CHADEMA kuwapokea Lowassa, Rostam Aziz na Chenge

Kwa hap bwana mzee umekata issue si kidogo ila kwenye hoja yako ya msingi ni kwamba HAUAMINIKI hata chembe.

Maana yake ni kwamba kimsingi haujatusawishi hata kwa kuweka VIAMINISHIO viwili vitatu hapa tukavipime. Na kwetu hapa JF approach kama hii kwanza ushukuru MOD wa zamu hajaipeleka hii thread kwenye friji kule ndani ndani chumba cha TEKNOLOJIA kuleee au kulipiga panga kabisa.

Angalia lisije likatokea hivo hivo ukadhania kwamba umechongewa bali ni kwamba nazungumzi uzoefu. Na mtu wa siku nyingi kama JASUSI hapo juu tukishaona katoa komenti gani kwa hoja hapo ndipo unakuta sie wengine wala htujisumbui hata kufuatilia thread yako tena!!!!!!!

Hebu tuaminishe zaidi vyanzo vyako yaelekea waifahamu zaidi CCM.

ndugu yangu mimi sijatumwa na kama unavyosema kwamba watu waangalie tarehe niliyojiunga na jamii forum nchii haitofika popote na hakuna sababu ya kuiondoa CCM madarkani kwani ccm kimeanzishwa 1977 na chadema ni chama cha 1992 kwahiyo kama wewe unataka kuangalia kuwa tarehe gani nilijiunga basi tuangalie na lini chadema ilianzishwa. na itakuwa hakuna sababu ya kupigania nafasi za uongozi wapewe vijana haliyakuwa kuna wazee ambao wako miaka mingi na wanajua mambo memngi kuliko sisi kutokana fikra zako potufu ndugu yangu. ndugu yangu tunaishi ktk science na technologia acha kasumba za kizamani kuwa umetangulia kuona jua. mimi naijua jamii forum tangu kuanzishwa kwake na nimejiunga mwaka huu baada ya kuridhishwa na kazi inayofanywa na jamii forum ktk kuwaelimisha watz. so usiwe mtu wa kudharau watu kwa sababu umetangulia kuona au kujua jambo fulani. na kama tukitumia hiyo falsafa yako mbovu basi mhe MBOWE ASINGEMCHAGUA PROFESSOR SAFARI KUWA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHADEMA HALIYAKUWA KUNA WANACHAMA WENGI WA ZAMANI.
 
Kwa hap bwana mzee umekata issue si kidogo ila kwenye hoja yako ya msingi ni kwamba HAUAMINIKI hata chembe.

Maana yake ni kwamba kimsingi haujatusawishi hata kwa kuweka VIAMINISHIO viwili vitatu hapa tukavipime. Na kwetu hapa JF approach kama hii kwanza ushukuru MOD wa zamu hajaipeleka hii thread kwenye friji kule ndani ndani chumba cha TEKNOLOJIA kuleee au kulipiga panga kabisa.

Angalia lisije likatokea hivo hivo ukadhania kwamba umechongewa bali ni kwamba nazungumzi uzoefu. Na mtu wa siku nyingi kama JASUSI hapo juu tukishaona katoa komenti gani kwa hoja hapo ndipo unakuta sie wengine wala htujisumbui hata kufuatilia thread yako tena!!!!!!!

Hebu tuaminishe zaidi vyanzo vyako yaelekea waifahamu zaidi CCM.

kaka mimi sijawaambia hii ni habari nimewaambia kuna tetesi kuwa hao jamaa watatu wanataka kujiunga na chadema na chanzo siwezi kuwaambia kwasababu nategemea kupata habari nyingi nyeti kutoka kwakwe na yy pia ni mwanachama wa huu mtandao so naogopa kuweka wazi zaidi nikakosa kupata habari zaidi. au hujajua taaluma ya uandishi wa habari ambapo somtym inatakiwa usikiweke chanzo cha habari kwa ajili ya usalama. huyu jamaa ni mmoja wa viongozi wa hii nchi. wewe vuta subira tuone. kama sio kweli tutaona na ndio maana siajazipa 100% nikasema ni tetesi kwahiyo ndugu naomba ujifunze au uchungulie kamusi ujue maana ya neno TETESI kwani inaonyesha hujajua maana yake.
 
kama wakitubu tusiwakatae. tatizo la ccm si RACHEL ila mfumo wa kifisadi walio nao. RACHEL wakija chadema bado wanaweza kufit ni sawa na kumfuga simba hawezi kuwinda swala tena.
Mmmh! Ndugu yangu hawa hata wakitubu, kujiunga na sisi CDM naona hakuna Watanzania watakao elewa somo hapo, nyie mtatetea kisheria, kisomi, kisakolojia nk. lakini piga ua galagaza WATANZANIA WA KAWAIDA ambao hata humu JF hawaingiagi HAWATAWAELEWA, wataona kuna mchezo fulani wa comedy.... believe me or not!
Kwanza siamini tetesi hizi kwani si bado watakuwa na kesi mahakamani? CDM itachukuwaje watuhumiwa wa kitu inachopigia kelele kila siku kama sio kujimaliza yenyewe.
 
CDM ni chama makini hakiwezi kupoke virusi vilivyoua ccm kwa na chenyewe kitakufa kama ccm.
 
ibange;1916616]kama wakitubu tusiwakatae. tatizo la ccm si RACHEL ila mfumo wa kifisadi walio nao. RACHEL wakija chadema bado wanaweza kufit ni sawa na kumfuga simba hawezi kuwinda swala tena. Huwezi kumchukua simba mzee umfuge then useme akitoka bandani hawezi kula ng'ombe au mbuzi atakaeonana nae.
 
ibange;1916616]kama wakitubu tusiwakatae. tatizo la ccm si RACHEL ila mfumo wa kifisadi walio nao. RACHEL wakija chadema bado wanaweza kufit ni sawa na kumfuga simba hawezi kuwinda swala tena.

Hiyo ni ngumu, huwezi kumfuga simba mzee utegemee hawezi kula ng'ombe au mbuzi akitoka nje ya banda.
 
kuna tetesi za uhakika kuwa baada ya kupewa barua zao lowasa, rostam na chenge watapokelewa chadema. Je kama ni kweli hizi tetesi wanajamii huu si itakuwa usaliti tunaofanyiwa na hawa watu ambao sisi ndio tumewafikisha hapo walipo.

acha giliba, waliokutuma waambie washindwe na walegeye!!! Waeleze cdm si mahalapamafisadi, period.
 
Acha mzaha mkuu...kwenye hii forum tunategemea watu wenye umakini wasio na mzaha,nakushauri kama una thread si lazima upost hapa JF..hata kusoma thread na post za wenzako ni heri pia..........
[/
ndugu hii tetesi niliyosikia kwa kiongozi mmoja wa ccm ambaye amenithibitishia kuwa ni kweli lowassa, rostam na chenge pamoja na viongozi wengine wa ccm wamepewa barua za kujitoa ktk chama na wanahabari za uhakika kuwa wametayarishiwa kadi za chadema.

mfate aliyekwambia akuelezee tena yaenda alila akaota akakupa ndoto badala ya facts
 
Kumbe ni tetesi tu......! ! Mbona hizo tetesi za uhakika hazina hata source? maana heading yako haiendani na ulicho andika
 
Lowassa, Chenge, Rostam ni vigumu sana kuuzika kwenye chama chochote cha siasa ikiwamo CCM; wanatuhumiwa kwa ufisadi na sidhani kama CCM na kujivua gamba itawapa barua ya aina yoyote na wakipewa watanyamazishwa kwani JK anajua wazi kuendelea zaidi ya hapo kama kuwapeleka mahakamani watakuwa wamekiangusha chama na ufisadi wa JK na mafisadi wengine yatawekwa wazi. Haiji akilini JK amtose Rostam na Lowassa, kwenye kijuvua gamba atafanya hivyo na mafisadi wote watakuwa hawana nguvu ya uongozi tena ndani ya CCM ila watalindwa na mali zao za kifisadi. Kosa kubwa CCM ni kuwasafisha hawa jamaa ili wapate uongozi serikalini kama ilivyo ndoto ya Lowassa kuwa Rais, itawapa upinzani nguvu zaidi...Tanzania bado kabisa kama sheria zipo mfano JK anatakiwa kutangaza mali zake lakini hajafanya hivyo, hii inaonyesha katiba haina nguvu na tunachotaka katiba iweke wazi mambo kama haya..utangaze mali na jinsi ulivyozipata kama hutafanya hivyo hutoruhisiwa kuongoza chama/nchi iwe kwa viongozi wote. KATIBA MPYA ndiyo suluhisho la matatizo ya watanzania kwa sasa, iandaliwe kwa umakini na loop holes zote ambazo zinampa mtu fulani kama Rais kutopelekwa mahakamani hata baada ya uongozi zitolewe ... nafikiri kuna umuhimu pia wa wahisani kushinikiza serikali kama ilivyokuwa kwa Kenya na nchi nyingine.
 
Hata kama wanasema hawamkatai mtu yeyote kujiunga na CDM, lakini kwa kuwaruhusu Lowassa, 'Vijisenti' na Rostam ni kukiua chama.
 
  • Thanks
Reactions: dkn
Itakuwa ndo kiama cha nchi hii, ccm hakurudki na chadema kutakuwa hakukaliki, Dawa itakuwa ni kuwapiga mawe slaa na mbowe popote pale tutakapowaona. Km hawaamini wajaribu kucheza na akili na za watanzania haiwezekani cc tunajitotelea kwa hali na mali katika kuleta ukombozi halisi halafu wao watuletee upuuzi, Hapa nimepandwa na hasira kwa ki2 nanachojua si kweli je ingekuwa kweli?

Acha wehu wewe umeshindwa kumpiga mawe mwizi wa rasilimali za nchi hii Kikwete. Uje uwapige Dr. Slaa na Mbowe?
 
nafikiri uache kupeleka hasira kwa individuals, CCM imejivua gamba kama chama na si JK na hii ni nzuri na inahitaji pongezi. Ila kusema Chadema sijui kumpiga Slaa na Mbowe mawe hiyo si busara kabisa. Chadema ya kesho si Mbowe au Slaa, tofauti kubwa ya CCM na Chadema ni kuwa Chadema inaweza kumsimamisha mtu yoyote ndani ya chama kuwania uongozi wa nchi bila kuleta tatizo kwa wapiga kura. Usidhani Mbowe au Slaa watakuwa hao hao kuwania uongozi. Chama kimejijenga kikamilifu na si watu wachache...angalia CCM watu ambao wamebarikiwa kuwa viongozi kama Lowasa wamejikuta kwenye kashfa za ufisadi na wengine wengi na kitakachotokea kwa CCM kukosa mgombea aliye clean ni kuchagua mtu baki ambaye ni msafi kukinusuru chama na anaweza asiwe na sifa za uongozi. Kuna wasomi wengi watanzania wanavyeo vikubwa nje ya nchi, AU, UN, COMESA etc lakini kuweza kuongoza nchi ni vigumu kwao kwani siasa zetu ni chafu..hazijengi nchi bali ni kuhakikisha upinzani haufanyi hiki au mtu fulani asiweze kufanikiwa..siasa zetu ni za kukomoana ambazo wasomi wengi hawawezi na wakijaribu kufanya kazi safi wanatengengwa na chama
 
Back
Top Bottom