Niwemugizi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 902
- 462
Na ruzuku ya CCM nayo inafanya mambo gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwa nini alijengewa Slaa ingefaa angejengewa mamayo au vipiAlizopewa SLAA kujengea nyumba hazokutoka humu?
Alizopewa SLAA kujengea nyumba hazokutoka humu?
wanalipwa kina nape na kuhonga wananchi kwa wali na pilau wakati wa uchaguzi. Haaa...Na ruzuku ya CCM nayo inafanya mambo gani
Nyingine anatumia Isalia kununulia bagia na vitumbuaNyengine zinatumika kumlipia heche ili azidi kujipendekeza kwa slaa
Huu uzi umekaa kimasaliasalia yenyê support ya magambagamba!!Zimeanza kuenezwa propaganda za ruzuku ya chama kuwa hazionekani zinafanya nini. Wanajamvi naomba kuwakumbusha kwamba hiyo propaganda ilitumika sana mwanzoni mwa mwaka jana baadae ikafifia ghafla. Sasa baada ya zoezi la masalia kushindwa vibaya zimeanza juhudi za kulifufua.
Niliwahi kuudhuria kikao kimoja cha ndani cha chama na Dr Slaa alitolea maelezo ruzuku ya chama kama ifuatavyo:-
1. Kununulia pikipiki zenye vipaza sauti ambazo zitasambazwa kwa kila kata nchi nzima mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2014. Na sehemu zenye mapori, zisizopitka kwa pikipiki yatapelekwa magari.
2. Kuajiri makatibu competent kwa kila wilaya na fedha za ruzuku zitumike kuwalipa mshahara.
3. Lakini pia magari ya M4C na vifaa vingine vya chama vimenunuliwa na fedha hizo.
4. Alisema pia wenyeviti na makatibu katika baadhi ya mikoa walioomba wenyewe ruzuku isitishwe maana ilichangia migogoro katika baadhi ya maeneo na viongozi hoa walikubaliana naye na kumshangilia kwa mipango yenye uhakika.
Ninawaomba tusisubiri akina Mnyika kuja kukanusha propaganda za kwenye mitandao, wana mambo mengi ya kufanya tuje hapa na kukanusha upuuzi huu. Ili mradi una uhakika na unachokisema.
Tutayaona mengi na kusikia mengi, njoo na facts tuwaumbue ni wepesi hawa!!!!!!
luzuku ya ccm kuhakikisha CDM inasambaratika kabla ya 2014 at any cost.Zimeanza kuenezwa propaganda za ruzuku ya chama kuwa hazionekani zinafanya nini. Wanajamvi naomba kuwakumbusha kwamba hiyo propaganda ilitumika sana mwanzoni mwa mwaka jana baadae ikafifia ghafla. Sasa baada ya zoezi la masalia kushindwa vibaya zimeanza juhudi za kulifufua.
Niliwahi kuudhuria kikao kimoja cha ndani cha chama na Dr Slaa alitolea maelezo ruzuku ya chama kama ifuatavyo:-
1. Kununulia pikipiki zenye vipaza sauti ambazo zitasambazwa kwa kila kata nchi nzima mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2014. Na sehemu zenye mapori, zisizopitka kwa pikipiki yatapelekwa magari.
2. Kuajiri makatibu competent kwa kila wilaya na fedha za ruzuku zitumike kuwalipa mshahara.
3. Lakini pia magari ya M4C na vifaa vingine vya chama vimenunuliwa na fedha hizo.
4. Alisema pia wenyeviti na makatibu katika baadhi ya mikoa walioomba wenyewe ruzuku isitishwe maana ilichangia migogoro katika baadhi ya maeneo na viongozi hoa walikubaliana naye na kumshangilia kwa mipango yenye uhakika.
Ninawaomba tusisubiri akina Mnyika kuja kukanusha propaganda za kwenye mitandao, wana mambo mengi ya kufanya tuje hapa na kukanusha upuuzi huu. Ili mradi una uhakika na unachokisema.
Tutayaona mengi na kusikia mengi, njoo na facts tuwaumbue ni wepesi hawa!!!!!!
Sisi watoto wa vyuo akili zetu tumeziweka kwenye zako au vipiNimejua siri nzito wengi wa wanajamvi ni wototo wa vyuo vikuu ambao hulipwa posho ya sh elfu tano kwa siku kuipigia debe chadema kwenye mitandao mbalimbali kama ilivyokuwa katika maandamano ya vijana wa udom.ndio maana hoja nyingi za watoto hawa zikipigia debe chadema hazina uzito bali zimejaa matusi.taarifa hii ni kweli kwani bavicha mmoja alinieleza.hivi ndivyo fedha za ruzuku zinavyofanya kazi
Zimeanza kuenezwa propaganda za ruzuku ya chama kuwa hazionekani zinafanya nini. Wanajamvi naomba kuwakumbusha kwamba hiyo propaganda ilitumika sana mwanzoni mwa mwaka jana baadae ikafifia ghafla. Sasa baada ya zoezi la masalia kushindwa vibaya zimeanza juhudi za kulifufua.
Niliwahi kuudhuria kikao kimoja cha ndani cha chama na Dr Slaa alitolea maelezo ruzuku ya chama kama ifuatavyo:-
1. Kununulia pikipiki zenye vipaza sauti ambazo zitasambazwa kwa kila kata nchi nzima mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2014. Na sehemu zenye mapori, zisizopitka kwa pikipiki yatapelekwa magari.
2. Kuajiri makatibu competent kwa kila wilaya na fedha za ruzuku zitumike kuwalipa mshahara.
3. Lakini pia magari ya M4C na vifaa vingine vya chama vimenunuliwa na fedha hizo.
4. Alisema pia wenyeviti na makatibu katika baadhi ya mikoa walioomba wenyewe ruzuku isitishwe maana ilichangia migogoro katika baadhi ya maeneo na viongozi hoa walikubaliana naye na kumshangilia kwa mipango yenye uhakika.
Ninawaomba tusisubiri akina Mnyika kuja kukanusha propaganda za kwenye mitandao, wana mambo mengi ya kufanya tuje hapa na kukanusha upuuzi huu. Ili mradi una uhakika na unachokisema.
Tutayaona mengi na kusikia mengi, njoo na facts tuwaumbue ni wepesi hawa!!!!!!
Nyengine zinatumika kumlipia heche ili azidi kujipendekeza kwa slaa