CHADEMA kuwapokea Lowassa, Rostam Aziz na Chenge

mwanaone

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
637
760
Kuna tetesi kuwa baada ya kupewa barua zao Lowasa, Rostam na Chenge watapokelewa CHADEMA. Je kama ni kweli hizi tetesi wanajamii, huu si utakuwa usaliti tunaofanyiwa na hawa watu ambao sisi ndio tumewafikisha hapo walipo?
 
Tetesi ni tetesi tu haziwezi kuwa za uhakika mpaka zinapothibitishwa au kutokea.
 
Tetesi ni tetesi tu haziwezi kuwa za uhakika mpaka zinapothibitishwa au kutokea.

lisemwalo lipo na kama halipo linakuja. tunachotakiwa wanajamii kuwapa viongozi wetu wa chadema msimamo wetu iwapo wakitusali na kuwapokea hawa mafisadi wajue na mwisho utakuwa kabla ya ccm.
 
kuna tetesi za uhakika kuwa baada ya kupewa barua zao lowasa, rostam na chenge watapokelewa chadema. je kama ni kweli hizi tetesi wanajamii huu si itakuwa usaliti tunaofanyiwa na hawa watu ambao sisi ndio tumewafikisha hapo walipo.

Acha mzaha mkuu...kwenye hii forum tunategemea watu wenye umakini wasio na mzaha,nakushauri kama una thread si lazima upost hapa JF..hata kusoma thread na post za wenzako ni heri pia..........
 
kama wanazaliwa upya na kufuata masharti ya chama kuna tatizo gani, sio tatizo la kuwa na wanachama kama wahawa ila tatizo ni matendo yao,
mwisho hizi ni tetesi
tetesi ni tetesi tu haziwezi kuwa za uhakika mpaka zinapothibitishwa au kutokea.

chadema ndiyo mahakama ya kisutu nini?
kuna tetesi za uhakika kuwa baada ya kupewa barua zao lowasa, rostam na chenge watapokelewa chadema. Je kama ni kweli hizi tetesi wanajamii huu si itakuwa usaliti tunaofanyiwa na hawa watu ambao sisi ndio tumewafikisha hapo walipo.
 
mwanaone acha majungu,lakini tuseme ukweli,mmoja kwamba kama serikali ya ccm itawatosa RACHEL bila kuwafungulia mashtaka watakuwa wamejimaliza wenyewe na itawacost sana.lakini lililodhahiri ni kwamba hao wote uliowataja hawawezi kuhamia CHADEMA .
 
Acha mzaha mkuu...kwenye hii forum tunategemea watu wenye umakini wasio na mzaha,nakushauri kama una thread si lazima upost hapa JF..hata kusoma thread na post za wenzako ni heri pia..........
[/
ndugu hii tetesi niliyosikia kwa kiongozi mmoja wa ccm ambaye amenithibitishia kuwa ni kweli lowassa, rostam na chenge pamoja na viongozi wengine wa ccm wamepewa barua za kujitoa ktk chama na wanahabari za uhakika kuwa wametayarishiwa kadi za chadema.
 
hilo ndio la kujiuliza. na kama ni kweli kwa kweli mimi nitajitoa ktk kushabikia chama chochote cha siasa kwani huu itakuwa ni usaliti mkubwa.

Si waanzishe chama chao!! Wasije huku, pesA za c**fu hatuzitaki.
 
Itakuwa ndo kiama cha nchi hii, ccm hakurudki na chadema kutakuwa hakukaliki, Dawa itakuwa ni kuwapiga mawe slaa na mbowe popote pale tutakapowaona. Km hawaamini wajaribu kucheza na akili na za watanzania haiwezekani cc tunajitotelea kwa hali na mali katika kuleta ukombozi halisi halafu wao watuletee upuuzi, Hapa nimepandwa na hasira kwa ki2 nanachojua si kweli je ingekuwa kweli?
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Nafikiri mleta mada ametumwa kuileta hii hoja ili kujaribu upepo ukoje. Angalia tarehe aliyojiunga hapa JF!!!!!

Tiba
 
mwanaone acha majungu,lakini tuseme ukweli,mmoja kwamba kama serikali ya ccm itawatosa RACHEL bila kuwafungulia mashtaka watakuwa wamejimaliza wenyewe na itawacost sana.lakini lililodhahiri ni kwamba hao wote uliowataja hawawezi kuhamia CHADEMA .

nyie bisheni lkn tetesi ndio kama hizo. mwanzo tuliapa na kusema kamwe kikwete lowasa hawezi kutoswa nec lkn matokeo tumeyaona. lkn mimi nawaomba viongozi wetu wa chadema wasituletee hawa wezi ktk chama chetu.
 
Itakuwa ndo kiama cha nchi hii, ccm hakurudki na chadema kutakuwa hakukaliki, Dawa itakuwa ni kuwapiga mawe slaa na mbowe popote pale tutakapowaona. Km hawaamini wajaribu kucheza na akili na za watanzania haiwezekani cc tunajitotelea kwa hali na mali katika kuleta ukombozi halisi halafu wao watuletee upuuzi, Hapa nimepandwa na hasira kwa ki2 nanachojua si kweli je ingekuwa kweli?

ah ah ah umenifurahisha sana eti hizo ni tetesi zisizo kuwa na uhakika ila umepandwa na hasira
 
Nimependa sana hicho Kiswahili; TETESI halafu tena hapohapo ni UHAKIKA, jitahidi sana!!!!!!!

kuna tetesi za uhakika kuwa baada ya kupewa barua zao lowasa, rostam na chenge watapokelewa chadema. je kama ni kweli hizi tetesi wanajamii huu si itakuwa usaliti tunaofanyiwa na hawa watu ambao sisi ndio tumewafikisha hapo walipo.
 
kama wakitubu tusiwakatae. tatizo la ccm si RACHEL ila mfumo wa kifisadi walio nao. RACHEL wakija chadema bado wanaweza kufit ni sawa na kumfuga simba hawezi kuwinda swala tena.
 
Nafikiri mleta mada ametumwa kuileta hii hoja ili kujaribu upepo ukoje. Angalia tarehe aliyojiunga hapa JF!!!!!

Tiba
ndugu yangu mimi sijatumwa na kama unavyosema kwamba watu waangalie tarehe niliyojiunga na jamii forum nchii haitofika popote na hakuna sababu ya kuiondoa CCM madarkani kwani ccm kimeanzishwa 1977 na chadema ni chama cha 1992 kwahiyo kama wewe unataka kuangalia kuwa tarehe gani nilijiunga basi tuangalie na lini chadema ilianzishwa. na itakuwa hakuna sababu ya kupigania nafasi za uongozi wapewe vijana haliyakuwa kuna wazee ambao wako miaka mingi na wanajua mambo memngi kuliko sisi kutokana fikra zako potufu ndugu yangu. ndugu yangu tunaishi ktk science na technologia acha kasumba za kizamani kuwa umetangulia kuona jua. mimi naijua jamii forum tangu kuanzishwa kwake na nimejiunga mwaka huu baada ya kuridhishwa na kazi inayofanywa na jamii forum ktk kuwaelimisha watz. so usiwe mtu wa kudharau watu kwa sababu umetangulia kuona au kujua jambo fulani. na kama tukitumia hiyo falsafa yako mbovu basi mhe MBOWE ASINGEMCHAGUA PROFESSOR SAFARI KUWA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHADEMA HALIYAKUWA KUNA WANACHAMA WENGI WA ZAMANI.
 
Chadema haiwahitaji Lowassa, Chenge wala Rostam na kunaonekana wazi kwamba kuingia kwa haya majambazi ya ccm ni kuuliwa kwa wananchi Tanzania na kufa kwa Chadema. Ushahuri mzuri kwa hawa mafisadi ni kuanzisha chama chao na kutoa watu umo umo ccm. Chadema we don't care what's ccm are doing. Let them kill themselves for the best of the country.
 
1. wewe unayewaambia wenzako kuwa wametumwa,yaelekea wewe huwa unatumwa humu ndani kwa ajili ya umbea tu.....acha ujinga huo.
2. hata wakija CDM ni vyema na ni haki yao ya kikatiba,but ni lazima watubu kwanza hadharani na kwa Mungu, kwa dhambi yao ya kubaka uchumi wetu.
 
Wajiunge cdm?Ushindwe! na ulegee! Hao mapacha watatu(r.a,cheng,e.r) nawashauri waanzishe Bourgeoisie party,wampe ft karamag.tutawaenz kama waasisi wa hicho chama.
 
Back
Top Bottom