CHADEMA Kuunguruma Leo Rwamishenye - Bukoba mjini kwenye Jimbo la Kagasheki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Muganyizi, Feb 27, 2013.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Leo hii CHADEMA watakuwa na Mkutano wa hadhara eneo la Rwamishenye - Bukoba Mjini. Katika mkutano huo....bila kumsahau Rwakatale.........watakuwepo majembe kutoka Mwanza na Karagwe ambako hadi hivi sasa kule Karagwe CHADEMA ni Taasisi. Makamanda kama Mawazo watakuwepo pia.

  Nitawaleteeni picha za tukio hili kuanzia saa tisa alasiri. Jana CHADEMA ilifunika sana kule KAHORORO katika uzinduzi wa msingi wa Chama. Peaplesssssssssssssssssssssssss...........................Poweeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrr.  [​IMG]

  [​IMG]
  Huyu RED Brigade leo nimemkubal!!!! Akina mama msilaleeee

  [​IMG]
  Kamanda Rwakatare akimnadi "Ticha" ajulikanaye kama Rwazo kutoka Karagwe aliyemwaga sera na kukubalika miongoni mwa Umati uliofurika

  View attachment 84896

  Wananchi wako makini wanasikiliza sera

  View attachment 84881
   

  Attached Files:

 2. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #2
  Feb 27, 2013
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,054
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 48
  safi sana kamanda
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2013
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,495
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 48
  usisahau kutupia na rubisi tuburudike hapa jamvini
   
 4. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 2,611
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 63
  Mkuu, mwelekeze kabisa namna ya kuutuma online!
   
 5. S

  STIDE JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2013
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 995
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siitaki mikutano ya mijini!! Wakafanye mikutano Kabale, Maiga, Kishanje, Lubafu, Ibwela, Izimbya, Kanazi,Maruku, Buzi na kwingineko vijijini!! Sio wanakimbilia mijini ambako tiyari watu wameshajitambua!!

  "Nitumie Senene kwenye PM mkuu"
   
 6. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2013
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  CHADEMA iwekeze zaidi vijijini,maana huko watu wengi bado awajajitambua!!!Kitu kingine ambacho wanatakiwa kuwa nacho makini ni hao watu wanao jaa kwenye hiyo mikutano jee!wanauhakika kuwa hao wote ni wanachama wao??Je! hao watu wana kadi za CHADEMA?????Je! hao watu wana vitambulisho vya kupigia kura???Je! baada ya mikutano kuna tasmini inafanyika kuona kama kuna mabadiliko au hapana????Lazima ifike kipindi ifahamike mkoa fulani kuna wanachama hai kadhaaa ,au wilaya fulani kuna wanachama kadhaa,Chama kikifanya hivi itasaidia sana huku tunako kwenda,maana kwa sasa kila mtanzania mwenye akili timamu anataka mabadiliko na sio kitu kingine.Na kila baada ya mikutano zifanyike tathimini(kupima)kujua kabla na baada ya mikutano kuna mabadiliko au hakuna....hili swala ni muhimu sana.

  Kwa pamoja tutashinda!!!Peoples powers


  UMOJA NI NGUVU,UTENGANO NI UDHAIFU.
   
 7. madam Z

  madam Z Member

  #7
  Feb 27, 2013
  Joined: Feb 25, 2013
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Nice to hear that bro.....we are eagerly waiting for pics
   
 8. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #8
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Mkuu ndo tuko kwenye maandalizi ya SP ya mkoa ili tuweze kufika kila sehemu..............katika Sp nitaweka budget ya publicity ili hata mikutano inayofanyika pembeni upate updates
   
 9. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #9
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Pamoja mkuu kama ulikuwepo. Institutionalization ya hayo uyasemayo yanafanyiwa kazi. Nadhani unajua ni jinsi gani niko makini kwa hilo
   
 10. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2013
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,844
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakora Waitu Muganyizi............Tupiamo Mapicha Mazombi hawakawi kubisha kuwa mkutano haukuwa mfuniko wa chuma.
   
 11. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2013
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  moja kati ya majimbo yenye mwamuko wa kisiasa pamoja na makamanda kukubalika waongeze kasi.
   
 12. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2013
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kamanda Mawazo atakuwepo naye?
   
 13. josam

  josam JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2013
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 1,397
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  umenena vyema!
   
 14. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #14
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Yupo hapa kamanda
   
 15. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #15
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  View attachment 84882

  Picha hizo mwana expand mwenyewe
   
 16. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #16
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Umeona picha hiyo
   

  Attached Files:

 17. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #17
  Feb 27, 2013
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,054
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 48
  Safi sana mkuu, vipi unatumia mchina?
   
 18. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #18
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Umeona picha hiyo
   
 19. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #19
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Kamera mwana ila jua kali sana
   
 20. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #20
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Nadhani huo ni ushahidi tosha
   
 21. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #21
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  View attachment 84898
  CCM nao hawakutaka kupitwa ndo kwanza wakaweka bendera yao mpyaaaa.............hatukuichana wala kuigusa.
   

  Attached Files:

 22. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #22
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  waheshimiwa wakereketwa kwa raha zao
   
 23. N

  Ngeda JF-Expert Member

  #23
  Feb 27, 2013
  Joined: Feb 25, 2013
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Tuna imani na CHADEMA
   
 24. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #24
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Sawa Kabisa
   
 25. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #25
  Feb 27, 2013
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,844
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umetisha mkuu mchango wako kwenye ukombozi tunautambua.much respect
   
 26. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #26
  Feb 27, 2013
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni vizuri waende na mikoa mingine na si kanda ya ziwa pekee! Waende tabora, dodoma na hata iringa, hasa vijijini!
   
 27. mary mary

  mary mary JF-Expert Member

  #27
  Feb 27, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 871
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila la heri muende na Kashai!!!
   
 28. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #28
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,631
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Kwa nini picha zote nilizopost naona chache tuuu
   
 29. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #29
  Feb 27, 2013
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wamechakachus tz zaidi ya uijuavyo.......only in tz...
   
 30. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #30
  Feb 27, 2013
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,303
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  Ta Muganyizi, Habari za BK! hongera na majukumu ya m4c!
   

Share This Page