Katafute pakufia kwani ukikosa hoja lazima uchangie? Maswala mengine umeyaelezea pasipo husika kwani kipimo cha dira nikufumbia macho maovu cdm inadira na muelekeo nda ndosababu inafanya hayo yote tena sio kwa bahati mbaya bali nikwakukusudia kukiweka chama actv na kuhakikisha wanafanya kilalinalo wezekana kuhamasisha wananch wasiwe majuha wakukubali pasipo kujua undani. Embu tizama baada ya maandamano yakanda yaziwa serikali imeshtuka naccm ikitikisika, baada yakususia vkao vyabunge mkwere akaomba kukaa meza moja na slaa kuzungumza jinsi gani asamehewe amalizie haitosh kawatuma waislam kuzunguka nchi nzima kutangaza udini mfano huko tabora walifanya mkutano wa waislam kuping jk kukosolewa na wakristo utadhani ni rais wa waislam pekee.

Kwauzembe wenu wenyewe wa kufuatilia mambo mmeshindwa kujua kwamba serikali iliwatuma viongozi wa dini kwenda kuwaomba cdm wasitoe hiyo ripot kwa kisingizio cha amani sasa cdm kukubari hilo ombi imekua kosa.
 
Tatizo la XHEDEMA hawana dira wala muelekeo! yaani wamekuwa kama wapinzani wa Gadafi wanataka mabadiliko lakini hawajui nani kiongozi wao au nini siasa na manifesto yao wakikamata dola itaongozwaje!!

CDM hawamalizi kazi moja ili matunda yake yaonekane! baada ya uchaguzi Mgombea wao wa Urais akiwa na Mwenyekiti wake walitutaka Watz tutulie ili waje kutoa taarifa yao yenye ushahidi tosha kuhusu uchakachuaji wa kura!

kabla ya hapo walikuwa na ziara zao mikoani zilizoitwa Sangara!
Badala ya kutimiza ahadi walizowapa wananchi ya kuwaletea maendeleo pindi chama chao kikiongoza halmashauri za Wilaya na manispaa, wakarukia issue ya kususia vikao vya bunge!

Walipoona hakuna kinachoeleweka wakaamua kuleta za kuleta huko Arusha na matokeo yake kila mtu kashuhudia!

Walipoona nchi za Waarabu ambao maisha yao yote hawajawahi kufanya uchaguzi wala kumiliki magazeti huru kama TANZANIA DAIMA(MBOWE) au MWANAHALISI wakaona huu ndio wakati hasa wa kukamata Dola kwa staili ya Tunisia na Egypt! hapo napo bado hakijaeleweka!

Sasa wanataka kutumia issue ya Babu wa Loliondo kwa kuwapeleka wagonjwa ili wakapate kikombe na baadae watangaze kuwa Serikali imeshindwa kutibu watu na jukumu hilo waachiwe wao ili waendelee kusafirisha Wagonjwa huko Loliondo kwa kutumia magari ya Kada wao wa Moshi Mzee Ndesamburo!

Sasa kama ya Loliondo haitaeleweka sijui karata yao nyingine itakuwa ipi!!

Very cheap Politics!!!!!!

Hao hawana DIRA; Sisi dira yetu ni HARI ZAIDI, NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI in unknown direction.
 
maneno sawia kabisa. lakini subiri kashfa na matusi toka kwa wanachama wa Chadema wasiopenda kuelezwa ukweli.
 
Back
Top Bottom