KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
- Thread starter
- #21
Uzini ilikuwa 5% magwanda 95% CCM, Arumeru na Lowassa ni kama Uzini na Razza.
Hayo mapande ya CCM unayoyafikiria yatakupigia wewe kura, ujuwe unajipa moyo tu lakini matokeo umesha yajuwa. Huna chako.
Sawa,ndio raha ya freedom of speech kama hivi inabidi wote tujifunze kuvumilia maoni,nadhani umetoa somo zuri sana kwa wanaopenda kusikia yale wanayoyapenda tu.pamoko sana.