CHADEMA mbona kimya? Mnatugusha

Wewe jk nn? Au jk jnr? Maana hoja yako ni nyepesi sana kama vile unahojiwa na bbc! You are not a tineja am sure, wewe ni mbabu and stupid
Nilijua tu haya ni mawazo ya mtoto. asante kwa kujitambulisha kuwa ndio umemaliza chuo jana. bado utineja unakusumbua.
 
Mzee yupi nimwulize kati ya hawa? Sitta, lowasa, wasira,chenge,rostam,makamba,mramba au mama yako??
HIvi vingine ndio kwanza havijajua hata kujinunulia wenyewe maji ya kuoshea wanaanza chokochoko, mngejua tumetoka wapi haya ya leo mngeyaona ni neema kubwa sana. Tanzania ndio ilikuwa hivi miaka 25 nyuma?Kijana uliza wazee wako.
 
Wewe jk nn? Au jk jnr? Maana hoja yako ni nyepesi sana kama vile unahojiwa na bbc! You are not a tineja am sure, wewe ni mbabu and stupid

Fanya mpango tuwasiliane nikupe kazi, maana bado uko jobless ndio maana unamawazo ya vijiweni. serikali inapata hasara kwa kutumia pesa zake kukusomesha kisha una toa mawazo ambayo hata ambaye hajaenda shule hawezi toa.
 
Faizafoxy....umesema kweli kabisa!! Hawa watu wanachukulia mambo kirahisi rahisi, hatuendi hivyo, hata Dr. Slaa hawezi kuwa na mawao mepesi kama haya, eti tuanzishe maandamano. Sasa maandamano ndo yatakupa nauli ya kwenda Songea? nyie ndiyo vibaka mnataka loop hole ya maandamano kupora mali za raia kama ilivyofanyika Mwanza. Nilishuhudia mwenyewe kijana wa kichaga ana duka tu la vipodozi hawa wanaojiita wamachinga wakakivunja na kuchukua kila kitu. Nyie msitake kuwafanya watu wakaichukukia Chadema wakidhani ndiyo sera yake, mwone Mr. Mark akutoe na nauli urudi kwenu ukatafute kazi. Kama vipi njoo nipo Mtaa wa Mafere hapa Kinondoni, utakula na kulala bure
 
We babu mbona mjinga sana!! Serikali inatumia fedha zake!!! Serikali haina fedha,ni fedha ya wananchi!? Umesoma kweli ww?
Fanya mpango tuwasiliane nikupe kazi, maana bado uko jobless ndio maana unamawazo ya vijiweni. serikali inapata hasara kwa kutumia pesa zake kukusomesha kisha una toa mawazo ambayo hata ambaye hajaenda shule hawezi toa.
 
kaka darasa la pili nini? ms?sokomoko?? kwa stahili hii hata hizo satanic verses zenu itakuwa kazi kuziandika! pole sana!

yani hayo ndio ulioweza kugundua ktk post yote? undio majibu uliweza kupata ktk bongo lako?
 
Naona CDM wanatumia falsafa ya "ndugu wakigombana" Ni vyema CDM waktueleza wao watanfanya ama wangefanya nini.Si vibaya kama wako kimya kwasasa coz ni vyema tu "kimkakati"However eventually ni muhimu watupe ideas kwamba wao wangefanyaje ama watafanyaje ikiwa watapewa nchi.
Wakuu, mimi natazama tofauti, sidhani kama kuna mtu ambaye amekuwa akipambana na issue ya umeme kama Mnyika.

Kama unataka kijua hilo soma hotuba yake ya wizara ya nishati na madini. Nadhani ni hotuba nzuri kuliko hotuba yoyote kwenye hili bunge linaloendelea. Ni hotuba ambayo ilikuwa na ukina wa kutosha na kama wewe ni mvivu wa kusoma usingeweza kuimaliza maana ilikuwa na mambo mengi sana.

Tatizo la umeme si tatizo la mipango maana mipango yote ipo na ni mizuri na kila mtu anaikubali. Tatizo ni vipaumbele kwenye serikali ya ccm. Kama ccm wangelichukulia swala umeme kama kipaumbele na nia ya dhati kabisa pasipo kulifanya tatizo hili kuwa deal la wakubwa nadhani wangekuwa na kitu cha kujisifiaa kabisa.

Chadema hawahitaji kufikiria chochote katika utatuzi wa swala hili kinachotakiwa ni kuwekeza hela za kutosha kwenye umeme na kuwa na uwekezaji endelevu. Chadema walisema toka mwanzo wakati wa bajeti kuu kuwa serikali haikuwa na nia ya kutatua tatizo la umeme maana haikuwa imetenga hela ya kutosha japo hata kuongeza 200MW kwa mwaka huu.

Mimi naamini cdm wako on track kwenye hii issue ya umeme na wanasubiri mwisho wa hii tuhuma watafanya nini hawa ccm. Kila mtu anajua ccm haitafanya chochote cha maana lakini cdm wanajua mahali pa kwenda kuwabana. Tusubiri tuone, kama ccm wanaweza kutumia hii nafasi vizuri lakini hawataweza kuuana wao kwa wao ni lazima watachemsha na ndo cdm wataichukua hii issue kiupana zaidi.
 
HIvi vingine ndio kwanza havijajua hata kujinunulia wenyewe maji ya kuoshea wanaanza chokochoko, mngejua tumetoka wapi haya ya leo mngeyaona ni neema kubwa sana. Tanzania ndio ilikuwa hivi miaka 25 nyuma?

Kijana uliza wazee wako.

Hahahha FF bana Sasa mbona rais wetu inasekena amemwmabi Zitto kabwe kuwa akiondoka yeye anatakiwa kuingia "kijana". JK mwenyewe anaona kuna matumini wa wau amabao hawajua kujinunulia maji. Wewe unadhani uwezo wa kujinuulia maji ndio unafanya mtu kuwa iongozi bora. Huu asiyejua kununua ndi ukimtuma dukani ananunua maji ya Uhai ya lita 5 kwa shilingi 700 na huyo mzoefu wako mwingine ananua maji ya kilimaarimanjaro ya lita 1.5 kwa hilingi 700 ( Refer to BAE, EPA, KAGODA, MEREMETA, jairo.........)


But nadhani hata wewe FF kwa jinsi navyoona michango yako kidogo inaweza kuwa na maana sana baada ya mwaka 2015. Hata kama CCM itachukua najua hapo unaweza kuwaza kuchambua baadhi ya mambo kwa kutumia akili zako zote. Kuna kitu kimoja tu kinafukufanya ufumbue jicho moja kwa sasa badala ya macho mawili. Tombe uzima......

Maana kuna watu JK akisimangwa arudishe nyumba zote za sesrikali hawaelewi wanaona anonewa just bcs aliyepo madarakani ni JK. May be akiingia rais wa "jinsia" tfauti kuna mambo mtaelewa...........

Kuhusu kuwauliza wazee wangu mbona hata wao wanasema maika yao hawakuwa na vitu vya luxury lakini maisha yalikuwa mazuri. Tena katika mzee wangu una mmoja yeye ndo alinimbia nisome kitabu cha walter Rodney..... Nakushaurisoma hiki kitabuuate cocept ya ma maendeleo

Kifupi kwa CCM hakuna neema labda ya wachache.

Ngoja nikueleze kifupi mm sio mwana CDM bali ni mtaka mabadiliko. Nacho jua CCM wil come much better , energetic and with more touch to ppl kama watawekwa benchi japo kwa miaka mitano tu....... Wewe unaonaje
 
..................................

Mimi naamini cdm wako on track kwenye hii issue ya umeme na wanasubiri mwisho wa hii tuhuma watafanya nini hawa ccm. Kila mtu anajua ccm haitafanya chochote cha maana lakini cdm wanajua mahali pa kwenda kuwabana. Tusubiri tuone, kama ccm wanaweza kutumia hii nafasi vizuri lakini hawataweza kuuana wao kwa wao ni lazima watachemsha na ndo cdm wataichukua hii issue kiupana zaidi.

Mkuu nakuballina CDM wako on track lakini binafsi naona CDM wlitakiwa kuwa wameshatoa Press realease ya msimamo wao. CDM tunategema walitakiwa kuwakumbusha Polis na IGP mwema kuwa walikuwa fasta kumpeleka Mbowe kwa helikopta arusha iweje Polisi na Taukuru wanasikia habari za Rushwa hawahoji baadhi ya watuhumiwa.

Ndio hapa unaona kuna vyombo vinaitwa huru lakini vinafanya kazi kisiasa.

CDM inatakiwa kuwa imejifunza mpaka sasa CCM ni reactive. Sasa kama CDM wanasubiri CCM wafanye kitu kuhuus hii ikashfa nyeti alafu wao ndiwe wawe reactive sioni kama ni vizuri. CDM should an ahve been ahead. CDM wanatakiwa kuwaambia na kuwapiga lecturer CCM Mwema na Hosea nini walitakiwa wafanye kuhsu hii isse mpaka sasa . Ni kwa maunfaa ya wanachi.

CDM wanatakiwa kuwambia Mwema amkamate Jairo na wamuhoji kwa maelezo ya awali Polisi Wawahoji pia hao waloituma pesa . Ngeleja na mwenzake Malima wakitoka bungeni Pia wahojiwe.

Anyway labda niko desparate lakini niliona hapa kulikuwa na opportunity ya CDM kuitumia mapema sana kabla hawajaaza kuya edit maflle na wahusika kupanga wajibu nini au kupoteza ushahidi.

CDM waambieni CCM kama hawawaelewei mtakuja kuwashatki kwa wnananchi na style yenu ya mashtaka wanaijua.
 
Back
Top Bottom