CHADEMA - Mbeya: Mwendo mdundo!

leo hii tar 15. 07. 2012 kumefanyika chaguzi za serikali za mitaa hapa jiji Mbeya ili kuziba nafasi za wenyeviti na wajumbe walio hamia CHADEMA / Kufariki dunia

jumla kulikuwa na chaguzi 7 serikali za mitaa katika hiyo CHADEMA imechukua 6 na CCM moja (1) tu

mojawapo ni

  • ILEMI - CHADEMA pamoja na mjumbe nafasi moja
  • ILOLO - CCM
  • MWANJELWA MTAA WA BANK - CHADEMA
  • MWANSEKWA- CHADEMA
  • SINDE - CHADEM
  • MWANSANGA - CHADEMA
  • KAGERA - CHADEMA (mjumbe wa serikali ya mtaa)

furaha yanu kubwa uongozi wangu wote ni CHADEMA kuanzia m/kiti, Diwani, hadi mbunge " so I 'm very happy now "

Hapa Mbeya leo ni shangwe ile mbayaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom