CHADEMA kuweni makini sana, kilicho nyuma ya pazia hiki hapa!

Hili linawezekana kwa sababu CCM imeonekana kulainisha baadhi ya mambo ambayo ilikuwa haitaki kabisa ya ongelewe ikiwa ni pamoja na kuhojiwa ushindi wa rais mahakamani.

Hili wameliweka mahisusi kwa sababu wameshapima upepo wa kushindwa mwaka 2015 ili mpinzani akishinda apelekwea mahakamani. Wameonyesha uwezekano wa kuwepo mgombea binafsi wakati awali wakikusikia unaongelea swala hilo walikuwa wanakuhesabu kama muhaini na hili wameamuwa kulikubali ili kupunguza kura kwa mpinzani wao mkuu.
 
Ok, badala ya kuangalia maendeleo ya maskini sisi, jamaa wako bize wanagawana keki kwa niaba yetu.... wanabehave kama wataishi milele

naombea hapo mmoja atandikwe na ziraili tuone kama watarudi kwenye drawing board
 
Kuna mtu humu aliweka Thread ya Kikwete ni Messiah na kuna kitu kikubwa atafanya kati ya 2013 au 2014 not sure.....could it be?
 
Mhh....ngumu ngumu kuyaamini yote kama yalivyo..yani huyu Bilal mzee wa utalii wa ndani ndio awe raisi wa muda? Bado haiji akilini...
 
Haya twende kazi...

Mkuu omba MUNGU SANA, otherwiz ishu kama ya mtoto wa gadafi au sadam inaweza tokea. As long as wewe sio God, mambo yanaweza tokea at any dot, JIANDAE....
 
mwenyekiti wa bavicha ana nafasi ya ku neutralize hii kitu. Ye atoe tamko ya kuwa kiongozi wa juu atakayejiuzulu kapewa pesa hivyo ni msaliti wa Nguvu ya umma. Pia itunge jina la kumuita. Ili ikitokea anakuwa kashapoteza umaarufu
 
dr. Slaa, Mbowe, Heche, Mnyika, Lissu, Vincent Nyerere, Wenje, Kiwia hawawezi kusaliti. Ila Shibuda na Zitto! Siwaamini
 
Anything in this planet can happen, however, the author of this thread has chosen to go cold for the right and hard facts for wrong and soft target.

It is possible he has been asked to touch the tail of the snake so that the head can be raised and give chance for the snake hunter to determine the size of the snake before confrontation is engineered. The devil is always in the detail kindly read and work out the meaning between words.

The whistle blower has thrown the stone in the wrong direction the snake will not raise the head instead sensed the danger and i hope running away is an option viable, i mean refuse to corporate but remain alert.
 
Kwa ufupi sana, ripoti iliyomfikia JK kutoka state department ilimnyong'onyeza JK pale ilipobainika wazi kuwa hakuna mwanaCCM ambaye atamshinda EL 2015.
Hii ni dalili tosha kuwa Kikwete keshauza nchi yetu kwa Wamarekani. Unaweza kuimagine wakati wa Mzanaki analetewa ripoti ya CIA kutoka state department ya Marekani?
 
Back
Top Bottom