Hutaki unaacha haya mambo unayatoaga wapi? mbona mazito.
...du, kuna vitu vyaonyesha haya yana ukweli... Mgombea binafsi, ushindi kuhojiwa mahakamani.... Mbwembwe za Shibuda... Mikutano ya "siri" kati ya Mbowe Jk....
Tiss imegawanyika katika makundi 7 na kila moja linafanya kazi kwa maslahi ya mtu flan lakini wanalipwa na serikali...kundi linalofanya kazi kwa maslahi ya nchi linapingwa vibaya sana na wengi wanapotea kwa formula ya costra nostra ...tangu 2008 kazi za kichunguzi zimekuwa zikifanywa na mashirika ya nje ya kijasus...
Kuna mtu humu aliweka Thread ya Kikwete ni Messiah na kuna kitu kikubwa atafanya kati ya 2013 au 2014 not sure.....could it be?
2. JK ajiuzulu urais mnamo mwaka 2013 hivi ili chini ya Bilal na kwa muda mfupi mabadiliko makubwa yafanyike na CHADEMA waweze kujumuishwa katika serikali hasa Dr Slaa ili kujipanga kukimaliza CHADEMA kwa urais zaidi. Ingawa JK alihofia hii technique kwa maana ya Bilal but hii naona ina mkono wa "wafanyabiashara" wakubwa wa mataifa Fulani ambao wanataka biashara zao ziende vizuri kama JK ataondoka madarakani kwani akiendelea hataweza kumweka mtu wao ili aendelee kulinda 'maslahi Fulani'
Intelijensia... Inabidi akili itulie sana ili kuamini mipango ya aina hii, lakini ni mipango inayowezekana kabisa.Mambo ya kusadikika haya. Sijapata picha ya lolote kati ya haya kuwa litatekelezeka.
Ngoja tu nisitake na niyaache
Aaaaah....aaaah.The so called ''Hutaki Unaacha'' amefanikiwa sana ku confuse jamvi hapa.Kweli Tanzania bado kuna kazi mbele, kwa hivi vichwa vya panzi! ''Not yet Uhuru''.Stori hizi hazina tofauti na zile ninazozipata kwenye kakijiwe kangu ka kahawa na kashata pale Msimbazi-Kariakoo.
Nundu na Kikwete wapi na wapi kwenye U-rais?.Nundu mwenyewe mpaka anatemwa Uwaziri alikuwa analia na Ikulu kumuhujumu kupitia kwa Naibu wake Athuman Mfutakamba.Mkubwa kuona hii ni soo kawapiga wote chini.
''Sihitaki hii, nimeiacha''.
Hutaki unaacha, asante kwa nondo, sisi tunatafakari na kuangalia upepo uvumavyo.
Kitu ninachokubali moja kwa moja ni Chadema kuweni makini, kila clue inayopatikana, kwa watu makini ni jambo la kufanyia kazi.
Nani asiyejua kuwa kura za Dk Slaa zilichakachuliwa? CCM wanajua wazi kuchakachua kura za urais 2015 itakuwa kazi ngumu sana, na yawezekana matokeo ya uchakachuaji kura za urais 2015 yanaweza kuingiza nchi yetu kwenye historia na ukizingatia ICC imeshatinga Kenya, wanatutolea macho Tanzania.
Sasa unamwambia nani wewe mdini?Sitaki nimeacha, uongo mtupu, hakuna zaidi.