CHADEMA kuweni makini

tutaweza

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
634
457
Isije ikawa ushindi wa majimbo mawili (Sumbawanga na Singida) mmepewa ili mkianza kulalamika muambiwe mbona na kule mmeshinda!?
Wenzenu wakawa wanashinda kwenye majimbo wanayotaka wabunge wake wasionekane kule mjengoni kutokana na kuisumbua serikali!
Tusubirini hukumu ya mnyika!

Unaweza kuchangia na wewe unahisi ni nini kinaendelea nyuma ya pazia.

HUU NI MTAZAMO WANGU BINAFSI, SIO TETESI.
 
wasionekane kule mjengoni kutokana na kuisumbua serikali!
Tusubirini hukumu ya mnyika!

Unaweza kuchangia na wewe unahisi ni nini kinaendelea nyuma ya pazia.
sheria na ushabiki mbali mbali
HUU NI MTAZAMO WANGU BINAFSI, SIO TETESI.[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom