Chadema maandamano ya chadema kote nchini kesho yamefutwa?

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Wadau kuna habari kubwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Jambo Leo la leo kwamba maandamano ya kesho ya mikoa kumi yaliyoandaliwa na chama kikuu cha upinzani chadema yamefutwa na hayapo.Ninaomba wakuu wa chadema mliopo JF mtujuze mapema kwani kuna watu wanasafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa ajili ya kushiriki maandamano haya ya kihistoria.
Endapo kama ni kweli yamefutwa isipotolewa taarifa mapema wananchi wataanza kupoteza matumaini na chama hiki kikuu cha upinzani.Kwani kila kona ya nchi gumzo mpaka asubuhi hii ni maandamano ya kesho...
 
sidhani kama wananchi watapoteza imani na Chadema, ila wananchi wamesha poteza imani na magamba siku nyingi.
Magamba ndio yanafuta na kunyima vbibali vya maandamano
 
Tupeni habari wakuu tujue ch kufanya sisi watz halisi tunaoogopwa na mafisadi km ukoma
 
Nafikiri ungeweka hapa sababu ya kufutwa na taarifa ya kufutwa imetolewa na nani? labda tungeweza kujadili then sisi hatujaweka imani yetu kwa CHADEMA KAMA CHADEMA ILA TUNATAKA MABADILIKO NDIYO MAANA CHADEMA WAKILETA ZAO ZIPI TUNAKISULUBU KAMA CCM. ACHA WOGA!
 
AISE msinicheke nazugumza English ya MBUNGE --- PROPER GAMBA CHADEMA itaendelea kuwachachafia hawa MAFISADI. You know what, you cannnot change the mindset of Wasomi wa Tanzania. We cannot be cheated any longer hata wakikata mandamano waTanzania wanjua CHADEMA ni tishio ndio maana. WANATUONGEZEA MAARUFU tuu.

YEAR 2015 CHAMA CHA MAFISADI have no way tutaona. ATUTALALA MPAKA KIELEWEKE ---- PEOPLES POWER will still remain the SAME
 
NGOJA NI SEME KWA HATA BWANA MKUBWA JESUS AMEMWAGA DAMU NDIO MAANA TUMEKUMBOLEWA KWA HIVYO NA SISI ATUONGOPI FFU WA BRODA WAKE WALA SISTA WAKE. HAKI NI YETU and if they are not part of hiyo HAKI tunavyo lilia basi wajaribu nguvu ya UMMA.

Sijui wanalipwa pesa ngapi hawa wajina FFU kuwa piga ndugu zao. WAJINGA KWELI KWELI. Aisee Mbeya na Arusha watawamaliza tuu kisilensa. Wenzetu awachezewi. HURAAAAAAY PEOPLES POWER
 
Nani kawaambia hicho kijarida cha kina Ridhi1 nani asiyekijua kwa upotoshaji?Hadi sasa hakuina habari za kiinterejensia so kesho kama kawa tunangoja ratiba kamili tuuuuuuu......People'sssssssssssssssssss............................Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.....:rip:CCM.
 
NO WAY . Aise WADAU wangu juzi nilikwa semu semu kwenye majishi ya jaama guess what :: BWANA RICHMOND alikwepo mnyonge kama paka kanyeshewa nvua. Imewenekana hali yake ni tata kabisa. Namsabu wake wenye nguvu kabisa bila kutetereka.

AISEEEEE WAKUU WANGU, JAAMA DHAMBI INAMTAFUNA KIDOGO KIDOGO. BORA ARUDISHE MALI ZA WATANZANIA KWA WATANZANIA BILA HIVYO AISEEEE ITAMTAFUNA KWELI KWELI. AJITOE TUU KAMA ZAKAYO ---- ARUDISHE MALI MARA 10 TUU. MUNGU AMREHEMU TUU KAME KWISHA NGUVU AISEE MPAKA ANATIA HURUMA. AISEEE BAALA
 
Ilo si gazeti ila ni kijarida, move kama kawaida ratiba inatoka leo soon, msijali wanamageuzi, tupo pamoja tanzania nzima nguvu ya uma inanguruma Jumamosi!!! mapoja wakuu.
 
Naomba msiamini magazeti ya SISIEMU mara moja. Maandamano yako pale pale. Asubuhi hii magari ya kwenda kuandaa maandamano kibaha yameshaondoka.
 
NGOJA NI SEME KWA HATA BWANA MKUBWA JESUS AMEMWAGA DAMU NDIO MAANA TUMEKUMBOLEWA KWA HIVYO NA SISI ATUONGOPI FFU WA BRODA WAKE WALA SISTA WAKE. HAKI NI YETU and if they are not part of hiyo HAKI tunavyo lilia basi wajaribu nguvu ya UMMA.

Sijui wanalipwa pesa ngapi hawa wajina FFU kuwa piga ndugu zao. WAJINGA KWELI KWELI. Aisee Mbeya na Arusha watawamaliza tuu kisilensa. Wenzetu awachezewi. HURAAAAAAY PEOPLES POWER
he na we upo
 
Mimi hata yakifutwa nitaandamana peke yangu kuelekea ofisi ya waziri wa katiba hapa Dar es salaam.
 
Wadau kuna habari kubwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Jambo Leo la leo kwamba maandamano ya kesho ya mikoa kumi yaliyoandaliwa na chama kikuu cha upinzani chadema yamefutwa na hayapo.Ninaomba wakuu wa chadema mliopo JF mtujuze mapema kwani kuna watu wanasafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa ajili ya kushiriki maandamano haya ya kihistoria.
Endapo kama ni kweli yamefutwa isipotolewa taarifa mapema wananchi wataanza kupoteza matumaini na chama hiki kikuu cha upinzani.Kwani kila kona ya nchi gumzo mpaka asubuhi hii ni maandamano ya kesho...
Nafikiri unasumbuliwa na gamba kama ulichelewa wakati wenzako wanatolewa magamba wahi hospitali.
 
Back
Top Bottom