Duh, wewe ndio kichwa cha CCM. Kazi kweli. Nina hakika ukirudia kusoma mara ya pili utajicheka mwenyeweFungu kubwa la Ruzuku linakwenda kwenye maandamano ya Chadema, karibu wabunge wote huwa wanashiriki na kila baada ya maandamano kuna posho wanagawana viongozi wakuu pamoja na wabunge, bado kuna malazi na chakula kwa wastani kila maandamano makadilio ni 50 Milioni, na wastani wa maandamano yanafanyika kwa mwezi mara mbili, sasa hapo unadhani mikoani watapata nini