Chadema kuunguruma leo iringa

Apr 29, 2012
81
4
CDM watakuwa na mkutano wa hadhara mkoani Iringa eneo la Kihesa sokoni,mida ya saa tisa alasiri!Viongozi kadhaa wa CHADEMA watakuwepo.Mengi zaidi nitawajuza muda utakapo fika.
 
ahsante mkuu tunawatakia kila zuri cc kwa sasa tuko mbali hatutaweza kuja huko ili tunaomba utujulishe
 
mwenyezi mungu awtangulie.maana shuhuli ya ukombozi inahitaji msaada wa mungu.
 
Haya mnyakilambo, tulongelage kila kinu peguvansile umukutano ugo!

Vahungilage va maseto,vamng'anzagala,vakilwa,vamwamwinuka,vamwachalamila,vamwamunyinga,vamwalumato,vamwluhala,vamwakihwele,vamwamkana,vamwamkolumoto,vamwakivembele,vamwachavala,vamwamdapo,vamwamgimwa na vanyalukolo mbevali valongele ukutidila ccm si yuve ndaaa! Pipooooooooooo Pawaaaaaaaaa!!
 
Back
Top Bottom