Naweza kukubaliana nawe kwa sababu nna uhakika wa chadema kuanza kusambaratika mara tu baada ya kumaliza ziara zao za mikoani.
Natabiri; mwanzo wa kusambaratika chadema ni baada ya kikao cha bunge kijacho. Tutaona chadema wataanza kulumbana wenyewe kwenye kikao kijacho cha bunge na vuguvugu litaendelea hadi kukisambaratisha chama. Chokochoko baada ya vikao vya bunge zitaanza kuikumba chadema kupitia makundi ya safari na lingine mbowe na lingine slaa. Kila kundi litataka liwe na kauli zaidi ya lingine. Kwa upande mwingine, zitto hatakubali awachwe mkiani, mdee atanunuliwa kwa pesa ndogo tu, lema halikadhalika na lisu tayari kisha wekwa mfukoni. Duhh. Huu ni utabiri tu, inawezekana iwe au isiwe.
KWELI JINA LAKO LINAKUFAA foxy!!!
Tangu iandikwe mene mene na tekele kwa ccm ulikuwa wapi?
Hizi ndoto zimetokana na mnajimu Sheikh Yahya Hussein!!!
Endeleeni tu kusanyeni Sheikh yahya, maji marefu na waratibu wa mlingotini KWELI KUWEWESEKA KUBAYA MMEBAKIA NA RAMLI TUU!