CHADEMA, Mgogoro wa Ruzuku mikoani ni bomu la kulipuka

Hebu acheni mawazo ya kijinga jinga kama vile wavuta bangi, msitake kuleta majitaka huku mara ooh eti Ruzuku! Mara sijui nn! Mbona hamuulizii mabilion ya uswis aliyoyasema Zitto?
 
pembe za ndovu zilizokamatwa china mbona hamchunguzi!!? Fedha za EPA ni kina nani walirudisha wakasamehewa?

kwa hiyo kwa sababu kuna watu wamefanya hivyo na viongozi wakifanya wizi ni sawa sababu pembe au EPA. sasa uadilifu utakuwepo kama wakina flan walifanya wizi na chadema wafanye wizi pia. jamani vipi siasa hizo?
 
Kumekuwa na mjadala hapa Jukwaan kuhusu matumiz ya hela katika chama cha demokrasia na Maendeleo,mie nikiwa mdau wa siasa nikaamua kufanya utafiti mdogo tu kuhusu fedha wanazopewa kama Ruzuku zinatumikaje katika wilaya mbali mbali.

Nimefanya sample ya wilaya zaid ya kumi na naweza nikaja na Majina ya hizo wilaya mtagundua ya kwamba Ruzuku hawapelekewi wilayan kwa ajili ya ujenz wa chama,hizo fedha kama haziendi kujenga chama kwa madai ya kutaka kununulia vyombo vya usafiri{kwa mujibu wa katibu wa wilaya moja) je hzo ofisi zinajiendesha vp?

chama kama CUF wanawatuma kila mwez wilayani kwa ajili ya uenezi wa chama wakati wao Ruzuku yao ni ndogo kulinganisha na CHADEMA,ifike mahali CHADEMA wasitafute mchawi mchawi wa kukua kwa chama ni wao wenyewe wakiamin muda kujua wanatakiwa kufika wilayani wakati wa uchaguzi.
Kafanye hako kautafiti kako hata kwa CCM halafu uje useme zinatumika je hizo hela zao.
 
Acha ushambenga weye, wialaya yangu imekuwa ikipewa rudhuku kila mwezi,kama haijatoka basi watalipa kwa malimbikizo. na hili limekuwa likifanyika hadi pale chama kilipoanza operation M4C . sisi ndio machadema wenyewe tuinajua mengi kuliko wewe gamba :majani7:
 
munadhani chadema ni TLP au NCCR mutaivunja kwa maneno ya ruzuku maweee potelea chooni wewe masalia
 
Hivi ninyi Masalia mnapata wapi guts za kuandika huu uozo?

Unajua CHADEMA kama taasisi inavyojiendesha? Unajua mikakati na malengo ya chama kwa muda husika? Unajua mmekuwa mnaleta mambo ambayo hamna ushahidi na mkitakiwa kutoa ushahidi mnakimbia na/au mnabadili ID zenu?

Sikieni Masalia na Mamluki, ni hivi CHADEMA inazidi kuwa imara kwa kila kikwazo mnachoiwekea. Kwa neema za G-D wanavuka na kuzidi kusonga mbele! Sasa ole wenu mpande ulingoni mwaka 2014 & 2015.
 
Tunataka mabadiliko nchi hii kwa kuwa waadilifu hivyo kama kuna kukopeshana pesa za ruzuku ambayo ni kinyume na taratibu lazima wahusika wachukuliwe hatua. Tusiwe watu wa kukosoa tu na pale tunapokosolewa tunakuja juu. Kwa sasa tuache chama kitoe taarifa na ikiwezekana special audit ifanyike ili ukweli ujulikane. Hawa viongozi wote si malaika huenda kuna makosa yanafanyika
 
Kumekuwa na mjadala hapa Jukwaan kuhusu matumiz ya hela katika chama cha demokrasia na Maendeleo,mie nikiwa mdau wa siasa nikaamua kufanya utafiti mdogo tu kuhusu fedha wanazopewa kama Ruzuku zinatumikaje katika wilaya mbali mbali.

Nimefanya sample ya wilaya zaid ya kumi na naweza nikaja na Majina ya hizo wilaya mtagundua ya kwamba Ruzuku hawapelekewi wilayan kwa ajili ya ujenz wa chama,hizo fedha kama haziendi kujenga chama kwa madai ya kutaka kununulia vyombo vya usafiri{kwa mujibu wa katibu wa wilaya moja) je hzo ofisi zinajiendesha vp?

chama kama CUF wanawatuma kila mwez wilayani kwa ajili ya uenezi wa chama wakati wao Ruzuku yao ni ndogo kulinganisha na CHADEMA,ifike mahali CHADEMA wasitafute mchawi mchawi wa kukua kwa chama ni wao wenyewe wakiamin muda kujua wanatakiwa kufika wilayani wakati wa uchaguzi.

Wewe hujui usemalo,, unastahili kuambiwa manina zako!
 
kwa sababu haya mambo siyo siri kwa faida ya taifa naomba ufanye haya
1. Unasema ulifanya utafiti (research) umetumia mudas gani kufanya hiyo research na imekugharimu kiasi gani?
2. Katika hiyo research yako ulitumia methodologies gani?
3. Umeshaandika research report au bado?
4. Je watu waliokupa hizo taarifa ni wanachadema au laa!
5. Kama ni wanchadema walikwambia chama kinaendeshwa vipi bila kupata hata shilingi moja?
6. Na hao CUF wanaeneza wapi chama mbona kama wanazidi kupotea?
7. Umesema umefanya research wilaya kumi na baadaye ukasema kwa mujibu wa wilaya moja je nyingine walitoa majibu gani? Asante mkuu unijibu nami niridhike usipojibu nadhani utakuwa mwongo
 
Mahali hapa ni mahali pa kueleza mambo ya msingi, yenye maana na yaliyofanyiwa utafiti. Kama umefanya utafiti kwa nini hutaji hizo wilaya ulizotafiti?. Lete ushahidi kamili
 
mbona hata ushahidi huna!!acheni majitaka magamba nyinyi

Cjaandika mada hii kwa kukurupuka nina ushaidi wa kutosha kabisa waulize makatibu wa wilaya wa chadema mara ya mwisho walipata ruzuku kutoka makao makuu ukitaka data zaid ntakutajia na wilaya kabisa mada hii haipo kishabiki tujadili ukweli
 
pembe za ndovu zilizokamatwa china mbona hamchunguzi!!? Fedha za EPA ni kina nani walirudisha wakasamehewa?

Ebu tujikite zaid katika mada hii tuweke ushabiki kando,kama ruzuku wanashindwa kuigawa inavyotakiwa rasilimali za nchi itakuwaje
 
Ss wananchi wa kawaida hatunashida na ruzuku.tunachangishana na kuendesha chama mda wa kvegemea ruku bado haujafika mpaka ccm itakapoondaka,c co ccm wategemea ruzuku
 
Back
Top Bottom