Chadema mmejifunza nini kutokana na kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali?

Mungu ana akili sana, kwa maana just imagine Kama sauti ingekuwa inasafiri fasta kuliko mwanga. Maana kwa Hali hii ingekuwa Shida, maana Mtu huonekana mwenye busara mpaka pale atakapofungua kiongeleo ama liongeleo lake. Sasa imagine kwamba ungeweza kujua ujinga wa Mtu kabla hajaongea.
 
HIVI WE UNATUMIA MAKALIO AU UBONGO KUFIKIRI,YAANI MNAPOAMBIWA UKWELI MNAKUWA WAKALI,INSHU NI KUJIBU HOJA KWA HOJA,SI MATUSI,MARA NYINGI WATU WASIO NA UWEZO WA KUFIKIRI KAMA NINYI NDO MLIVYO YAAN HADI SASA HUJUI NCHI INAKWENDA WAPI,ETI MAMBO YA KUJUA SHERIA HAYAFAI WHAT NEXT?MUULIZE JK ALIVYOSEMA KULE IRAMBA KWENYE KAMPEN KUHUSU LISSU,INABIDI MJIKUSANYE WANA CCM WENYE AKILI UKIONDOA WEWE NDO MJADILI ISSUE ZA LISSU,KILE NI KICHWA,KUTOKA KWAO NJE KUNAMAANISHA KUWA UWEZO WAO WA KUFIKIRI UPO JUU SANA KULIKO CCM,WALIONA WAKIENDELEA KUBISHANA NAO WANGEKUWA NAO MACHIZI,KUMBE TZ INA MR DHAIFU,WAZIRI DHAIFU,BUNGE DHAIFU HAAA!KUMBE HATA WANACHAMA DHAIFU,INAELKEA HATA FAMILIA ZAO NI DHAFU.:iamwithstupid:
 
Naanza kwa kunukuu,"BINADAMU TUMEPEWA VICHWA KWA AJILI YA KUFIKIRI NA SIO KUFUGA NYWELE,HII INA MAANA KUWA SIO KILA MWENYE NYWELE ANA UWEZO WA KUFIKIRI".Critically discuss this statement.

Kama amesema hivyo basi he is the best AG ever! maana amesema kitu ambacho wengi hawajawahi kukifikiria kwamba wengine wanafikiri vichwa ni kufugia nywele hahaha!!!
 
Nadhani hata yule Job Ndugai kwa jinsi alivyotaka kupotosha umma wakati kauli ya Werema ilisikika vizuri kwa kweli alinishangaza sana. Kama ndio ushabiki wa kutetea utumbo huyu Ndugai huenda amerogwa na hao magamba huko juu...^%*&$@ yake!!...
 
"Na ule msemo akili ni nywele kila mtu anazo? Kwa nini uhamaki?! Ilhali kilichosemwa ni kuwa kichwa kazi yake sio kubeba nywele bali pia na akili! Wewe unazira na kukasirika!" .Nukuu ya Balozi Patrick Tsere katika FB
:A S-confused1:HAA KWANI UJINGA UNABEBWA NA MIGUU SI NI KICHWA AU?MARA NYINGI ANAYEISHIWA HOJA HUTUMIA KEBEHI NA KASHFA,UNAPOENDELEA KUBISHANA NA ZUZU NAWE UNAKUWA ZUZU NDO MAANA WALE JAMAA WENYE AKILI WALIONDOKA ILI SISI WATU WENYE AKILI TUPIME,HIVI MTU ASIYE NA NYWELE AU MWENYE UPARA HANA AKILI MBONA MA PROFESSOR WENGI WANA VIPARA NA NI WAKALI,NIMEAMINI KUWA TUNAONGOZWA NA MACHIZI,ETI 5-2-1977=?BADALA KUJIBU UNASEMA ALIYEKUULIZA MJINGA,NAPENDEKEZA KILA TAREHE 5 FEBRUARY IWE KUMBUKUMBU YA MR DHAIFU,SERIKALI DHAIFU,BUNGE DHAIFU.
 
Ni ULEVI tu, ULEVI wa madaraka. Tanzanians WALEVI wa NINI hawa? Ndo tatizo mtu kuwa kiongozi toka mtoto mpaka awa Kikongwe. Tuwachuje hawa au wanaowalea tuwachuje ....
 
Nimejifunza kuwa bunge linalodai kuchaguliwa kidemokrasia linaweza kuwa ndio kichaka kikuu cha udikteta
 
Huyu jamaa (ag) kanichosha kwelikweli hata kama sijui sheria iliyokuwa inatafsiriwa pale lakini mazingira na maneno yaliyokuwa yametumiwa na AG ni ya kihuni kabisa. Hivi vyeo vya kupewa vinahujumu nchi na tuendako si kuzuri hata kidogo.
 
lugha hiyo ya ndugu a.g ni ya kijiweni kabsaa na badala yake alitakiwa kujibu hoja (kutoaufafanuzwakisheria)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom