CHADEMA mnaikosea dhana ya Demokrasia

Jibu lako ni rahisi sana nafikiri umeshajijibu KATIBA hiyo 25% unayoisema inakubalika kwa katiba tuliyonayo sasa.
Chama chenye more than 2/3rd ya bunge ndiyo kinachongoza Tanznia, kwa kuwa kinaweza kumtoa rais yoyote in a minute. Ikitokea CDM na CUF kwa pamoja wakawa na 67%... wataungana na kuwa na nguvu yakumu impeach rais?
Au watagombana kama kawaida?
 
Yaani huu uzi wako nimeusoma hadi nusu ikabidi nifikiche macho... Kumbe siyo 'Mtambuzi' Umepotoka sana kujaribu kufananisha huo usanii wa Zanzibar na hizo nchi ulizotaja. Hebu nenda mbele kidogo tu twambie ile ajali ya meli ingetokea ktk mojawapo ya nchi hizo hatua gani zingechukuliwa? Kwa hao uliotaja kipaumbele ni maslahi ya raia wao, siyo ving'ang'anizi wa madaraka. Tatizo la Zanzibar ni ccm na tume yao ya uchaguzi kutoheshimu matakwa ya wapiga kura, na hilo halijatatuliwa hadi leo. Au unataka kutwambia kuwa sasa wana serikali iliyo bora zaidi? Ni lini sera za ccm na Cuf zilifanana?
 
Kwanini Chadema na wafuasi wake wanataka kuwafanya wananchi waelewe kwamba suala la ‘coalition government’ ni jipya na halipo katika duru za siasa ulimwenguni? Kwanini wanadanganya wananchi kwamba CUF sasa imejizika kama chama pinzani na vilivyobakia ni vingine kama Chadema, NCCR na kadhalika?

Binafsi nilikubaliana kabisa na msimamo wa Chadema juu ya kukataa kuunda kambi ya upinzani pamoja na CUF, na sikutegemea katika watu wote, Zitto angegwaya uamuzi ule wa wenzake ‘to walk away’ from the president. Lakini hili la kuendelea kuibeza CUF ionekane kama msaliti sio sawa. Ina maana ikitokea Chadema wakawa in the same position kama CUF leo hii na kupelekea CCM kuchukua uamuzi wa kuunda na serikali ya pamoja na Chadema, Chadema watakataa? Wakikataa kimsingi hii itakuwa ni usaliti kwa wapiga kura; itaonyesha jinsi gani viongozi wa chadema wana uelewa finyu juu ya demokrasia ya vyama vingi lakini vile vile uchochezi wa vurugu kwa wananchi wasioelewa.

Ni matumaini yangu na pia ya wengine wengi pamoja na wale wenye mapenzi mema kabisa na Chadema kwamba iwapo ikitokea Chadema watafanikiwa kupata kura nyingi sana majimboni kiasi cha kuifanya CCM isiweze kuunda serikali yake yenyewe, Chadema haitasita kukubali kuunda serikali ya pamoja na CCM kama wenzao CUF walivyofanya huko Zanzibar kwani hii ni hatua kubwa sana kwa chama cha upinzani kokote kule duniani, na CUF wanastahili pongezi kwa hilo, sio kubezwa.

Hata nchi kama Uingereza na nyingine nyingi tu zimeunda serikali ya pamoja kama ilivyo CUF. Mfano nchini uingereza serikali ya sasa inaitwa Con- Dem government; pia kuna nchi nyingi katika hali kama hiyo na bado haifanyi vyama husika kuwa wasaliti - mfano UK, Canada, Australia, Japan, Israel, Ireland, India, Finland, Belgium, Germany etc; ni muhimu kwa Chadema kurekebisha hili vinginevyo kwasababu mmeshamwaga maji – kwamba coalition government ni usaliti wa chama cha upinzani, basi itabidi muwe na uhakika wa kushinda by a big majority kwani isipotokea hivyo na kuishia kuunda serikali ya pamoja, hiyo ndio itakuwa kwaheri kwa Chadema na CUF wataonekana wa maana zaidi machoni kwa wananchi kuliko chadema.

Kilichotokea Zanzibar is simply a coalition government because no party on its own managed to achieve a majority in the parliament na hivyo kupelekea kuundwa kwa a cabinet of a parliamentary government. Tusiwapotoshe wananchi kwani yakiwakuta haya mtakuja umbuka sana na itakuwa too late. Tupo wana CCM tunaokipenda na kuki admire Chadema especially kwa mafanikio yake na vilevile changamoto nzuri wanazotupa CCM ili tuwe na umakini zaidi katika utawala na uendeshaji uchumi.

Tafadhali msilipoteze hilo kwani ukweli bayana ni kwamba bila Chadema Madhubuti CCM madhubuti haiwezekani.

ndugu mchambuzi acha kupotosha ukweli wa mambo,ni kweli cuf wamepoteza mvuto kwa mwafaka waliofanya na ccm zanzibar.Ushahidi ni uchaguzi wa mbunge igunga cuf walichokipata unakijua tofauti na uchaguzi mkuu wa 2010.
 
napita.
 
Jina lako "Mchmbuzi" lilinipa hamasa ya kusoma bandiko lako nikiamini litakuwa na uchmbuzi wa kina waulicholenga. Lakini nimeishia kukatishwa tamaa na hoja zako dhalili zilizojaa dharau bila heshima hata kidogo. Serikali ya umoja wa ccm na cuf zanzibar haina manufaa kwa wanachi wa kawaida zaidi ya kuwanufaisha viongozi wa juu wa cuf na ccm kimadaraka. Mbaya zaidi sera za cuf zimewekwa kapuni na kwahiyo hata ile "slogan" yao ya haki sawa kwa wote imetupiliwa mbali sasa imebaki haki sawa kwa Maalimu Sefu,Juma Duni, Hamad Rashidi na wengine malizia wewe. Kwa kawaida serikali ya mseto huundwa na vyama vyenye itikadi zinazofanana, je itikadi ya kifisadi ya CCM ndio hiyohiyo ya CUF?

Mkuu hapo nimekupata vizuri. Kama hawajui huu ndio mseto, na ni vizuri pia kukiwa na wakosoaji. Zanzibar hakuna anaewasemea walalahoi, tujiulize ni nani atamkosoa mwezie katika uongozi wakati wasemaji wote matumbo yamesha shiba. Ingekuwa ni Chadema wanataka mseto ingekuwa issue nyingine lakini sio hili shimo la CCM. Hiyo serikali ya Zanzibar (SUK) sasa wanachapa usingizi wanasubiri kipindi cha kampeni kianze tena ndio uwaone barabarani na vipaza sauti. CCM lazima mkubali kwamba CDA imewabana kisawasawa na tunaomba mungu mbanane hivyo hivyo.

Hata CDA wakichukua madaraka tunaomba na CCM ichukue uwanja wa CHADEMA kuikosoa. Mnawanyanyasa sana CHADEMA mpaka mtu anaweza kufia barabarani wakati ni nchi yake.

Hapo CCM inauhuru wa kuwa na vyama vingine KATIKA MSETO lakini sio Chadema. Mnajua siasa ya Tanzania ingekuwa nzuri sana kama kusingekuwa na haya malumbano ya askari wanaofanya kazi kwa kuogopa haki kuchukua mkondo wake. Yaani tungeirekebisha Tanzania na Afrka wangetuiga.
Zanzibar sasa hivi lazima waanze upya kutafuta chama cha kukosoa. CUF sasa hivi ipo kapuni. Ndio baba ilishapitwa na wakati.
 
1.Chama cha siasa kina jukumu la kuwashawishi wananchi ili kikabidhiwe dola.Si jukumu la chama cha upinzani kukisaidia chama tawala kutawala.
2.Kwamba kuna nchi zenye SUK ndio kuhalalisha uwepo wa SUK nchini ni uchambuzi wa kitoto sana.
3.Ni swala la mtu kuwa na akili timamu kujua muelekeo wa CUF kisiasa,kwamba eti CHADEMA kinadanganya watu kuwa CUF inakufa ni utovu wa fikra.
Naona mmeamua kuvalia njuga hii hoja hapa JF.kajipange mkuu.
 
Kati ya vitu vinavyo dhoofisha majadiliano ya JF ni hii dhana ya kusemana fulani kutumwa. Ndio maana unakuta JF haina traffic nje ya nyakati za uchaguzi au scandals; tubadilike, JF has so much potentials to give this country a turn around;
 
Mchambuzi,

tafadhali nafikiri wewe ndiye unayewapotosha wananchi, GNU haikuundwa kwa sababu hiyo katiba yetu na ya Zanzibar haihitaji lazima uwe na 50%+1 ni simple majority system, najua ulikuwa na mawazo mazuri lakini yanakosa ground supports (simple basics) kwenye katiba.

Suala la katiba nalielewa, nachofanya ni i am running ahead of that kwani katiba on simple majority haitufai tunapoelekea, kosa langu ni kwamba sikusema at the outset kwamba before kufikia hatua ya kuwaalika chadema kuunda serikali ya pamoja, CCM ikinusa hali ya kuwa na ushindani mkubwa 2015, ili kuepusha machafuko, kipengele husika kita kuwa amended ili either wawaweke Chadema ndani ya serikali au CCM wasiachwe ndani ya serikali Mpya ya Chadema; So my question bado ni lile lile: Since tunapoelekea kuna uwezekano mkubwa wa aidha chadema kushinda viti vingi au kuwa na vitu karibia sana na vya CCM, ikitokea CCM ikalazimika kuwaalika Chadema kuunda kwa serikali ya umoja, chadema watakataa???
 
Jina lako "Mchmbuzi" lilinipa hamasa ya kusoma bandiko lako nikiamini litakuwa na uchmbuzi wa kina waulicholenga. Lakini nimeishia kukatishwa tamaa na hoja zako dhalili zilizojaa dharau bila heshima hata kidogo. Serikali ya umoja wa ccm na cuf zanzibar haina manufaa kwa wanachi wa kawaida zaidi ya kuwanufaisha viongozi wa juu wa cuf na ccm kimadaraka. Mbaya zaidi sera za cuf zimewekwa kapuni na kwahiyo hata ile "slogan" yao ya haki sawa kwa wote imetupiliwa mbali sasa imebaki haki sawa kwa Maalimu Sefu,Juma Duni, Hamad Rashidi na wengine malizia wewe. Kwa kawaida serikali ya mseto huundwa na vyama vyenye itikadi zinazofanana, je itikadi ya kifisadi ya CCM ndio hiyohiyo ya CUF?

Besides jina la Uchambuzi, jina langu halisi ni Mpoki Mwambulukutu, kwahivyo kama jina mchambuzi linakusumbua, niite by my name fasta fasta. na hili jina mchambuzi lisikuogopesha in any way, maana yake ni simply an analyst meaning nachambua data and information kabla sijazi present, something which nina uhakika na wewe unakifanya - so hata wewe ni mchambuzi in disguise otherwise ungekuwa una present arguments zako humu zikichanganyikana na your emails, facebook posts, ur work from MS kwa bahati mbaya au kwa kukosa umakini;

Hili la kwamba serikali mseto hutokana na vyama vinavyofanana kiitikadi kidogo umekwenda kombo; natumaini huu ulikuwa ni utani tu, ila kama sio naomba unieleweshe zaidi maana ufisadi sio itikadi ya chama cha mapinduzi;
 
Kwenye red umedanganya!!. Katiba ya Zanzibar ilifanyiwa marekebisho kabla ya uchaguzi. Wakaweka bayana utaratibu wa serikali ya mseto (wanapenda iitwe serikali ya umoja wa kitaifa) kupitia mabadiliko haya. Unamaanisha nini?. Kwamba matokeo ya Parliamentary elections yalijulikana kabla ya Uchaguzi?. Unahitaji kuhurumiwa!!!

Unajichanganya, what i had said ni kwamba CCM ikinusa hayo, itafanya marekebisho kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 ili Chadema wakishinda basi CCM isiachwe na boti la utawala and vice versa hold; rejea my thread;
 
Suala la katiba nalielewa, nachofanya ni i am running ahead of that kwani katiba on simple majority haitufai tunapoelekea, kosa langu ni kwamba sikusema at the outset kwamba before kufikia hatua ya kuwaalika chadema kuunda serikali ya pamoja, CCM ikinusa hali ya kuwa na ushindani mkubwa 2015, ili kuepusha machafuko, kipengele husika kita kuwa amended ili either wawaweke Chadema ndani ya serikali au CCM wasiachwe ndani ya serikali Mpya ya Chadema; So my question bado ni lile lile: Since tunapoelekea kuna uwezekano mkubwa wa aidha chadema kushinda viti vingi au kuwa na vitu karibia sana na vya CCM, ikitokea CCM ikalazimika kuwaalika Chadema kuunda kwa serikali ya umoja, chadema watakataa???

Chadema hawawezi kukataa serikali ya MSETO na chama chochote iwe CUF au CCM hilo nina uhakika 100% ubavu huo hawana..

Chadema wanachofanya sasa ni kuwamaliza CUF kisiasa kwa kuwaambia ni CCM B..just ku-gain in short term ..

Wamefanikiwa lakini walivyo "wanafiki" ikitokea kwamba kuna serikali ya mseto watabadilisha wimbo..kabisa nakuanza kusifiana..

Usiwachululie kwamba wako serious ki-hivyo ..unasahau ni "wanasiasa"
 
jitahidi kuondoa mizaha ya kitoto ktk mijadala muhimu kama huu.
 
Ukiichambua katiba ya Chadema katika kipengele cha Chama Kuingia Mseto na Vyama Vingine utabaini kwa akili nyepesi tu kwamba Chadema wanafanya makosa sana kuupotosha umma kwamba ndoa kati ya chama kimoja na kingine ndio ukomo wa kuwa chama cha upinzani. Nikiwa sehemu ya electorate na mwanachama wa CCM, siasa za Chadema zinanisisimua sana kuliko za chama changu cha CCM kwani Chadema wameonyesha uwezo mkubwa sana wa kuiweka sawa serikali legelege ya CCM. Mnatupatia discipline ambayo kwa sasa inahitajika kuliko kitu kingine chochote. Lakini ndugu zangu katika demokrasia, kwa hili la serikali ya mseto mnawaonea CUF. Nashauri mjitazame sana ili huko tuendako msije umbuka. Kwa wasioitakia mema Chadema watatetea na ku-spin kipengele cha hapo chini kwamba it doesnt contravene msimamo wa Chadema juu ya ndoa kati ya CCM na CUF. Lakini kwa wapenda Chadema kwa dhati nina uhakika watakaa chini na kuliangalia hili kwa umakini ili kuepuka contradiction between theory and practice on part of Chadema. Watu wa propaganda na uenezi wa CCM - kina Nape etc kama wakiwa makini wanaweza kabisa kuchukua hili hapa chini na ku convince umma kwamba Chadema wababaishaji katika hili. Katiba ya Chadema inasema hivi:

9.3 Chama Kuingia Mseto na Vyama Vingine
9.3.1 Chama kinaweza kuunda mseto na Chama au vyama vingine vyenye madhumuni na
malengo yanayofanana na Chama ili kuimarisha uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu au
wa serikali moja ya mtaa kwa lengo la kuunda utawala wa pamoja.
9.3.2 Chama kinaweza kuunda ubia na vyama vingine katika kuendesha miradi ya kiuchumi
ama huduma.
9.3.3 Chama kinaweza kuungana na Chama ama vyama vingine kuunda Chama kipya.
9.3.4 Uamuzi kuhusu vipengere 9.3.1 na 9.3.3 utafanywa na Mkutano Mkuu wa Taifa na
kuhusu kipengere 9.3.2 na Baraza Kuu.
 
@mchambuzi

Ulipoharibu ni "uliposema bila chadema madhubuti ccm ..."

Na wewe naona umenogewa uko ccm lakin waipenda chadema mpenda mawili moja humponyoka..

Kwanini chadema imara na si CUF what is the link between chadema and ccm??
 
Ni ukweli usiopingika kwamba bila Chadema madhubuti CCM madhubuti haiwezekani. Kuna mengi ya kuangalia lakini kwa haraka haraka, upinzani pekee wa kweli kwa CCM ni kutoka Chadema, haitakuwa rahisi kwa chama kingine kipya au chochote nje ya chadema kitachoweza kuwa na nguvu za kuitingsha CCM; hata kama kuna watu/makada wa ccm watahamia chama kingine cha upinzani nje ya chadema, chama hicho kitakuwa na nguvu inayotokana na personalities za waliopo humo, na sio nguvu based on agenda ya maana kubadilisha maisha ya mtanzania; ile dhana kwamba upinzani wa kweli utatoka CCM inazidi kuishiwa nguvu unless Chadema wenyewe waharibu walichofanikiwa pandikiza; vinginevyo nguvu ya chadema ni muhimu sana katika demokrasia Tanzania, watanzania wanahitaji vyama vikuu viwili vya upinzani vyenye ushindani wa hoja na sera za kupigana na umaskini/kuleta maendeleo etc na kuondoka na tabia ya kupiga kura kwa kuchagua shetani unaemjua au kupiga kura za kukomoa upande mwingine; tunahitaji kuelekea kama vile ilivyo kwa toris na labour UK, au Dems na republicans US; kwa mtazamo wangu ambao unaweza kuwa finyu, habari ya CUF imekwisha, na suala la serikali tatu ndio litakifanya chama cha CUF kipotee bara; unless Tanzania ceases to be a secular state; Bila Chadema madhubuti, CCM madhubuti haiwezekani.
 
@mchambuzi
  • Hivi kule UK inaweza kutokea chama cha Labor wakaunda serkiali pamoja na Conservative ?
Nadhani siku ikitokea hivyo Huko UK basi demokrasi ya wanachi inakuwa "imebakwa" tottaly na watu weye uchu wa madaraka. Kuna kuwa hakuna tena upande wa pili wa shlingi ulio strong.
 
Sasa nimekuelewa mtazamaji,
Upo sahihi kabisa, ila ni muhimu kuelewa kwamba my argument katika this thread isnt necessarily kwamba coalition governments are desirable in democracies, bali kuhimiza kwamba tuwe na ufahamu kwamba the electorate may take us siku huko moja hapa bara; tusiwashangae CUF kufunga ndoa na CCM kwani ni matokeo ya uchaguzi - wapiga kura ndio wanapelekea hali hiyo, sio viongozi wa chama cha siasa, ndio maana hata chadema wameweka hiyo provision kwenye katiba yao juu ya possibilities za kuwa na coalition kwani ni kura za wananchi ndio determining factor; cha ajabu CCM haina hilo katika katiba yake na ndio upofu wa namna hii unaotuangusha, CCM sisi akili zetu ni kushinda katika kila uchaguzi ili kushika dola na kuunda serikali; yaliyotokea zanzibar CCM kuoana na CUF ni kinyume cha katiba ya CCM, nashangaa mpaka sasa hakuna amendments hiyo kwenye katiba; kwa kumalizia mtazamaji, kinachopelekea uwezekano wa coalition government especially kwa nchi kama yetu itatokana na either:
1. Utitiri wa vyama vingi sana kiasi cha kupelekea kura kugawanyika katika chaguzi kuu na hivyo kukosa chama kimoja kuwa na good majority to form serikali peke yake;
2.Vyama vilivyopo kuwa na tofauti ambayo ni very blurry (kisera, kiitikadi) kiasi cha kupelekea wapiga kura kugawanyika katika chaguzi; tumeona nchi nyingi kuna suala la kurudia uchaguzi iwapi hilo linatokea ndio maana marekani waliona mbali na kuamua kuwa na aina mbili ya ushindi - electoral votes ambazo zinatokana na points that a party picks kwa kunyakua majimbo fulani combined with popular vote ambazo ni hesabu ya jumla ya kura zote; na mshindi wa electoral votes takes it all;
3. Sababu ya tatu inayoweza pelekea bara kufika huko ni uelewa mdogo wa wapiga kura juu ya sababu za msingi za kukupigia chama kimoja vis - a-vis kingine;upigaji kura kiholela unaosukumwa na hofu potofu juu ya chama fulani kitaleta vita, upigaji kura wa mazoea (sio kufuata sera); na kuchagua chama based on personalities za wanaogombea badala ya mvuto wa ilani au programme ya chama husika - zote hizi zinaweza kabisa kupelekea mgawanyiko mkubwa wa kura na kukosesha chama kimoja kuunda serikali peke yake;
 
Mtazamaji,
Swali zuri sana, ukipata muda naomba uipitie hii article below then tujadili;

Is a Labour-Tory coalition unthinkable? Only until you think about it | Martin Kettle | Comment is free | The Guardian

Ok huo uchambuzi nimeusoma lakini kwa tafsiri yangu hauko mbali sana na kile ninakisema . Na nimesoma analyssiza watu wengine utaon coalition government ni za kulazimisha tu sio demokrasia ya kweli. Tena wananchi wanaweza kuumizwa zaidi kwa kisingizo cha maneno matamu kama haya

........The country nevertheless facesurgent economic and social challenges. This is no time for the uncertainties of minority government. Throughout the campaign we experienced the public's burning desire for a break with the politics of the past. We shall therefore form a government of national unity, with an agreed programme, to serve for a full parliament.........

Huku mimi kwangu tena kwa nchi zenye demokrasi changa kama yetu Tanzania ni kubaka demokrasia kwa kisingizo cha umoja but wananchi wanakuwa wametoswa. Nimesoma sasa wale waliongia kwenye ndoa na Conservative yaani liberal wana pay the price. The same price kama ya CUF waliyopata igunga. So wananchi nao wanajua hizi lugha taamu tamu za national unity sometime ni siasa tu.........

Huo ndio mtazamo wangu
 
tusiwashangae CUF kufunga ndoa na CCM kwani ni matokeo ya uchaguzi - wapiga kura ndio wanapelekea hali hiyo, sio viongozi wa chama cha siasa, ndio maana hata chadema wameweka hiyo provision kwenye katiba yao juu ya possibilities za kuwa na coalition kwani ni kura za wananchi ndio determining factor; cha ajabu CCM haina hilo katika katiba yake na ndio upofu wa namna hii unaotuangusha, CCM sisi akili zetu ni kushinda katika kila uchaguzi ili kushika dola na kuunda serikali; yaliyotokea zanzibar CCM kuoana na CUF ni kinyume cha katiba ya CCM, nashangaa mpaka sasa hakuna amendments hiyo kwenye katiba; kwa kumalizia mtazamaji, kinachopelekea uwezekano wa coalition government especially kwa nchi kama yetu itatokana na either:
1. Utitiri wa vyama vingi sana kiasi cha kupelekea kura kugawanyika katika chaguzi kuu na hivyo kukosa chama kimoja kuwa na good majority to form serikali peke yake;
2.Vyama vilivyopo kuwa na tofauti ambayo ni very blurry (kisera, kiitikadi) kiasi cha kupelekea wapiga kura kugawanyika katika chaguzi; tumeona nchi nyingi kuna suala la kurudia uchaguzi iwapi hilo linatokea ndio maana marekani waliona mbali na kuamua kuwa na aina mbili ya ushindi - electoral votes..............

Mchambuzi nimekusoma
lakini in current situation Tanzania sitaona kama demokrasia kama let say 2015 CDM na CCM wanalazimika kuuda serikali ya so called umoja wa kitafifa. Kwangu hiyo itakuwa ni serekali ya umoja wa kutawala.

May be waunde huo Umoja CCM na NCCR, TLP au umoja huo uundwe na CDM, TLP na NCCR na CUF na sio CCM.

Uzuri wa wenzetu wana demokrasi imekomaa kiasi cha kwamba mbunge wa jimbo fuani anaweza kupinga sera fulani ya chama chake kwa sababu ina madhara kwenye jimbo lake. Hapa kwetu hatujafikia huko. Wabunge wetu wanakuwa owned na chama na wajibika kwa chama zaidi na sio majimbo. Coalttion haziwezi kusaidia mwananchi jimboni. Coaltion zitakuwepo kwa ajili ya prosperity ya vyama. Sasa wa style hiizi ukileta coalition ndio unarudikwenye chama imoja indirectly
 
Back
Top Bottom