CHADEMA - Mbeya: Mwendo mdundo!

Naona ule 'mtaji' wa magamba unazidi kutoweka... Mpaka tufike 2015, hakuna rangi wataacho kuona.
 
Chama cha Mabwepande watahaha sana mwaka huu na hzo ni ngurumo tu bado rasharasha na mvua kamili 2015,keep moving CDM
 
Naona lyanyungu limekolea kipome, watajibeba huko hao magamba!! 2015 tutang'oa mkoa mzima.
 
leo hii tar 15. 07. 2012 kumefanyika chaguzi za serikali za mitaa hapa jiji Mbeya ili kuziba nafasi za wenyeviti na wajumbe walio hamia CHADEMA / Kufariki dunia

jumla kulikuwa na chaguzi 10 serikali za mitaa katika hiyo CHADEMA imechukua 8 na CCM 2 tu

mojawapo ni

  • ILEMI - CHADEMA pamoja na mjumbe nafasi moja
  • ILOLO - CCM
  • MWANJELWA - CHADEMA
  • MWAKIBETE - CHADEMA
  • etc (habari kamili kesho)

furaha yanu kubwa uongozi wangu wote ni CHADEMA kuanzia m/kiti, Diwani, hadi mbunge " so I 'm very happy now "

Huu ni uwongo uliyepindukia shindwa na ulegee katika jina la YESU aliyehai

Sasa unapoweka Bandiko la UONGO unaweka ili iweje
 
Ni ujumbe serikali za mitaa
Nafasi ni 25
CCM imeshinda nafasi 17
CDM ineshinda nafasi 8

Haya ndiyo matokeo halisi ya MBEYA
 
leo hii tar 15. 07. 2012 kumefanyika chaguzi za serikali za mitaa hapa jiji Mbeya ili kuziba nafasi za wenyeviti na wajumbe walio hamia CHADEMA / Kufariki dunia

jumla kulikuwa na chaguzi 10 serikali za mitaa katika hiyo CHADEMA imechukua 8 na CCM 2 tu

mojawapo ni

  • ILEMI - CHADEMA pamoja na mjumbe nafasi moja
  • ILOLO - CCM
  • MWANJELWA - CHADEMA
  • MWAKIBETE - CHADEMA
  • etc (habari kamili kesho)

furaha yanu kubwa uongozi wangu wote ni CHADEMA kuanzia m/kiti, Diwani, hadi mbunge " so I 'm very happy now "
Kuna mdau mmoja aliniambia kwamba hata Manispaa ya Shinyanga mwendo mdundo. Tafadhali wenye data wazimwage hapa pia.
 
SASA WHICH IS WHICH?? MBONA MNATUCHANGANYA??
MNADANGANYA KWA FAIDA YA NANI?? MARA CDM KASHINDA TUKIANZA KUFURAI MARA CCM KASHINDA....
dahh PAMBAF SANa
 
Ni ujumbe serikali za mitaa
Nafasi ni 25
CCM imeshinda nafasi 17
CDM ineshinda nafasi 8

Haya ndiyo matokeo halisi ya MBEYA
ni haki yako kujidanganya kwa sababu ni aibu sisi tunasikitika kwa nini tumeshindwa mtaa wa ILOLO
 
sasa which is which?? Mbona mnatuchanganya??
Mnadanganya kwa faida ya nani?? Mara cdm kashinda tukianza kufurai mara ccm kashinda....
Dahh pambaf sana
don't panic ukweli nime uweka na mitaa yote anayebisha aseme na aweke mitaa yote kama nilivyofanya mimi
 
leo hii tar 15. 07. 2012 kumefanyika chaguzi za serikali za mitaa hapa jiji Mbeya ili kuziba nafasi za wenyeviti na wajumbe walio hamia CHADEMA / Kufariki dunia

jumla kulikuwa na chaguzi 7 serikali za mitaa katika hiyo CHADEMA imechukua 6 na CCM moja (1) tu

mojawapo ni

  • ILEMI - CHADEMA pamoja na mjumbe nafasi moja
  • ILOLO - CCM
  • MWANJELWA MTAA WA BANK - CHADEMA
  • MWANSEKWA- CHADEMA
  • SINDE - CHADEM
  • MWANSANGA - CHADEMA
  • KAGERA - CHADEMA (mjumbe wa serikali ya mtaa)

furaha yanu kubwa uongozi wangu wote ni CHADEMA kuanzia m/kiti, Diwani, hadi mbunge " so I 'm very happy now "
Mkuu umeona hapa chini, sijui ni lipi sahihi maana kuna hadi thread inahizi data chini. Tunaomba mtupe habari kamili wakuu.
Ni ujumbe serikali za mitaa
Nafasi ni 25
CCM imeshinda nafasi 17
CDM ineshinda nafasi 8

Haya ndiyo matokeo halisi ya MBEYA
Naimani nawewe umeona hizo data kwa juu, bila kutaja mitaa au kata tunapata tabu kuamini habari yeyote!!
 
leo hii tar 15. 07. 2012 kumefanyika chaguzi za serikali za mitaa hapa jiji Mbeya ili kuziba nafasi za wenyeviti na wajumbe walio hamia CHADEMA / Kufariki dunia

jumla kulikuwa na chaguzi 7 serikali za mitaa katika hiyo CHADEMA imechukua 6 na CCM moja (1) tu

mojawapo ni

  • ILEMI - CHADEMA pamoja na mjumbe nafasi moja
  • ILOLO - CCM
  • MWANJELWA MTAA WA BANK - CHADEMA
  • MWANSEKWA- CHADEMA
  • SINDE - CHADEM
  • MWANSANGA - CHADEMA
  • KAGERA - CHADEMA (mjumbe wa serikali ya mtaa)

furaha yanu kubwa uongozi wangu wote ni CHADEMA kuanzia m/kiti, Diwani, hadi mbunge " so I 'm very happy now "

magamba yanapukutikajeee?
 
Ni habari nzuri kuelekea kwenye Ukombozi, Nnauye Jr akisikia lazima ajiharishie na Mr Vasco Da Gama pori a.k.a The Explorer lazima apatwe na Oilcom kwa muda sio BP tena

Ajiharishie? Siyo kweli. Ataeleza kwa nguvu kwamba hilo siyo tatizo ni kwamba CCM inamwaga oil chafu
 
leo hii tar 15. 07. 2012 kumefanyika chaguzi za serikali za mitaa hapa jiji Mbeya ili kuziba nafasi za wenyeviti na wajumbe walio hamia CHADEMA / Kufariki dunia

jumla kulikuwa na chaguzi 7 serikali za mitaa katika hiyo CHADEMA imechukua 6 na CCM moja (1) tu

mojawapo ni

  • ILEMI - CHADEMA pamoja na mjumbe nafasi moja
  • ILOLO - CCM
  • MWANJELWA MTAA WA BANK - CHADEMA
  • MWANSEKWA- CHADEMA
  • SINDE - CHADEM
  • MWANSANGA - CHADEMA
  • KAGERA - CHADEMA (mjumbe wa serikali ya mtaa)

furaha yanu kubwa uongozi wangu wote ni CHADEMA kuanzia m/kiti, Diwani, hadi mbunge " so I 'm very happy now "
MPAKA MWAKA 2015 NA rAISI ATAKUWA CHADEMA SEMA AMENI..................
 
mkuu umeona hapa chini, sijui ni lipi sahihi maana kuna hadi thread inahizi data chini. Tunaomba mtupe habari kamili wakuu.

Naimani nawewe umeona hizo data kwa juu, bila kutaja mitaa au kata tunapata tabu kuamini habari yeyote!!

25 mbona wengi sana ina mana kuna wenyeviti wengi kiasi hicho wamehamia chadema halafu jiulize hivi leo hii mbeya ccm inaweza kupata viti 17, huku chadema ikiambulia 8....KWANINI HUYO WA 25 ASITUTAJIE NA MAJINA YA VIJIJI HUSIKA KAMA ALIVYOFANYA Duble Chris
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom