Chadema Live kutoka Kimara Bonyokwa

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Wa JF kuna post moja nilisoma humu JF ikisema kuna leo jumamosi kuna mkutano wa chadema kimara bonyokwa.

Pls mwenye taarifa anijuze kama kuna mabadiliko yoyote kwani nimejiaanda vema kusikia hotuba za viongozi wangu wakuu kama Heche, Mnyika Tundu Lisu na Mdee,mwenye uhakika na taarifa zozote atujuze
 
Mkutano upo mkuu nadhani maripota wa JF wako huko watupe live coverage tafadhali
 
Mkutano upo mkuu nadhani maripota wa JF wako huko watupe live coverage tafadhali

Nakushukuru kwa kunihakikishia kuwa mkutano upo ila hao makamanda mbona respond yao ni negative?watujuze hayo maandalizi cos nipo hapa viwanja vya bonyokwa naona hakuna kinachoendelea
 
Nakushukuru kwa kunihakikishia kuwa mkutano upo ila hao makamanda mbona respond yao ni negative?watujuze hayo maandalizi cos nipo hapa viwanja vya bonyokwa naona hakuna kinachoendelea

Mbona nimeona bandiko la Heche kwenye FB wall yake anasema ni kimara mavurunza?
 
Nakushukuru kwa kunihakikishia kuwa mkutano upo ila hao makamanda mbona respond yao ni negative?watujuze hayo maandalizi cos nipo hapa viwanja vya bonyokwa naona hakuna kinachoendelea

Umeambiwa mkutano upo tangazo lipo kwenye FB.
 
Jamani mkutano umeanza au haupo?makamanda walioko kwenye tukio pls any updates?
 
Tuwekee picha mkuu, ikiwezekana na ujumbe wa sauti kabisa
 
Mapambano Daima,CCM kwisha habari,huku Iringa Mchungaji Msigwa anapiga mkutano wa 5 bado mikutano 12 ili itimie 17 ambayo imepangwa ifanyike,huko Tanga nako makamanda kina Zitto wamepinga mikutano ya kufa mtu! Viva Chadema.
 
Kaka tunaomba picha tafadhali, ili ritz aamini kuwa chadema ni zaidi ya anavyoifahamu, ritz msalimie faiza foxy kwisha habari yenu na 2015 mtaihama nchi hii.

nipo hapa kimara bonyokwa live,sasa zinaimbwa nyimbo za ukombozi wa taifa juu ya mafisadi,si muda mrefu nawaletea picha
 
Chadema kweli mmekosa mvuto. Hebu ona Sredi yenu haina wachangiaji!!!

Wacha longolongo...wachangiaji tupo tele mkuu...tunapima upepo...hii ni week end bwana...waweza kurupuka kuchagia wakati zimo kichwani...ukaa mbulia ban.:Hahahaaaaa!
 
Back
Top Bottom