Chadema, mjadawa wa posho za wabunge umefia wapi?

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
Wadau kama kawaida yangu huwa sipendi kufungwa macho kwa hoja mpya,mbinu wanayotumia wanasiasa wengi wa Tanzania,wakiona kunahoja inawalemea huanziasha hoja nyingine ili kufunika hoja iliyoko mezani.

wadau tukumbushane hivi hoja ya kupinga posho ndiyo imekufa kihivyo? na makamanda wetu wanaendelea kula posho kama kawaida! sasa wametuletea tena nyingine kufunika ya posho? au ilishafutwa kwa hiyo wamenyamaza kwa sababu wamemaliza na kunusuru mabilioni ya watanzania yanayopita mifukoni mwa wabunge wetu kuelekea kwenye nyumba ndogo,nyumba za wageni,clab's na kwenye anasa nyingine za dunia?.

wabunge bado tunakumbuka kuwa hamjakamilisha hili,msitufanye watoto, then ile gari yenye namba KUB bado mhe mbowe anatumia au amerudisha tena?.

wala usiwe na hasira ni haki yetu kujua!, jamani maana kama CCM wanatuibia mchana kweupeee! na hawa nao wanataka waige mfumo huo si mtatuzika wazima?

haya karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom