Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Nina furaha kubwa kuona kuwa Chadema inajipanga kuwaunganisha WaTanzania wote bila ya kujali itikadi za kidini.
Umoja huo ambao ndio muhimu katika kuiondoa CCM iliyodumu madarakani kwa nusu karne sasa,tumeona Tunis,Misri na kwengineko ,umoja wa wanancho umeweza kufanikisha wakoloni wazalendo kuondolewa madarakani baada ya kuishi ndani ya madaraka na kutotaka kuondoka.
Chadema katika mbiu hii ya kuwaunganisha wananchi wa Taifa hili la Tanzania sio itaweza kumuondoa kiongozi bali itaweza kukiondoa Chama kilichoimeza Tanzania tokea ipate uhuru.