CHADEMA, Mgogoro wa Ruzuku mikoani ni bomu la kulipuka

m4c.jpg
Maumivu yakizidi sana......fumba macho na ziba masikio hii usiione wala kuisikia
 
any way wakija watu wanaoongozwa na emotions hapa ujiandae kutukanwa ila kifupi ruzuku ya chadema kwa mwaka jana imetumika kugharamia maandamano na ule mkakati wa kuifanya nchi isitawalike.
Mkuu hao wa matusi ni wale wasio na akili sana na ni wa kudharauliwa tu.
 
Bomba la mchina toka Mtwara linalipia deni la Baba Rizone ,madawa ya kulevya yanaingiza nchi kwenye deni la miaka 100 ijayo duh
 
any way wakija watu wanaoongozwa na emotions hapa ujiandae kutukanwa ila kifupi ruzuku ya chadema kwa mwaka jana imetumika kugharamia maandamano na ule mkakati wa kuifanya nchi isitawalike.

Viwavi lazima muishukuru sana Chadema kwa vile bila kuitaja Chadema mkono hauwezi kwenda kinywani. Endelezeni tu njaa zenu, lakini mwisho wa siku wote mlio chelewesha ukombozi wa nchii yetu kutoka kwenye utawala dhalimu na wa mabavu wa CCM mtalipa kwa usaliti wenu.
 
Usiupotoshe umma wa watanzania kwa habari za uongo na
uchonganishi. Mbona sisi huku jimbo la segerea sehemu ya hela hiyo inakuja kila mwezi?
wacha kuleta ujinga hapa, na signatory wa hizo ni:Mchele Kisholi, Amani Mgeni Efraim kachale na Diwani wa kata ya KIMANGA. Hao ndio wanao husika kwa jimbo la Segerea kawaulize
 
Kumekuwa na mjadala hapa Jukwaan kuhusu matumiz ya hela katika chama cha demokrasia na Maendeleo,mie nikiwa mdau wa siasa nikaamua kufanya utafiti mdogo tu kuhusu fedha wanazopewa kama Ruzuku zinatumikaje katika wilaya mbali mbali.Nimefanya sample ya wilaya zaid ya kumi na naweza nikaja na Majina ya hizo wilaya mtagundua ya kwamba Ruzuku hawapelekewi wilayan kwa ajili ya ujenz wa chama,hizo fedha kama haziendi kujenga chama kwa madai ya kutaka kununulia vyombo vya usafiri{kwa mujibu wa katibu wa wilaya moja) je hzo ofisi zinajiendesha vp?chama kama Cuf wanawatuma kila mwez wilayan kwa ajili ya uenez wa chama wakati wao Ruzuku yao ni ndogo kulinganisha na Cdm,ifike mahali Cdm wasitafute mchawi mchawi wa kukua kwa chama ni wao wenyewe wakiamin muda kujua wanatakiwa kufika wilayan wkt wa uchaguz,

Eti hii nayo ndo umeona ni propaganda ya kuweza kuwabadilisha watanzani kukosa imani kwa CHADEMA.
Chadema ni kisiki cha mpingo, wenye shoka wameshidwa we unakuja na kisu!!! Unajisumbua.
 
Mleta mada mbona hujatoa maelezo ya kina. kama yamegharamia maandamano je faida ilipatikana na je kukopa ni kosa kama deni linarudi? nilitegemea labda ungesema pesa zimekopwa alafu hakuna urejeshaji. jambo jingine la wewe kufahamu ni kuwa kama chama ni jengo basi amrisha magorofa yaliyopo Dsm yaongeze wanachama wa CDM
 
Wale wale wasio na upeo wa kuona mbele.
Hawa hufungwa kamba kwenye pua kama ng'ombe wa maksai kwa ajili ya kulima shamba, kokote kamba ivutwako wao huenda.

kwa hiyo wewe umeona ushahidi wowote kwamba ruzuku hazipelekwi mawilayani?au unajaribu kuwa tofauti ili mradi tu uonekane mtu wa kuhoji a.k.a great thinker..pitiful fresh prince of bel air
 
viwavi lazima muishukuru sana chadema kwa vile bila kuitaja chadema mkono hauwezi kwenda kinywani. Endelezeni tu njaa zenu, lakini mwisho wa siku wote mlio chelewesha ukombozi wa nchii yetu kutoka kwenye utawala dhalimu na wa mabavu wa ccm mtalipa kwa usaliti wenu.
kumbe ccm inatawala ki mabavu! Hivi bado mna mpango wa kuenda msituni 2015? Au lema alikuwa anatania tu! Vipi na ule mpango wa kufanya nchi isitawalike alioutambulisha rasmi dr.silaa kule nmc arura umefikia wapi?
 
usisahau mshahara wa katibu mkuu wetu ni mkubwa pia tulimkopesha shilingi 140
kasacos sasa hivi kako safi;kanaweza kutoa mkopo mpaka wa m140 (mkopo wa kiwango cha wastani).sijui nijiunge na hii saccos?
 
Usiupotoshe umma wa watanzania kwa habari za uongo na
uchonganishi. Mbona sisi huku jimbo la segerea sehemu ya hela hiyo inakuja kila mwezi?
wacha kuleta ujinga hapa, na signatory wa hizo ni:Mchele Kisholi, Amani Mgeni Efraim kachale na Diwani wa kata ya KIMANGA. Hao ndio wanao husika kwa jimbo la Segerea kawaulize
U'r a great thinker
 
Back
Top Bottom