CHADEMA kuweni makini sana, kilicho nyuma ya pazia hiki hapa!

Kama JK akiachia ofis ccm watakua wameprove failure kwao nahiyyo itakua ticket kwawana cdm kuchukua nchi klaini.
:p:p:p:pnaitamani hyo siku.
 
Katika habari hii chenye ukweli nacho kifahamu ni kuhusu ugonjwa wa baba ya Rostam anaumwa cancer anatibiwa ufaransa!
 
wakuu hapa kuna element flan ukweli so wapenda mabadiliko tusipuuzie hili swla....! mm ni new member ila ni mwanachadema mzuri ni nifanya kazi kubwa kuelimisha wanafunzi wangu kuhusu umuhimu wa m4c katika inchi yetu....!

Nani anasimamia hatua za kufungua matawa kama 12 ya chadema wilayani korogwe vijijini mambo ni mazuri na mwitikio ni mzuri sana! nisaidieni link za nyuma za bwana hutaki unaacha hizo part 1&2 ili kuongeza maarifa zaidi sababu huwa sina tabia ya kupuuzia kila lisemwalo laweza kuwa habari wana m4c....! am waiting.......!
 
Hii habari imetoka kama propaganda tu kutaka kugain popularity na kuendeleka kuiweka chadema kwenye headline.

Mleta habari nna hakika kama habari yake ni kweli anayo access ya kumpata slaa,mbowe etc na kuwapa taarifa bila hata kuileta hapa.
Nini hasa lengo la kuiweka hapa.kwa mwanachadema wa kawaida anaisoma wanaweza kuinfluence nini kama ni kweli ?.

Habari haina details....kaokota majina kama apson,edward,rostamu,slaa akaweka na ukweli kidogo kuhusu kuuguza mgonjwa kwa rostam ,uongo wa hapa na pale na kuumba story aafu watu wazima na akili zao wako like....mkuu nimeamini uko jikoni WHICH IS OBVIOUSLY IDIOTIC.
 
Thread hii naiona ni mpango mkakati wa TISS kuipasua Chadema. Kumbukeni kauli ya Wasira kuwa Chadema itaparaganyika kabla ya 2015. Uzi umekaa kimtego saaana,someni kati kati ya mistari. Mimi sijainunua lakini siachi kwani naiona sumu iliyomwagwa itaingia mpaka kwenye uboho na itakuwa ngumu kuiondoa. Du TISS ni janga la nchi hii badala ya kuwa usalama wake.

ni majimaji yaliyopo ndani ya mfupa.......
Tuendelee na mada wadau
 
Hili si la kupuuzwa kama wengine wanavyodai,cha msingi ni kuwa makini na kuchukua tahadhari,kwani wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja,
sina budi kukushukuru mleta mada,
ukipata muda tumwagie tena habari.
 
Uzalendo ndio uliofanya tukajenga UJAMAA! Leo wanagawana na watoto wao mali na nguvu za wazalendo. Saa inakuja naam imeshafika ukombozi wa taifa hili ndani ya mfumo wa sirikali wakawepo wanaoasi viapo vyao na kutoa SIRI mlioko katika meza kuu jueni muda wa ukombozi umefika! Mzee Kitine enzi zako jambo hili lingewezekana mmoja wa vijana wako amwage issue nzima hivi?
 
nenda tena hapo kwenye ka kijiwe kisha uwaulize hao wanywaji wenzao juu ya mahali walipo wale vijana waliomkamata maige mwaka jana pale kibo palace akipokea pesa toka kwa wale jamaa wa vitalu akabanwa na kuulizwa na nani amemtuma kisha akutoboa na kueleza siri nzito juu ya biashara za mkuu wa nchi....wakikujibu waulize tena juu ya watu sita waliopelekwa bulgaria..wamekwenda kufanya nini na kwa nini kinaitwa kikosi maalumu kwa ajili ya kuidhibiti chadema kabla ya 2015?

asante sikuyapenda majibu yake ngoja aende akatuletee majibu
 
Yawezekana kweli!

Jana nimemwona Dr. Slaa ITV anasakata rumba na Salma Kikwete!

Naona wanatumia oppotunity zao vema kumlainisha Kamanda Mkuu!

CDM tukae chonjo!!
 
Post yote ya jamaa kuibandika hapa haijamchukua hata dakika tatu ,kisha anaishia kusema anasafiri WAPI?ukweli ni kwamba hayuko creative anaishiwa mistari ya kutunga ndani ya dakika tatu.huyu anafaa kutuma story zake kwenye magazeti ya lawalawa.
Kama ni kweli yuko jikoni hawezi kuwa mjinga kiasi cha kujilipua kwamba anasafiri kwani watamtrack down kwa kuwachunguza wanausalama wa karibu na mkuru wanaosafiri today.
Hata kama ni kweli anayosema mbona kaweka dibaji ama utangulizi badala ya kuweka details angeweza kabisa kutenga hata nusu saa ili kuweka mambo wazi.
Kama hio haitoshi anaingia na ID nyingine kwenye thread yake ili kukazia hoja..HIVI BULGARIA UNAPELEKA MTU KU?OMEA NINI,bora hata ungesema moscow,ama havana,au soza africa ambazo ccm wako na mahusiano.
ONLY A FOOL CAN BUY THIS BULLSH#T.
 
Hii hadithi iwe kweli au uongo haisaidii kitu. Rostam, Lowassa, Karume, Kikwete, Apson and the rest of the gang malumbano yao sanasana yatamchagua mgombea wa CCM. Na huyo mgombea atagaragazwa na mgombea wa CDM. Wananchi ambao wameichoka CCM hawatarudia kosa walilofanya 2010. Mwaka 2015 watapiga kura na kulinda kura. Cha msingi ni CDM kuwa makini, kuendelea actively na mikakati yake na isiyumbishwe na huku "kujipanga" kwa CCM.

Bado tutasikia hadhithi nyingi sana tu.....
 
Post yote ya jamaa kuibandika hapa haijamchukua hata dakika tatu ,kisha anaishia kusema anasafiri WAPI?ukweli ni kwamba hayuko creative anaishiwa mistari ya kutunga ndani ya dakika tatu.huyu anafaa kutuma story zake kwenye magazeti ya lawalawa.
Kama ni kweli yuko jikoni hawezi kuwa mjinga kiasi cha kujilipua kwamba anasafiri kwani watamtrack down kwa kuwachunguza wanausalama wa karibu na mkuru wanaosafiri today.
Hata kama ni kweli anayosema mbona kaweka dibaji ama utangulizi badala ya kuweka details angeweza kabisa kutenga hata nusu saa ili kuweka mambo wazi.
Kama hio haitoshi anaingia na ID nyingine kwenye thread yake ili kukazia hoja..HIVI BULGARIA UNAPELEKA MTU KU?OMEA NINI,bora hata ungesema moscow,ama havana,au soza africa ambazo ccm wako na mahusiano.
ONLY A FOOL CAN BUY THIS BULLSH#T.

Mkuu umeongea yote. Mipasho tupu. Kamanda Mbowe, Dr Slaa endeleni na mapambano, nyeupe na nyekundu haviwezi kufanana kamwe, mamluki wote wenyewe wataomba kushuka njiani. chadema ya leo si chadema ya mwaka 2000, 2005 au 2010, chadema ya leo ni ya wananchi. kama mtu hatabisha nenda popote penye mkusanyiko wa watu au ktk daladala iponde chadema uone reaction ya wananchi.
 
ni habari za kupuuza! Kikwete anaomba 2015 isifike aendelee kula bata magogoni we umasema 2013 ajiuzulu.Ni rahisi kwa marais wengi wa Afrika kubadili katiba ili waendelee kutawala nchi zao kuliko kujiuzulu ili waokoe wananchi wao.
 
Back
Top Bottom