CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

mimi ni mpenzi wa chadema laikini kuna pahala wanafikia watu huwadhania ni uchagga,nadhani viongozi wake ni wasikivu wataliangalia hili kwani wanachama ni wengi na wenye uwezo kushika hizo nyidifa,Komu namfahamu enzi za chuo,mstari wake ni kina Bazigiza,mbatia,cyril chami,matare matiku,kimaro na wengine wengi Komu ana upambanaji wake siyo kwenye vitu kama hivyo,mpeni Komu position inayomfaa huyo ni pmanaji tunamjua
 
One day Nguruvi 3 talked about publicity problem of CDM,all blame above concerning the same thing,CDM must change on this aspect otherwise will cost them soon.the infomation was hiden because of chagalism!!!!!!, it is very bad,CDM change for better look.
 
Chadema hawakufanya home-work yao vizuri kwani arguement yao kuwa wapewe viti viwili ingeenda mbali zaidi kuwa hivyo viti ni lazima viwe kufuatana na wingi wa wabunge upande wa upinzani kama charter ya E.A. community inavyosema; kuwa vyama vinavyowakiliswa bungeni ni lazima viwe na uwakilishi kwenye bunge la E.A.!! Na hao wawakilishi wa upinzani kama wale wa ccm wachaguliwe sio na bunge lote bali kila chama chenye wabunge bungeni kichague wawakilishi wake!! Sasa chadema waliomba viti viwili kwa upinzani na ccm wamekubali lakini watahakikisha kwa kutumia wingi wao bungeni kuwa Chadema hawapati muwakilishi ingawa wao ni wengi upande wa opposition!! NCCR Mageuzi wana mbunge mmoja technically na wao inawezekana kabisa wakapata mbunge kutokana na performance ya candidates wao!
 
Escober, may you pls give us the list of other CHADEMA CANDIDATES whom were contesting apart from Anthony Komu? Chadema had an opportunity to put more candidates in opposition group and other group but they did not! do you know why? why only one name? if other member contested within the party as per your above explanation?
Hawajui kutafsiri sheria..... ujanja mwingi, mbele kiza!
 
I have been watching the election for East African Legislative Assembly today, but it seems CHADEMA was caught unaware, they did not groom very competent candidate to represent the party,Anthony Komu tried his best but according to my opinion NCCR Mageuzi has the best Candidate to represent us in EALA for opposition side.

I always put my country first , Therefore let us take this as a challenge to all members of CHADEMA and our leaders to learn from this mistake.

Why CHADEMA did not motivate and give more information to the general public so that a lot of our competent members from CHADEMA represent THE party, It was really a shame to CHADEMA today and we deserve answers from party top brass why they did not motivate and groom competent members?

All in all a lot of credit to NCCR-MAGEUZI, I am impressed with their candidate and i hope Madam PERPETUA NDERIKO and Polisya Mwaiseje will be elected.

May God Bless our Country


Executive,

..I am sorry, lakini nadhani huku sana ni kubweteka.

..Huko kwenye bunge la Afrika Mashariki kunahitaji watu wanaojituma /self motivated / self starters, siyo watu wa kusukumwa-sukumwa na chama.

..Binafsi nitawalaumu CDM kama kuna mtu ataweza kututhibitishia kwamba ktk mchakato wao there were better candidates lakini wakaachwa na badala yake wakapeleka candidate ambaye ni weak na incompetent.
 
Mama Nderiko Kessy amefunika mbaya hata kama hatapita ameitangaza NCCR vizuri.CHADEMA Komu si mwanasiasa namfahamu amegombea mara 2 kule MOSHI ameambulia patupu so next time msipeleke mtu ni mtu bali pelekeni mgombea atakaye kitangaza Chama na si msindikizaji.Kwli leo PEOPLES tumechemka.MGOMBEA anapaswa awe na HAIBA,MSEMAJI MZURI,AJUE LUGHA HUSIKA IPASAVYO,MWENYE BASHASHA,MVUTO NA MWENYE KUJIAMINI.KOMU namlaumu kwa kugombea huku akijua hana sifa hizo.Yeye Mungu hakumpa talents hizo so aridhike na kukaa ofisini awape wengine fursa ya kukinadi chama.VIONGOZI anzeni kuwashawishi watu wazuri kama akina mama Nderiko wajiuge na CHADEMA mwanavipaji.HONGERA sana mama Nderiko
 
mama Nderiko was good, but on the other side Makongoro Nyerere was the best today.
i wish Makongoro was the CDM member, he realy made my day taday
 
Huo ndo ukoloni mambole,mnambeza Kumo wakat na nyie nyuzi zenu "mmezipamba"kwa marashi ya kimagharibi..embu acheni kufikiri kwa lugha za kigeni.

Huyu Executive alitaka achaguliwe yeye ndo maana ametujia hapa na kiingereza kiiingiii, nachoshangaa hata process ya kumpta mgombea hajui
 
ni ngumu CDM kushinda ndani ya bunge kwan wana upinzan mkali. keep in mind CUF na CCM ni kitu kimoja
 
Lazima CHADEMA wakubali kuwa wameshindwa kucheza karata yao vizuri, frankly speaking Anthony Komu was not the right candidate to contest for EALA. NCCR MAGEUZI did their homework well.
 
Hivi wewe kwa akili yako CDM hata kama ingepeleka kichwa kama Lisu ingeshinda kweli?

CCM katu wasingekuwa na hawapo tayari kumpigia mgombea CDM ashinde.

Kwa ujinga wako unaeneza ukaskazini, funguka wewe.
 
mambo ya kusikia/kuambiwa yanakufanya utokwe na kwapa matakoni? ukipigwa ban utamlaumu nani?
 
hivi ni kwanini chadema hawakupeleka watu wengi kama NCCR ? au lilikuwa ni agizo la mkuu ?
 
Hivi wewe kwa akili yako CDM hata kama ingepeleka kichwa kama Lisu ingeshinda kweli?

CCM katu wasingekuwa na hawapo tayari kumpigia mgombea CDM ashinde.

Kwa ujinga wako unaeneza ukaskazini, funguka wewe.
Maneno ya mkosaji...mm najua huwezi simama nilipo..kwanza upo mbali sana na jicho langu lilipo juu ya siasa za chama changu cha cdm.
 
Join Date : 17th March 2012

Posts : 10
Rep Power : 307
Likes Received
1

Likes Given3

Bila shaka huyu nae ni mmoja kati ya "waliochinjiwa" baharini.... Pole sana punguza hasira.
 
Kwa namna yeyote ccm wasingekubali chadema washinde hata angekuwa ni mtu mzuri kiasi gani!!! Wala hakuna la kulaumiana!
 
hivi ni kwanini chadema hawakupeleka watu wengi kama NCCR ? au lilikuwa ni agizo la mkuu ?
Amri toka kwa mbowe ndio iliyotufikisha hapa...alisema anataka jina moja tu nalo nila anton komu..akidhani anton komu akiwa pekee yake atashinda ubunge kumbe ndio anharibu.Bora tungesimamisha majembe kama mawili au watatu hivi..tungefika mbali
 
Maneno ya mkosaji...mm najua huwezi simama nilipo..kwanza upo mbali sana na jicho langu lilipo juu ya siasa za chama changu cha cdm.

Wewe ni mtu mbabaishaji sana na hata huko unakosema nisikoweza kusimama sitaki kusimama maana najua NJAA NDIYO INAYOKUSUMBUA.

Fanya kazi siyo lazima uwe mwanasiasa, siasa haikupendi wewe kwa sababu ya kuendekeza majungu na umbea.
 
Wanaothubutu kusema daima ndio wanademokrasia wa kweli,hili ndilo liloujaza moyo wako,lisemwalo lipo Comrade tumeshindwa vibaya sana hatukuwa na ushawishi,wenye hekima hurudi na kujiuliza
 
Back
Top Bottom