kuigawa nchi kwenye majimbo siyo kitu kilichokopiwa pahala, hii ilikuwapo tangu awali kama unaijua historia ya nchi hii palikuwa na majimbo nane, pia vyama vingi siyo vigeni kwenye nchi hii. Na kama u mwangalifu na mfuatiaji makini utagundua kwamba cdm inatoa sera na chama chako inazifuata, fungua macho yako ya akili utaona.