CHADEMA mmepotea sana kwa hilii na kamwe CCM will rule for life

Handsome

Member
Jul 5, 2011
86
4
nimeshangazwa sana na chama cha demokrasia na maendeleo chadema kwa upuuzi kinaoendelea nao huko Arusha je wanataka watu wafe ili wapate umaarufu au ndio upuuzi gani??mmekwisha ccm wamekwisha wazidi kete,hamna jipya.
 
Jaribu kuipa nyama hii hadithi yako ili ieleweke, ni upuuzi gani wanaofanya CDM huko arusha?
 
mkuu nadhan ya Arusha yawe mafundisho kwa watanzania coz ccm wanazingua sana, wamezoea kufanya mambo ya upuuzi!
 
Sidhan kma umetafta ukwel kabla hujatupia mawazo yako, nenda katafte ukwel ndo urd tna
 
Hivi mods ni lazima kila mtu apost thread humu? thread kama hizi za kishabiki na ambazo hazieleweki kwanini mnaziruhusu. this is not FB this is home of great thinkers. naona post kama hii muiondoe kwanza issue hizi zishaongelewa sana kwenye previous threads
 
CDM wako sahihi cos kesi iliyoko mahakamani itawahukumu kwa kuwa walikuwa wanataka vyeo na sio utaratibu
kufuatwa. Pia PM alishakubali kuwa wamalizane ili asijibu hoja ya Lema Bungeni. So CDMwako sahihi madiwani
ukata na walirubuniwa na CCM.
 
nimeshangazwa sana na chama cha demokrasia na maendeleo chadema kwa upuuzi kinaoendelea nao huko Arusha je wanataka watu wafe ili wapate umaarufu au ndio upuuzi gani??mmekwisha ccm wamekwisha wazidi kete,hamna jipya.

haupo makini aliyesababisha yote haya ni CCM na tamaa za madaraka. Alafu huo ni mtazamo wako wewe lakini wengine tunaona cdm ndo chama makini. Anayeua watu ni CCM maana wao ndo wanatumia askari kuzima nguvu ya uma. Kwa taarifa yako wewe ndo utakuwa ruled by ccm forever and not CHADEM, soma alama za nyakati usiwe na ushabiki wa kimagamba
 
akili unayo lakini naona umeiweka kabatini.
pole siku utakapotaka kuitumia utakuta imechacha.
 
nimeshangazwa sana na chama cha demokrasia na maendeleo chadema kwa upuuzi kinaoendelea nao huko Arusha je wanataka watu wafe ili wapate umaarufu au ndio upuuzi gani??mmekwisha ccm wamekwisha wazidi kete,hamna jipya.

Sina uhakika kama kweli unaweza kuwa ni handsome.
 
Huo upuuzi wanaoufanya chadema ameuanzisha nani?ccm ndio wapuuzi kwani ndio walio haribu uchaguzi au unakichwa cha panzi nduguyangu unasahau chanzo cha mgogoro wa arusha?usikurupuke ndugu jipange ndipo uje tena.
 
Back
Top Bottom