CHADEMA: Mkipitisha bajeti hizi hamfai kupewa nchi 2015

Naona umechanganya mambo au uelewa wako kuhusu bajeti ni mdogo....huwezi ukazungumzia bajeti kwa ku-refer matumizi ya sasa.....na bajeti sio bei!
Hawa chadema wapinge au wasipitishe?
By the way..usione ukadhani!
 
hivi ulifuatilia aidha kwa kusoma, kuambiwa ama kusikia mfumo wa uptshaj bajet bungeni? Nadhan ukfaham hilo mdomon utatia maji
 
Hilo la umeme nakuunga mkono, la magari kwanza gigania tuwe na six lale one way traffic roads ambayo inahusisha kuvunja magorofa kibao dar ndio na wewe upate pa kupitisha bito yako
 
Back
Top Bottom