Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA mmeanza kuzungumzia Ubunge Arumeru mashariki kabla hata ya Marehemu Sumari kuzikwa?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mwanajamii, Jan 20, 2012.

  1. Mwanajamii

    Mwanajamii JF-Expert Member

    #1
    Jan 20, 2012
    Joined: Mar 5, 2008
    Messages: 7,082
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 0
    Ni wiki hii tu umma wa watanzania tulishuhudia jinsi marehemu Mheshimiwa REGIA MTEMA - Mbunge viti maalum CHADEMA alivyozikwa kwa heshima zote na serikali na chama. Katika shughuli zote msiba hakukuonekana tofauti zozote za kiitikadi za kisiasa baiba ya vyama vya CCM na CHADEMA pamoja na vyama vingine.

    Bila shaka watanzania tunategemea kuwa mambo yatakuwa hivyo pia katika msiba wa Marehemu JEREMIAH SUMARI aliyekuwa mbunge wa Arumeru mashariki. Hata hivyo binafsi nimeanza kuwa na wasiwasi wa ushiriki wa CHADEMA katika msiba huo kwa vile tayari wameanza kuzungumza jinsi ya kulipata Jimbo hilo kabla hata ya SUMARI kuzikwa.

    Wana JF someni thread yenye kichwa cha habari "Shaka juu ya mgombea ubunge wa CHADEMA Arumeru mashariki".

    My take: Tungesubiri SUMARI azikwe kwanza na tume walitangaze Jimbo hilo. Kwa kipindi hiki tuungane kwa pamoja katika majonzi na kuifariji familia ya marehemu.


    Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen.
     
  2. RICH OIL SHEIKH

    RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

    #2
    Jan 20, 2012
    Joined: Jan 2, 2012
    Messages: 882
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 0
    Tushikamane tumzike marehem; acheni uroho wa madaraka huo.
    RIP Sumari
     
  3. Vinci

    Vinci JF-Expert Member

    #3
    Jan 21, 2012
    Joined: Jul 6, 2009
    Messages: 2,520
    Likes Received: 22
    Trophy Points: 135
    dah...kweli siasa sihasa. yaan hata msiba haujaisha tayari vuguvugu limeshaanzishwa? tumalize kwanza msiba ndio changamoto zianze.
     
  4. I

    Imnyagi Member

    #4
    Jan 21, 2012
    Joined: May 8, 2011
    Messages: 96
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Tena hizi ni siasa chafu sana kwa baadhi ya watu wachache ambao wanatumia vibaya keybord zao kuwavuruga wanachadema na viongozi wa kamati kuu kufanya maamuzi sahihi.

    HII NI TABIA CHAFU NI KAMA WATOTO WANAOGOMBEA URITHI WAKATI HATA MAITI HAIJAZIKWA.
     
  5. Jumakidogo

    Jumakidogo R I P

    #5
    Jan 21, 2012
    Joined: Jul 16, 2009
    Messages: 1,859
    Likes Received: 9
    Trophy Points: 0
    Na mgombea wao tayari washa mpendekeza. Ni kama walikuwa wakisubiri kwa hamu.
     
  6. Helper

    Helper JF-Expert Member

    #6
    Jan 21, 2012
    Joined: Dec 13, 2011
    Messages: 741
    Likes Received: 20
    Trophy Points: 35
    :eyebrows:
     
  7. Helper

    Helper JF-Expert Member

    #7
    Jan 21, 2012
    Joined: Dec 13, 2011
    Messages: 741
    Likes Received: 20
    Trophy Points: 35
    Mh! umetumwaee!
     
  8. PakaJimmy

    PakaJimmy JF-Expert Member

    #8
    Jan 21, 2012
    Joined: Apr 29, 2009
    Messages: 16,234
    Likes Received: 105
    Trophy Points: 160
    Viongozi wa cdm wako Dar, busy na ratiba ya Mazishi...mnaoongelea mambo ya kumrithi ni nyie hapa kwenye makujwaa!
    Nadhani katika hali ya kibinadamu si namna nzuri. Pia katika utamaduni wa kitanzania hii ni mwiko!
     
  9. dubu

    dubu JF-Expert Member

    #9
    Jan 21, 2012
    Joined: Oct 18, 2011
    Messages: 3,022
    Likes Received: 299
    Trophy Points: 180
    mi naona wangwsubili kuzungumzia kwa sababu anaweza akafufuka ikawa tabu.
     
  10. jogi

    jogi JF-Expert Member

    #10
    Jan 21, 2012
    Joined: Sep 25, 2010
    Messages: 11,112
    Likes Received: 3,657
    Trophy Points: 280
    Kuna siasa chafu kuzidi ya kuiba kura! hizi ni dalili kuwa ccm haipendwi, na anayekuta ndani yake awe hai au mfu atakumbana na kadhia! FUNGUENI VINYWA VYENU KWA AJILI YA BUBU, WATETEENI WANYONGE YATIMA, Yote hayo ccm haitaki kufanya!!! wakifa wanatutaka tulie wanavyotaka. ene wei watanzania na ccm kwa pamoja tufakari kwa kina.
     
  11. +255

    +255 JF-Expert Member

    #11
    Jan 21, 2012
    Joined: Jan 1, 2012
    Messages: 1,732
    Likes Received: 123
    Trophy Points: 160
    Atakuwa ametumwa kuongea ukweli..
     
  12. Filipo

    Filipo JF-Expert Member

    #12
    Jan 21, 2012
    Joined: Jan 6, 2011
    Messages: 9,314
    Likes Received: 156
    Trophy Points: 160
    Ndugu,

    Lazima tukubali ukweli. Wananchi wameichoka ccm na kwakweli hawakitaki tena hicho chama. Tumaini pekee la watz lipo cdm. Ndio maana ikitokea nafasi, iwe mtu kafa, kavuliwa gamba au kafukuzwa uanchama, watu akili zao zote zinafikiria ni namna gani ccm wataondolewa na cdm kuchukua hiyo nafasi.

    Huo ndio ukweli na hata tusipojadili humu jukwaani ni unafiki tu maana ndio mawazo yaliyo vichwani mwetu. Acha watu wajadili na achana na maisha ya mazoea maana ni sawa na utumwa!
     
  13. Vmark.

    Vmark. JF-Expert Member

    #13
    Jan 21, 2012
    Joined: Aug 2, 2011
    Messages: 1,361
    Likes Received: 7
    Trophy Points: 0
    We mtoa topic umeona official statement yoyote inayozungumzia by election ya arumeru iliyotolewa na chadema au ni maoni ya wana jf tu hapa jamvini!? Im skeptical about ua hypothetical line of reasoning!!
     
  14. a

    adobe JF-Expert Member

    #14
    Jan 22, 2012
    Joined: May 6, 2009
    Messages: 1,478
    Likes Received: 125
    Trophy Points: 160
    acha uchochezi wako.tumia akili na busara ulizojaliwa sio kila saa oh chadema
     
  15. Glucky

    Glucky Senior Member

    #15
    Jan 22, 2012
    Joined: Dec 16, 2009
    Messages: 118
    Likes Received: 15
    Trophy Points: 35
    Mtu ameshakufa hana msaada wowote tena kwetu sisi ni vyema na haki wananchi kuwaza mtu wa kummpa madaraka ili atuletee maendeleo na mtu huyo haswa anatakiwa kutoka Chadema
     
  16. Shark

    Shark JF-Expert Member

    #16
    Jan 22, 2012
    Joined: Jan 25, 2010
    Messages: 15,724
    Likes Received: 1,849
    Trophy Points: 280
    Jina lako limekua refu sana kulitamka kwa kweli, nimejaribu mara tatu nikaishia kujing"ata ulimi.
    Naweza kulifupisha nikakuita tu KENGE????
     
Loading...