Chadema (Mbowe): We recognise the president

The backlash of Michezo ya kuigiza. We told you so. Mnataka kumfariji Dr. Slaa on expense of WaTanzania wote. Here is Mbowe.

Dominic Nkolimwa
Chadema yesterday clarified that it recognised the elected president and blamed the public for misinterpreting its MPs walkout when the head of state was about to address the parliament.

"There is misinterpretation of facts regarding our stand…people did not understand what we meant when we staged a walkout as the President was delivering his speech in the Parliament," said Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, in an exclusive interview with The Guardian yesterday.
"The actions by Chadema MPs to walk out of the House did not mean we don't recognise the president and his government," added Mbowe.
The walkout that sparked off a public debate last week, according to the opposition leader, aimed to express their displeasures over presidential results announced by the National Electoral Commission (NEC).

He explained that the party has no intention of boycotting parliamentary proceedings, as MPs were elected by the people who expect a lot from them.
"We only wanted to express our dissatisfaction with the presidential results, which announced Kikwete as the winner. But we have no plans to snub subsequent parliamentary sessions. We continue attending sessions as per the procedures," said Mbowe.
He blamed the general public for misinterpreting their position, saying it was not true the party does not recognise the president and the present government.
"I am wondering where this myth came from. If we don't recognise the president and the government, we would have not participated in the election of the Speaker of the National Assembly and the endorsement of the Prime Minister, Mizengo Pinda," said Mbowe.
He said people confused Chadema's stance of not recognising the presidential results announced by NEC as not recognising the head of state.

"We can't reject the president and his government while Tanzanians have accepted him to be their president. To show respect and recognition, Chadema legislators stood up when the president was entering the house, and later on walked out when he started reading his speech," said Mbowe, insisting: "the walkout did not violate any law."

He dismissed claims that Chadema legislators were pressed by their top leaders to walk out, insisting that it was a decision which was endorsed by the party and not an individual leader.
"MP Philemon Ndesamburo was not in Dodoma, Halima Mdee and John Mnyika (Huu ni uongo) were sick when the party was discussing the walkout strategy. It's not true that Chadema MPs were pressed by top leaders to stage the walkout…it's not true that some MPs rejected the decision," said Mbowe.

"In short, it was a decision reached by consensus of all people who attended the planning meeting," noted Chadema leader. (Kwa hiyo Zitto muongo au?)
Mbowe, reaffirmed the party's stand to continue pushing for constitutional reforms to allow the presidential results to be challenged in courts, establishment of an independent electoral body and the formation of a probe committee to investigate irregularities and related incidents that marred in the 2010 general election.
Recently, Chadema issued in a statement saying it does not recognize the presidential election results by NEC.

The party national chairman and official leader of Opposition in the parliament, Freeman Mbowe told journalists in Dodoma, that's the only way Chadema can react to the situation because of the bad laws instituted by the constitution.

"You will remember that before election results were officially announced, we told NEC to stop announcing the presidential results due to irregularities that had taken place during the whole process of election," local media quoted Mbowe.
THE GUARDIAN

I said it before, and I will say it again. Chadema hamko serious. Young bloods like Zitto and Mdee are feeling the incompetence of their leadership.

Duh ! kweli wajinga wali wao aisee ! Leo hii Mbowe anatusaliti tena, mie sitaki tena Siasa .
 
Lets be real for a moment jamani. Slaa alisema hawamtambui Kikwete kama Rais halali. Leo Mbowe anasema wanamtambua raisi.

Halafu Mbowe anasema kwamba Mdee, Zitto na wengineo walikuwa wagonjwa. Wakati wote tunajua kwamba walipinga suala la ku-walk out, lakini wakashindwa kwa kura--ikabidi wao waamue kutokuja kabisa bungeni. Mbowe anatudanganya kama sisi watoto wadogo.

Mwisho anasema kwamba the decision was endorsed by a party, wakati tunajua kabisa kina Mzee Ndesamburo, Mdee, Zitto, Lucy Owenya--wote walipinga hilo suala. But Slaa na Mbowe pushed for it. Sasa mbona anatudanganya live.
Habari hiyo hapo juu, wapi kasema Zitto alikuwa mgonjwa au una akili kama za Makamba aliyesema "nina fahamu wizara husika imesema ni raia lakini mimi nina sema sio raia" akili za kulazimisha vitu.
 
With due respect.Nimegundua jambo moja kubwa sana na ambalo kuna baadhi ya watu watakereka kulisikia.CHADEMA inaamsha watu walio katika nusu kaputi (deep anaesthesia).watanzania ni watu wa AJABU sana.
 
The backlash of Michezo ya kuigiza. We told you so. Mnataka kumfariji Dr. Slaa on expense of WaTanzania wote. Here is Mbowe.

Dominic Nkolimwa
Chadema yesterday clarified that it recognised the elected president and blamed the public for misinterpreting its MPs walkout when the head of state was about to address the parliament.

"There is misinterpretation of facts regarding our stand…people did not understand what we meant when we staged a walkout as the President was delivering his speech in the Parliament," said Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, in an exclusive interview with The Guardian yesterday.
"The actions by Chadema MPs to walk out of the House did not mean we don't recognise the president and his government," added Mbowe.
The walkout that sparked off a public debate last week, according to the opposition leader, aimed to express their displeasures over presidential results announced by the National Electoral Commission (NEC).

He explained that the party has no intention of boycotting parliamentary proceedings, as MPs were elected by the people who expect a lot from them.
"We only wanted to express our dissatisfaction with the presidential results, which announced Kikwete as the winner. But we have no plans to snub subsequent parliamentary sessions. We continue attending sessions as per the procedures," said Mbowe.
He blamed the general public for misinterpreting their position, saying it was not true the party does not recognise the president and the present government.
"I am wondering where this myth came from. If we don't recognise the president and the government, we would have not participated in the election of the Speaker of the National Assembly and the endorsement of the Prime Minister, Mizengo Pinda," said Mbowe.
He said people confused Chadema's stance of not recognising the presidential results announced by NEC as not recognising the head of state.

"We can't reject the president and his government while Tanzanians have accepted him to be their president. To show respect and recognition, Chadema legislators stood up when the president was entering the house, and later on walked out when he started reading his speech," said Mbowe, insisting: "the walkout did not violate any law."

He dismissed claims that Chadema legislators were pressed by their top leaders to walk out, insisting that it was a decision which was endorsed by the party and not an individual leader.
"MP Philemon Ndesamburo was not in Dodoma, Halima Mdee and John Mnyika (Huu ni uongo) were sick when the party was discussing the walkout strategy. It's not true that Chadema MPs were pressed by top leaders to stage the walkout…it's not true that some MPs rejected the decision," said Mbowe.

"In short, it was a decision reached by consensus of all people who attended the planning meeting," noted Chadema leader. (Kwa hiyo Zitto muongo au?)
Mbowe, reaffirmed the party's stand to continue pushing for constitutional reforms to allow the presidential results to be challenged in courts, establishment of an independent electoral body and the formation of a probe committee to investigate irregularities and related incidents that marred in the 2010 general election.
Recently, Chadema issued in a statement saying it does not recognize the presidential election results by NEC.

The party national chairman and official leader of Opposition in the parliament, Freeman Mbowe told journalists in Dodoma, that's the only way Chadema can react to the situation because of the bad laws instituted by the constitution.

"You will remember that before election results were officially announced, we told NEC to stop announcing the presidential results due to irregularities that had taken place during the whole process of election," local media quoted Mbowe.
THE GUARDIAN

I said it before, and I will say it again. Chadema hamko serious. Young bloods like Zitto and Mdee are feeling the incompetence of their leadership.
You didn't get the intended message, tatizo ni kusoma haraka haraka wakati ukiwa tayari na majibu yako kichwani, tatizo si Kikwete ni mfumo wa kumtangaza rais.
 
Jamani msimamo wa Mbowe umeeleweka (unless uakanushe).

Kwangu hii ni sawa ya kusema tusahau yaliyopita tusonge mbele.

Ni kauli nzito kutoka kwa mtu mzito. hatuna haja ya kutafuta mshindi na mshindwa wala kendeleza suala hili.

TUSONGE MBELE.
 
Vibaraka wa ccm mnajua chadema ilivyo mwiba kwenu na bado mtaendelea kukosa raha mwendo mdundo kiongozi mbowe pipoz power ipo na wewe -kiwewe kitaendelea kuwabana na bado watakosa raha. Kazi yetu ipo palepale kumkomboa mtanzania maskini. Tunaendelea kuwabana kuhusu uchakachuaji, kuhusu katiba mpya na kuhusu tume mpya. Fitina na chuki zenu pelekeni kwa wezi na mafisadi ccm
 
Kinachowauma ni huo mdondoko wa nguvu wa JK katika kura! Kipenzi kuanguka hivyo! Halafu isitoshe wamepigwa bumbuazi jinsi - mafisadi wao walivyodondoshewa nyundo -- huko MZA, ARS, Rombo na kwingineko! Watz wameamka, hawataki viongozi wanaotumiwa na mafisadi na hii itadhihirika hadi CCM ife kabisa iwapo wataendelea kuwakumbatia mafisadi.
 
Pesambili Mramba anaishi Dar Es salaam....... je kunauhusiano hapa
 
Hawa supporters wa JK wananishangaza sana. Mara nyingi hawapendi kutaja neno "ufisadi" katika post zao zinazojibu tuhuma za CCM za ufisadi.

Hata msipotaja 'ufisadi' kwani neno hilo linawatetemesha na kuwasumbua, Waanzania sasa wanajua ufisadi upo, JK ni mmoja wao (kama anapinga aachie ushahidi wa Radar na Kagoda uwekwe wazi). Hivyo kulindana kupo, wizi wa kura upo, na Watanzania wataendelea kuichukia CCM kwa sababu ya vitu hivyo ambavyo akina Dar es Salaam wanaona ndiyo mtaji mkubwa wa utawala wao.
 
Lets be real for a moment jamani. Slaa alisema hawamtambui Kikwete kama Rais halali. Leo Mbowe anasema wanamtambua raisi.

Halafu Mbowe anasema kwamba Mdee, Zitto na wengineo walikuwa wagonjwa. Wakati wote tunajua kwamba walipinga suala la ku-walk out, lakini wakashindwa kwa kura--ikabidi wao waamue kutokuja kabisa bungeni. Mbowe anatudanganya kama sisi watoto wadogo.

Mwisho anasema kwamba the decision was endorsed by a party, wakati tunajua kabisa kina Mzee Ndesamburo, Mdee, Zitto, Lucy Owenya--wote walipinga hilo suala. But Slaa na Mbowe pushed for it. Sasa mbona anatudanganya live.
Wewe ni nani ndani ya CDM mpaka unajifanya una uchungu na unatumia maneno kama WANATUDANGANYA? Ungeanzisha thread inayowashauri wakina Chiligati watumie vipengele vipi vya sheria kuwatoa CDM bungeni, washauri watumie vipengele vipi vya kanuni za bunge. Acha cheap talking.
Selemani Saidi Juma Kiravu.
 
Nimesema kitu jana juu ya vyombo vya Habari,na mwanzo ndio huu kuwa wekea watu maneno mdomoni,this will never come out from Mbowe's mouth.

Tutasikia mengi tu.
 
"Kuufyata' kwa Mbowe hakumaananishi vita dhidi ya mafisadi ndani ya CCM imemalizika -- msijidanganye. CDM itaendelea na ajenda hiyo ya kuwatokomeza mafisadi na safari hii wapambanaji wasiyotetereka wametinga mjengoni -- na hili ndiyo ishara ya muweweseko wenu wa sasa hivi. Uzi ule ule, CCM nguo zote chini, kila kitu hadharani. Wakati wa kutumbua raha zenu kutokana na rasilimali za wananchi unaanza kuyoyoma hivyo.
 
Siasa za bongo bwana.....

Bombe anasema wagombea wote walipitisha wakati Zitto anasema la, lipo kundi lilipopinga.

Na wote wawili ni viongozi wa juu wa chama.

Ndugu yangu ni ama unasema uongo au hukumsikiliza Zitto akiongea. Alichosema Zitto kilichotokea ndicho alichosema Mbowe. Zitto alisema kura zilipigwa na waliosema walk out ifanyike walishinda. Yeye akaamua kutoingia bungeni kabisa. Mbowe pia amesema hivyo hivyo kuwa ulikuwa uamuzi wa chama. Sasa katika masuala ya uongozi, kama kamati ama chama kimeamua, mtu binafsi kama unapinga then you must surrender your opinion. Hapa ndipo watu kama Zitto wanatakiwa wajieleze vizuri. Hata hivyo katika mapambano huwa kuna wanafiki, watu wa kujipendekeza, waoga, na kwa upande mwingine kuna majasiri wasio ogopa na wanaosukumwa zaidi na uzalendo.

CHADEMA MWENDO MDUNDO
 
Wachangiaji wenzangu, mwenzenu mie naona kama tunataka kutoka kwenye issue yenyewe. Hebu tujadili ule mzizi wa jambo, sio matawi. Kilichopo hapa kikubwa walichofanya chadema ni kupeleka ujumbe wa kutoridhika na mfumo uliopo sasa wa uchaguzi (katiba, na tume) uliomweka Kikwete madarakani pamoja na kuweko kwa kasoro kubwa katika uchaguzi huo. Hilo ndilo wapigania mabadiliko wanalopaswa kuliongelea kwa kuwa lina maslahi ya taifa, ndilo litakaloamua kukua kwa demokrasia ya kweli nchini. Kusema kweli, chadema kinapaswa kupongezwa kwa angalau kuthubutu kuonesha kivitendo na kwa njia ya amani kuwa mfumo tulionao haufai. Na wadau wote wa demokrasia wanapaswa kuunga mkono hili kwa nguvu zote.

Kinachosumbua mawazo ya baadhi ya watu ni kutomtambua raisi. Nadhani ni muhimu kuelewa kuwa chadema kutokutambua uhalali wa kutangazwa raisi aliyepo kunapaswa kutofautishwa na kutokumtambua. Aliwahi kusema Mwl Nyerere kuwa "raisi ni raisi hata kama ni raisi haramu." Akishaapishwa kwa mujibu wa katiba ni raisi. Kiti chake cha urasi ni kiti kilichowekwa na katiba. Na katiba hiyo ndiyo iliyosema akishatangazwa uhalali wake usipingwe wala usichunguzwe. Kwa hiyo katiba inalazimisha raisi atambuliwe. Lakini hii haina maana kuwa kumtambua ni kukubali kuwa yuko kihalali. Anaweza kuwepo kisheri, lakini uhalali wake kidemokrasia ukawa bado haupo. Kwa kuwa hakuna mlango wa kikatiba wa kupinga kutangazwa kwake, basi mlango pekee wa kupinga unabaki ule wa kidemokrasia, yaani wa kuonesha hisia za kutokutambua uhalali wake bila kuvunja sheria. Kwa jicho la kidemokrasia chadema haimtambui raisi, lakini kwa jicho la kisheria linamtambua. Hakuna mkanganyiko hapo ni uelewa tu.

La msingi ni kwamba sheria, na hapa nina maana katiba, imeminya demokrasia. Na kwa ccm kukubaliana na hilo kwa kuwa tu inafaidika na mfumo huo, ina maana kuwa ccm ni dikteka, hii ni pamoja na raisi aliyechaguliwa. Kwa hiyo protest ni lazima. Hata wanaccm wapenda demokrasia wa kweli lazima wakubali hili. Tatizo la wengine ni too myopic.
 
Lets be real for a moment jamani. Slaa alisema hawamtambui Kikwete kama Rais halali. Leo Mbowe anasema wanamtambua raisi.

Halafu Mbowe anasema kwamba Mdee, Zitto na wengineo walikuwa wagonjwa. Wakati wote tunajua kwamba walipinga suala la ku-walk out, lakini wakashindwa kwa kura--ikabidi wao waamue kutokuja kabisa bungeni. Mbowe anatudanganya kama sisi watoto wadogo.

Mwisho anasema kwamba the decision was endorsed by a party, wakati tunajua kabisa kina Mzee Ndesamburo, Mdee, Zitto, Lucy Owenya--wote walipinga hilo suala. But Slaa na Mbowe pushed for it. Sasa mbona anatudanganya live.

2Pac anakwambia "I predicted this shyt, in Tupacalypse" I feel like that now.

I hate to say I told you so, but I told you so.

Now I ain't no damn CCM supporter, but that doesn't mean I can't see a fake move from the opposition.

Yaani CHADEMA wamejishusha hadhi kichizi, kwa sababu mimi mtu muongo na kigeugeu simpendi simpendi, na najua CHADEMA mtakuja nipiga mawe hapa, poa tu. Mi nilifikiri vyama vya upinzani vinatakiwa kutuonyesha siasa bora kuliko tulizozoea, leo mnatuletea upupu?

Mara hatumtambui rais, mara tunamtambua rais hatutambui matokeo. Matokeo ndiyo yanayotupa rais, sasa kama matokeo huyatambui utamtambuaje rais? Mkeo hujamjua lakini mtoto wako? Atapass DNA test kweli?

CHADEMA washajifanya kuwa one of the biggest laughingstock in Tanzanian politics, wamejionyesha kuwa nguvu ya soda, hawana strategy, hawana mantiki, na ni watu wa show tu. CCM walishaanza kuhamaki lakini kwa mtaji huu watacheka sana.
 
Mimi nimesoma magazeti mwananchi, the guardian na daily news nimeshtushwa na kauli ya Mbowe. Mimi nilihisi lazima atakuja kuilemba lemba kitendo cha kutoka nje ya bunge, moja wapo ni maslahi bainafsi na kupenda vya dezo ambayo ni kila nmwanasiasa hata kwa wale wasiona wanasiasa na wale ambao wanajifanya kuwa na misismamo mikali hata pata JF hasa wale wachadema.

Mbowe baada ya kupata habari kuwa CCM itapeleka hoja ya kuwatoa katika uongozi wa upinzani,
  • ameogopa kukosa gari ambalo halina namba limeandika KUB ambalo ni ishara ya 'ukubwa' kila takapo pita
  • pamoja na dereva
  • atakosa ofisi kubwa tu aliyopewa na
  • wafanyakazi na stationaries
Vyote hiyo kwa gharama ya mlipa kodi na marupurupu kibao yanayoendana na nafasi hiyo. Kama ambavyo mawaziri wanavyotanua. Pamoja na kwamba yeye kama F. Mbowe anapesa za kumtosha lakini hana tofauti na wanasiasa wengine wanaopenda ukubwa na marupurupu yake.

Nilijua na niliona ni kiini macho kumkataaa rais wakati unaendelea kutumikia bunge ambalo rais ni mmoja wa wabunge kulingana na katiba ya jamhuri ya muungani wa tanzania,
Unamkataa rais wakati unaendelea kula posho na kuchukua magari ya ubunge. Kweli ilikuwa danganya toto, sasa Mbowe anasema hawamkatai rais ila walitaka tu kupeleka ujumbe basi hivyo wanataka waongee na serikali ya Dr. Jakaya Kikwete wayamalize mapema ili CCM wasije kuwaondoa kwenye uongozi wa upinzani maana tayari mbowe ameunda baraza la mawaziri kivuli anasuburi tu Rais JK atangaze la kwake nayeye afanye mabadiliko kidogo kulingana na Rais JK alivyounda wizara zake.

Ama kweli siasa ni kiini macho kikubwa, wakereketwa wa chadema wenye kupinga kila kitu ambacho hakiendani na chadema ama kinaelekea upande wa ccm baadhi yao hawaamini na watakuja na kauli kali na wale wa kutukana kwa kukosa ustaarabu watatukana ila ukweli ubaki pale pale "never trust a politician" they always change and refine statments to justify their interests and keep on saying " we do not have permanent enemy or friend, "your big enemy in the morning will turn to be a big friend in the afternoon."

Kwa taarifa yako Mbowe ameishi maisha ya raha tangu amezaliwa. Baba yake alikuwa mfanyabiashara mwenye hela, na yeye ni mfanyabiashara mwenye hela. Haya mambo uliyotaja hapa naouna unatumia fikira za njaa zaidi.
 
"....If we don't recognise the president and the government, we would have not participated in the election of the Speaker of the National Assembly and the endorsement of the Prime Minister, Mizengo Pinda," said Mbowe.

Suala hili lilijadiliwa hapa na wana chadema (fanatics ambao ni wengi) bado kidogo watoke vipovu walipoelezwa kuwa kumhakiki Pinda ni sawa na kumtambua rais.

Labda sasa Bosi mkuu kasema wataelewa.

Fanboys wa CHADEMA mmemsikia kamanda wenu anadesa utirio wangu hapo?
 
Sasa kulingana na katiba hakuna rais?
Nyie vipi? Kusema hatumtambui rais na kusema hakuna rais ni vitu viwili tofauti.
Be great thinkers :redfaces:
 
Back
Top Bottom