- Thread starter
- #21
Kamanda naomba weka wazi kama kweli wewe ni John Mrema
Mimi ni Molemo mkuu wangu.
Kamanda naomba weka wazi kama kweli wewe ni John Mrema
Wanazindua siku hiyo hiyo ya Jumamosi. Baada ya kuona watu wengi sana watahudhuria uzinduzi wa CHADEMA, wakaona bora wakazindulie Tengeru pale sokoni, siku ambayo ni siku ya Gulio. Wamecheza alama za nyakati
bado kwanza Mwigulu anakusanya mpunga kwa wahindi na wamekuwa wagumu kweli maana wanadai Mwigulu amekuwa mvivu kuwasaidia kule TRA, yeye anajua kula tu kuliwa anabanaNa ccm wanazindua lini ?
Hivi huyu tentemeke hajurikani ni nani, namfananisha na speaker sitta.
chadema hii ikoje mnabeba mijitu ya kia na arusha kuongeza namba arumeru.
wameru mmetunyangánya mji wetu wa arusha mnataka kutuibia na arumeru, wizi mtupu hatudanganyiki.
Na ccm wanazindua lini ?
Mkuu watatumia uwanja gani kama ni pale Tengeru sokoni uwanjani mdogo sana.
Wanazindua siku hiyo hiyo ya Jumamosi. Baada ya kuona watu wengi sana watahudhuria uzinduzi wa CHADEMA, wakaona bora wakazindulie Tengeru pale sokoni, siku ambayo ni siku ya Gulio. Wamecheza alama za nyakati
chadema hii ikoje mnabeba mijitu ya kia na arusha kuongeza namba arumeru.
wameru mmetunyangánya mji wetu wa arusha mnataka kutuibia na arumeru, wizi mtupu hatudanganyiki.
Ngoma ndio inaanza kuchezwa, sasa tushuhudie mafahali yakipigana huko arumeru!tahadhari: ole wake atakaye toa au kujaribu kutoa rushwa na ole wake atakayejaribu kufikiria kuiba kura!!patachimbika bila jembe!!tupo njian kuongeza nguvu jumamosi,