Chadema: Kwanini vyuo vikuu

Great thinker huyo, si mchezo ati!

Niiteni majina mnayotaka tu. Mageuzi ya kweli ya Nchi hii yataletwa na hawa vijana wa mitaani tu na si vinginevyo. Hebu niambieni maandamano na migomo ya wanafunzi wa vyuo vikuu tangu enzi za Mwalimu yameleta mabadiliko gani Nchi Hii?
 
Bahati mbaya huna elimu ya chuo kikuu, ungekuwa na elimu hiyo ingekupa uwezo wa kujuwa kwa nini wanafunzi wa vyuo vikuu ni muhimu na sio wale wa VETA.
VYUO vya sasa, wanafunzi wa sasa na Maprofesa wa sasa!!!! HAKUNA KITU.ni ujinga mtupu.. sio CDM tu bali chama chochote kitakachotaka kuleta mabadiliko kupitia wanafunzi wa vyuo vikuu, basi itakuwa inajidanganya.
nimekuwa nikiwaangalia kwa ukaribu sana wanavyuo wa zama hizi na nlichokishuhudia ni ujinga uliokithiri katika bongo zao.
kama kuna ambaye alihudhuria KONGAMANO LA KWANZA LA KUDAI KATIBA pale mlimani, ataniunga mkono juu ya viwango finyu vya uelewa vya wanavyuo wetu.
ukiambiwa huyu mropokaji ni mwanafunzi/muhitimu wa university!!! utakataa.
1.wanafikiria mambo kwa upeo mdogooooooo
2. wana haraka ya kufikia malengo bila ya kuwa na mipango(pupa)
3. hawajui thamani wala umuhimu wa elimu yao kwa jamii(hawajaelimika)
4. wanadanganyika kirahisi( hawana hoja)
5. wana tamaa kupindukia(wananunulika kirahisi)
6.wanaendeshwa na jazba( upungufu mkubwa wa busara)
7. ni rahisi kutumika kama CONDOM( HAWANA UJASIRI WA KUFANYA MAAMUZI)

KWA UJUMLA HILI SIO KUNDI LINALOTUPA MATARAJIO YOYOTE KATIKA UKOMBOZI.
ni nani kati yenu aliyemsikia na kumuelewa
IBRAHIM KADUMA
TWAHA ULIMWENGU( JENERALI)
ISSA SHIVJI???????????????????????
 
Back
Top Bottom