Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Chadema wacheni kutaka kuichafua nchi,kila siku mnazua jipya linaloashiria upotevu wa amani katika Taifa hili la Tanzania,inawezekana kabisa kuwa baadhi yenu hawana uzalendo na nchi hii na wana na wamejaa choyo.
Kukosa Uraisi kwa Slaa imekuwa nongwa na sasa inaonekana weengi wenu mnaburuzwa katika mkondo wa kuanzisha vurugu ,ili kufikia malengo yenu ,wandugu malengo ya kuukwaa Uraisi hayatafutwi kwa njia za fujo na vurugu.
Mambo mnayoonyesha sasa ni kuwa mnataka kujichukulia sheria mikononi mwenu mnataka kushindana na dola au tuseme vyombo vya dola,mnavipima nguvu,yaani ikiwa hamkuruhusiwa mtatumia wananchi kuwasukuma katika kujinyakulia madaraka ya amri ili mufanye kile ambacho hamkuruhusiwa.
Kama nyinyi au viongozi wa Chademaa wanaitakia amani nchi hii basi ni bora mufuate njia za kisiasa na sio kujinyakulia nguvu za kufanya mtakacho,hii nchi inaongozwa na serikali ambayo ilitangazwa na tume kuwa ndio iliyoshinda uchaguzi ,na nyie itawabidi muwe wenye kuiheshimu ,hamuwezi kutumia njia za mkato muitake ifanye yale ambayo hayaendani na sera zao.