CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

Jana Kulikuwa Na Thread Yenye Kichwa Cha Habari Hicho Naona Ilifutwa. Sasa Labda Ni Mods Wamearishwa Na Mbowe Au Vipi?
Mimi Nakubaliana Na Chinga Kuwa Bwana Mbowe Ana Mkakati Wa Kumtoa Nje Ya Chadema Kiongozi Mahiri Chacha Wangwe.

Bwana Wangwe Amepania Kuuondoa Uchagga Na Ufalme Ndani Ya Chadema.

Naomba Mjadala Uendelee.
 
Haya tena,Ukisikia mtu anajenga nyumba bila msingi na inaisha ndo haya! Ndugu yangu hii ni baseless mada!!Facts are realities, na tunahitaji facts!!
 
ZA WENGINE ZIKIFUTWA OOOH JF INAANDAMWA..........MBONA ZA MBOWE ZINAFUTWA....! MBOWEMANIA....!
 
saa nyingine mods hapa wakiamua kuwa vichwa vya kuku WANAWEZA KUWA KWELI KWELI !
 
ZA WENGINE ZIKIFUTWA OOOH JF INAANDAMWA..........MBONA ZA MBOWE ZINAFUTWA....! MBOWEMANIA....!

kufuta kwao threads za mbowe ndio kwanza kutatufanya tuamshe akili na kumjadili zaidi maana IWEJE HUYO FISADI MBOWE ASIHOJIWE ??
 
Haya tena,Ukisikia mtu anajenga nyumba bila msingi na inaisha ndo haya! Ndugu yangu hii ni baseless mada!!Facts are realities, na tunahitaji facts!!

Unataka Facts zipi mkuu wetu? kama wewe ni mpenzi wa Chadema utajua kuwa kuna moto mkali kiasi MBOWE kufukuzwa masomo yake -HULL hajuti,
amejawa na hofu kubwa kuwa akiondoka tu bwana Chacha Wangwe atachukua nafasi yake ya uenyekiti.

MBOWE amekuwa akipita kila sehemu na kusema kuwa Makamu Mwenyekiti (Wangwe) hana kazi yeyote ya maana kwani anatakiwa kufanya kazi pale tu endapo bwana Mbowe atakuwa hayupo.

Baada ya bwana Mbowe kuona hana lake Chadema ndio amekuwa akijipitisha kwa kina mama wa Chadema ili apate huruma.

naomba upitie vipeperushi vya Wangwe ambavyo kila mpenzi na anayeitakia wema Chadema anavyo.

WANGWE amechoshwa kuona ruzuku zote anakula MBOWE na mkwe bwana MTEI.na wabunge wa viti maalum lazima wawe wachagga tu au wale wataokubali kulala na MBOWE.
 
HAYA KWA MARA NYINGINE TENA......KAMA HICHO KIPEPERUSHI CHAWEZA PATIKANA..........KIWEKWE ILI HOJA IJIBIWE KWA HOJA....!
 
Mahesabu.
vitu hivi vya Wangwe yaani huko Chadema hadi uwe na meno ya dhahabu ndio uthaminiwe.
http://www.dailynews-tsn.com/habarileo/page.php?id=6170

Safi sana mwenye macho haambiwi ona. waliopo kwenye field wanasema kuna ubaguzi mkubwa wa kikabila na kidini kwa vile Wangwe ni Rastafarian, na chadema ni ya wakristu.
watakuja wapumbavu wako marekani na kuleta ubishi. maneno haya ni ya MBUNGE wa kuchaguliwa wa chadema.
Kitila upo?
 
Kama kawaida Chama cha Wachagga-Chadema, kimekumbwa na gogoro heavy na mwenyekiti na Makamu wake hawaelewani.

katika hali isiyotarajiwa mtumishi wa Mbowe maarufu kama Mwanakijiji ameporomosha maneno ya kejeri kwa mheshimiwa Wangwe.

habari kamili iko kwenye redio ya Mwanakijiji au redio ya Chadema kwani ccm wanamiliki Redio Uhuru na wenzetu Chadema wamekuja na redio yao.sikiliza vitimbi vya gogoro hilo.
http://mwanakijiji.podomatic.com/entry/2008-03-24T22_32_09-07_00
 
Nadhani its hould be an opes season kwa wanasiasa wetu wote

wa cham tawala na wale wa Upinzani

lao ni moja

kutufanya wajinga
 
Kama kawaida Chama cha Wachagga-Chadema, kimekumbwa na gogoro heavy na mwenyekiti na Makamu wake hawaelewani.

katika hali isiyotarajiwa mtumishi wa Mbowe maarufu kama Mwanakijiji ameporomosha maneno ya kejeri kwa mheshimiwa Wangwe.

habari kamili iko kwenye redio ya Mwanakijiji au redio ya Chadema kwani ccm wanamiliki Redio Uhuru na wenzetu Chadema wamekuja na redio yao.sikiliza vitimbi vya gogoro hilo.
http://mwanakijiji.podomatic.com/entry/2008-03-24T22_32_09-07_00
kheeeeee kheeeeee heeeeeee....Eeeh!
 
hii kali, sasa mkjj njoo ujibu shutuma.

mzee unataka kukigawa chadema? au unataka wangwe akose mshiko hio nafasi upewe wewe?

njoo uweke wazi info hapa
MKJJ HUSEMA......"HOJA HUJIBIWA KWA HOJA".........!
HAYA SASA MTALII HUYO KAJA NA KITU KINATAKA JIBU(sio bla...bla). KTK POST ZILIZOPITA NIMEWAHI KUWA AGAINST MTALII BAADA YA KUJA NA HOJA YA KUBOMOA,JE HOJA HII NAYO ITAKUWAJE......WATAZAMAJI TUPO PEMBENI TUNASUBIRI....!
 
Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga, ajibu nini na kila kitu kipo wazi? umemshuka.
 
Hivi nini hasa lengo la mwandishi kuita CHADEMA kuwa ni chama cha Wachaga? Ina maana kuwa ndani ya kile chama hakuna watu kutoka makabila mengine?
 
Back
Top Bottom