Chadema (Mbowe): We recognise the president

kwa kweli chadema hawaeleweki, wanamtambua rais ila wanalaumu mbinu za kuingia kwake, sasa hapa wa kulaumiwa na kugomewa ni rais au NEC? Kwani ishu ya kwamba sheria ya nec ni mbovu si inajulikana?ishu ya katiba mbovu si inajulikana?ishu ya kwamba matokeo hayabadiliki si inajulikana?kwa nini wasingeshawishi wananchi wasusie kabisa uchaguzi? kama unaingia uwanjani huku unajua yule refa atapendelea wapinzani wako na atawaonea mchezoni ya nini uliingia kucheza?mkifungwa kwa nini upige kelele kuwa mmeonewa?
ni unafiki mtupu unatukabili watanzania
siku ya kwanza mliisusia NEC wakati wa Kutanzgaza matokeo, ok hilo laweza kueleweka lakini iweje mumsusie mtu ambae si mgomvi wenu?? kwani mgomvi wenu ni kikwete au NEC. Suala la mabadiliko ya katiba, linakuwa initiated na rais au ni nyinyi wabunge mnapeleka muswada bungeni?kama mnataka mabadiliko pelekeni muswa bungeni wakonvisini wabunge wa upinzani na CCM, ILI THELUTHI MBILI IPATIKANE na sheria ibadilike, otherwise, kumlaumu kikwete wakati yeye hatungi wala kurekebisha sheria bali wenye jukumu hilo ni ninyi, kwangu mimi sioni kama ni sahihi
 
Tupo pamoja Matambo. Kwanza tunajuwa fika kwamba baadhi ya wabunge wa Chadema walipinga uamuzi wa kumsusia JK, this goes to show that the walk-out was seen by a few Chadema MPs as unjustifiable and baseless. I believe those voted against the walk-out couldn't make sense to recognize the outcome of the elections while disrecognize the process. I can't make sense either.
 
Hili ndio tamko la Chadema la kutokumtambua rais YouTube - Dr. Slaa atolea maelezo kutoka nje kwa Wabunge wa Chadema Nov. 18, 2010
Ukisikiliza dakika ya 2 , utasikiliza clear kabisa kuwa hawamtambui Rais Kikwete.

Hii kauli ya kumtambua Rais, kama imesemwa na Mbowe basi ni wazi kuwa wamebadilisha msimamo. Si jambo baya, limenifurahisha. Ila ni vyema Mbowe akaacha kuwalaumu wananchi kuwa wameupokea vibaya ujumbe uliotolewa. Hakuna mtu aliyeshindwa kuulewa ujumbe ambao uko explicit kabisa.

Someni ujumbe wa Dr. Slaa kwenye thread hii.
Anasema:
Selemani,

Facts please. Slaa was not in Dodoma. Are u sure Slaa na Mbowe pushed for it? Wabunge wana maamuzi katika mambo yanayohusu utendaji ndani ya Bunge kwa kufuata msimamo wa Chama. Nadhani kuna contradiction mahali,kama walipiga kura, walio wengi wakashinda, kuna swala la fulani ku "push".

Ni vema tukajadili kukiwa na facts lakini kwa kuzingatia misingi ya demokrasia yenyewe.

Katika thread muhimu kama hii kitu pekee alichochangia Dr. SLaa ni kuwa hakuwepo Dodoma. Kwa tunaojua uchangiaji wa Dr. Slaa tunapata ujumbe mzito hapa. Dr. Slaa hajatoa kauli yoyote juu ya kumtambua au kutokumtambua Rais. Hii inadhihirisha kuwa nafsi yake inajisikia guilty.

Ukiwa makini utagundua pia kuwa hapo awali matamko ya Chadema juu ya uchaguzi yamekuwa yakitolewa na Dr. Slaa. Ila hili la leo limetolewa na Mbowe. Kuna kitu cha kujifunza hapo.
 
Hili ndio tamko la Chadema la kutokumtambua rais YouTube - Dr. Slaa atolea maelezo kutoka nje kwa Wabunge wa Chadema Nov. 18, 2010
Ukisikiliza dakika ya 2 na sekunde ya 15, utasikiliza clear kabisa kuwa hawamtambui Rais Kikwete.

Hii kauli ya kumtambua Rais, kama imesemwa na Mbowe basi ni wazi kuwa wamebadilisha msimamo. Si jambo baya, limenifurahisha. Ila ni vyema Mbowe akaacha kuwalaumu wananchi kuwa wameupokea vibaya ujumbe uliotolewa. Hakuna mtu aliyeshindwa kuulewa ujumbe ambao uko explicit kabisa.

Someni ujumbe wa Dr. Slaa kwenye thread hii.
Anasema:

Katika thread muhimu kama hii kitu pekee alichochangia Dr. SLaa ni kuwa hakuwepo Dodoma. Kwa tunaojua uchangiaji wa Dr. Slaa tunapata ujumbe mzito hapa. Dr. Slaa hajatoa kauli yoyote juu ya kumtambua au kutokumtambua Rais.

Ukiwa makini utagundua pia kuwa hapo awali matamko ya Chadema juu ya uchaguzi yamekuwa yakitolewa na Dr. Slaa. Ila hili la leo limetolewa na Mbowe. Kuna kitu cha kujifunza hapo.

Kwamba Slaa analazimishwa kumtambua Rais au Mbowe analazimishwa kutomtambua Rais?

Vipi mzee, kama sikosei ulitangaza nia ya kwenda kugombea Morogoro huko? Mambo yalikwendaje? Kama nimekosea natanguliza samahani.
 
Mbowe alilazimishwa kutomtambua rais kwanza, ikafulia.

Sasa Slaa analazimishwa kumtambua rais.
 
Kwamba Slaa analazimishwa kumtambua Rais au Mbowe analazimishwa kutomtambua Rais?

Vipi mzee, kama sikosei ulitangaza nia ya kwenda kugombea Morogoro huko? Mambo yalikwendaje? Kama nimekosea natanguliza samahani.
Ukiona mtu yupo so bitter ujue aliangukia pua huyo..kwi kwi kwi..
 
Mbowe na Chadema hawafai kutupiwa lawama kama msimamo wa chama ni huu walioutoa kwa waandishi wa habari basi inaonyesha ukomavu wa kisiasa.
 
Bila hivyo, hiyo haki wataidai kutoka authority ipi? Do u see how cyclic it gets?

Wangeikubali authority kutoka mwanzo basi, ili wawe na sehemu angalau ya kuanzia kudai haki yao, unamkubali rais, unaingia bungeni, unaanza makeke yote ya kubadilisha katiba na sheria mbovu.

Sio unaleta ujuaji mwingi, hatumtambui rais, unabanwa kidogo, unabadilisha mziki. Oooh, rais tunamtambua lakini uchaguzi hatuutambui, unaonekana mzushi mzushi unayefuata bendera kufuata upepo, badala ya kuwapa mwongozo wananchi waliochoka na CCM, wewe ndiye unayumbisha mageuzi.
 
Kwamba Slaa analazimishwa kumtambua Rais au Mbowe analazimishwa kutomtambua Rais?

Vipi mzee, kama sikosei ulitangaza nia ya kwenda kugombea Morogoro huko? Mambo yalikwendaje? Kama nimekosea natanguliza samahani.

Hapo ni kwamba chama hakina msimamo kama chama, ila ni kila kiongozi akipata kipaza sauti anatoa msimamo wake.

Kiongozi,
Morogoro kweli niligombea. Ila "niliangukia pua" kama alivyotabiri mchangiaji.
Hujakosea. Tuendelee kuwa pamoja.
 
Mbowe na Chadema hawafai kutupiwa lawama kama msimamo wa chama ni huu walioutoa kwa waandishi wa habari basi inaonyesha ukomavu wa kisiasa.

Wamefanya kile ilichowabidi wafanye, wangekuwa na ukomavu wa kisiasa hata wasingeingia katika hili quagmire in the first place. Hili lilikuwa "Dead End Street" limewekewa kibao kikubwa, hawakusoma.OK, hawajui kusoma labda, hata lile jibwa la CCM linaitwa katiba hawakuliona?

dog-with-dead-end-sign.jpg
 
Wangeikubali authority kutoka mwanzo basi, ili wawe na sehemu angalau ya kuanzia kudai haki yao, unamkubali rais, unaingia bungeni, unaanza makeke yote ya kubadilisha katiba na sheria mbovu.
Sio unaleta ujuaji mwingi, hatumtambui rais, unabanwa kidogo, unabadilisha mziki. Oooh, rais tunamtambua lakini uchaguzi hatuutambui, unaonekana mzushi mzushi unayefuata bendera kufuata upepo, badala ya kuwapa mwongozo wananchi waliochoka na CCM, wewe ndiye unayumbisha mageuzi.

Wangekubali authority baada ya kushiriki uchaguzi na kuleta hayo madai yao bado mngewashadadia kwamba kwanini mlishiriki uchaguzi. Hamna jema.
 
Afterall, ni chama chao, funds zao, wanachama na washabiki wao, who are u kuwashadadia wafanye unavyotaka wewe? they can do whatever the fvck they deem fit.

Mimi sina uwezo wa kuwataka wafanye ninavyotaka mimi, naeleza ninavyoona kwamba wamechemka. Ndiyo maana ya demokrasia.

You are right, they can do whatever they want.

Wanaweza hata kupanda majukwaani na kujikojolea nguoni, siwezi kuwazuia, lakini ukweli kwamba siwezi na wala sina haki ya kuwazuia haunizuii kusema kwamba mtu anayejikojolea jukwaani makusudi hafai kuongoza nchi.

Halafu unakosea unaposema "funds zao", vyama vyenyewe vinaendeshwa kwa ruzuku ya walipa kodi.
 
Ruzuku kutoka kwene kodi gani ambayo inashindwa hata kuweka asprin kwene zahanati? Ninaeza kukisia kwamba ruzuku ya vyama wanayopewa Chadema haiwezi kugharamia kampeni hata kwene jimbo moja tu.

Pili unaeza ukadhani mtu anajikojolea kumbe tatizo ni wewe mwenyewe malaria imepanda kichwani.
 
Na wewe unaweza kuona mie malaria imepanda kichwani kumbe sivyo.

CHADEMA wamefanya vitu kwa pupa bila strategy sasa yanawatokea puani, wenyewe wame surrender sasa nashangaa fanboys wanakuwa wapambe nuksi kuliko hata mwenyekiti wa chama.
 
Jambo lipi wamelifanya kwa pupa? Wewe ulitaka wagomee hutuba ya JK lini? pale atakapovunja bunge kabla ya uchaguzi wa 2015? Hizi bigotry nyingine ni aina ya ukichaa.
 
Nilishasema hapo juu kuhusu dead end street, ukifika hapo unaamua moja, unaingia na kuchimba njia, au huingii kabisa.Sio unaingia halafu unarudi ulikotoka, utaonekana unapoteza muda tu.
 
Lets be real for a moment jamani. Slaa alisema hawamtambui Kikwete kama Rais halali. Leo Mbowe anasema wanamtambua raisi.

Halafu Mbowe anasema kwamba Mdee, Zitto na wengineo walikuwa wagonjwa. Wakati wote tunajua kwamba walipinga suala la ku-walk out, lakini wakashindwa kwa kura--ikabidi wao waamue kutokuja kabisa bungeni. Mbowe anatudanganya kama sisi watoto wadogo.

Mwisho anasema kwamba the decision was endorsed by a party, wakati tunajua kabisa kina Mzee Ndesamburo, Mdee, Zitto, Lucy Owenya--wote walipinga hilo suala. But Slaa na Mbowe pushed for it. Sasa mbona anatudanganya live.

Tukisema the decision was endorsed by The Parliament Haimaanishi kwamba hakuna mbunge aliyepinga maamuzi isipokuwa walipopiga kura, waliounga mkono walikuwa wengi na hoja ikapitishwa, hiyo ndiyo demokrasia sasa wewe mbona unaongea pumba?

Mbowe na Dr Slaa wote wametoa kauli moja kama viongozi wa Chadema, Rejea chapisho la Dr Slaa humu JF, wamesema kikatiba hawawezi kumpinga Mkwere mahakamani kwa hiyo wanamtambua kama rais na watafanya naye kazi, pia wabunge na madiwani wa CHADEMA watafanya kazi kama kawaida, Lakini pamoja na hilo, CHADEMA wanapinga mfumo na utaratibu uliomwingiza Mkwere ikulu kwa njia ya Kuchakachua.

Walkout ya Wabunge ilikuwa Symbolic demonstration na hii mijadala inaonesha kuwa walifanikiwa kwa 100% this is what they needed. ni kama kwenye akina Odinga walipowaambia wafuasi wao waingie mtaani na kuandamana. Chadema kwa kuonesha kukomaa na kuzuia athari za wananchi wa Arusha, Moshi, Dar, Mwanza, Irisha, Rukwa, Mbeya, Kigoma, nk ambao wangeambiwa tuandamane pasinge kalika. Wawakilishi wao ndiyo wameandamana kwa niaba yetu

Kwa hilo nawapa hongera CHADEMA na Mmefanikiwa sana.
 
Back
Top Bottom