Chadema: Mnafanya nini tena?

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507

Nyota njema uonekana asubuhi na kijiji cha KABIGA mkoani Geita kimeshaanza kuwasha taa za kuelekea 2015
kwa kuibwaga CCM ktk uchaguzi huo na kuichagua chadema. SASA chadema inabidi muanze kuwataarifu wananchi
mwishoni mwa kila wiki nini ktk kipindi hiki cha kikao cha bunge mlichokifanya bungeni kwa wiki nzima ?? na pia,
muanze kutoa hotuba za kila mwezi tumefika wapi, changamoto na tunaelekea wapi ili kuwa karibu zaidi na wananchi kuelekea safari yetu ya 2015. please naomba mbunge yeyote akianza kuchangia wiki hii bungeni please anza kwa kuwapongeza wananchi wa KABIGA kwa
kuiamini chadema kuwaongoza ni kuonyesha appreciation kwao na huenda ikawa ndiyo mara kwanza toka uhuru kijiji chao kutajwa bungeni.
 
Back
Top Bottom