CHADEMA kutumia nguvu ya Umma Arumeru-Mnyika

Maskini watanzania bado wanyonge bado wanakamuliwa hadi senti ya mwisho.

CHADEMA tupunguze mbinu ya kuwakamua wananchi.

tukumbuke kauli mbiu yetu ya 'WAMEPIGIKA'
 
mh! kwan ruzuku ya chama kazi yake ni nini?

kwani kwenye chama chako hiyo ruzuku inafanya kazi gani ?au na wewe ni chama cha wanunua ubwabwa na wasomba watu kwenye malori kiasi kwamba hujui nini kazi ya ruzuku ya chama
 
John Mrema katumia milioni 19 kufanya utafiti Arumeru wa kilichoelezwa kutambua mbinu za ushindi dhidi ya CCM siku 10 baadaye wananchi wa Arumeru wanatakiwa kuichangia CHADEMA..... Huu ni aina ya ufisadi.
 
CHADEMA acheni kutunyang'anya hata kidogo tulichonacho. Kila siku mnatunisha mishipa majukwaani kuwa maisha magumu alafu mnakuja arumeru kutuchangisha fedha za Kampeni jamani. Ruzuku mnayopewa mnatumia kufanya nini kama kila siku mnachangisha fedha za kampeni tangia uchaguzi mkuu ? au zile milioni kumi na mbili za kila mwezi za mheshimwa Katibu mkuu ndo hizo?
wewe hujalazimishwa kuchanga kama wewe huusiki na nguvu ya umma kaa kimya wenzio tunasubiri account na namba za m pesa na tigo pesa tutupie.kaa kimya kabisa hii ngoma si ya ma.gamba ni nguvu ya umma so shut up pusi.
 
CHADEMA acheni kutunyang'anya hata kidogo tulichonacho. Kila siku mnatunisha mishipa majukwaani kuwa maisha magumu alafu mnakuja arumeru kutuchangisha fedha za Kampeni jamani. Ruzuku mnayopewa mnatumia kufanya nini kama kila siku mnachangisha fedha za kampeni tangia uchaguzi mkuu ? au zile milioni kumi na mbili za kila mwezi za mheshimwa Katibu mkuu ndo hizo?

Kuchangia ni ombi.
CDM haijalifanya jambo ilo kuwa sheria. Kwaiyo ni vema ukawa haukurupuki wala kutoa povu unapochangia mada.
Onyesha ukomavu.
 
CHADEMA acheni kutunyang'anya hata kidogo tulichonacho. Kila siku mnatunisha mishipa majukwaani kuwa maisha magumu alafu mnakuja arumeru kutuchangisha fedha za Kampeni jamani. Ruzuku mnayopewa mnatumia kufanya nini kama kila siku mnachangisha fedha za kampeni tangia uchaguzi mkuu ? au zile milioni kumi na mbili za kila mwezi za mheshimwa Katibu mkuu ndo hizo?

Kwani umeombwa wewe na isitoshe hauko Arumeru, pia si lazima uchangie wewe. Huu ni mchango ni wa hiari halazimishwi mtu, hivyo wazalendo na wenye kupenda mabadiliko tutachangia. We kaa na hao wezi wa rasilimali za umma wasio na huruma kwa raia mwema.
 
Nguvu gani tena ya Umma juzi tu TUNTEMEKE katufahamisha kabla ya kampeni kuanza wametumia Milioni 19 kutoka kwenye ruzuku, leo tena mnataka kuwachangisha wananchi.
 
Crashwise alituwekea hapa jukwaani kuwa CCM ilitumia mil 100 kwenye uchaguzi wa kwanza au huju mahesabu kiasi kwamba huwezi kuona tofauti ya mil 100 na mil 19....
 
CHADEMA acheni kutunyang'anya hata kidogo tulichonacho. Kila siku mnatunisha mishipa majukwaani kuwa maisha magumu alafu mnakuja arumeru kutuchangisha fedha za Kampeni jamani. Ruzuku mnayopewa mnatumia kufanya nini kama kila siku mnachangisha fedha za kampeni tangia uchaguzi mkuu ? au zile milioni kumi na mbili za kila mwezi za mheshimwa Katibu mkuu ndo hizo?
Vipi wamekulazimisha au unajishitukia....
 
CHADEMA acheni kutunyang'anya hata kidogo tulichonacho. Kila siku mnatunisha mishipa majukwaani kuwa maisha magumu alafu mnakuja arumeru kutuchangisha fedha za Kampeni jamani. Ruzuku mnayopewa mnatumia kufanya nini kama kila siku mnachangisha fedha za kampeni tangia uchaguzi mkuu ? au zile milioni kumi na mbili za kila mwezi za mheshimwa Katibu mkuu ndo hizo?
Mchango wa hiyari kwa wenye mapenzi mema. Wewe unayeishi kwa kutegemea, kofia, kanga na pilau kalagabaho!!
 
Maskini watanzania bado wanyonge bado wanakamuliwa hadi senti ya mwisho.

CHADEMA tupunguze mbinu ya kuwakamua wananchi.

tukumbuke kauli mbiu yetu ya 'WAMEPIGIKA'
Hivi chadema na CCM nani anekukamua hata kama unaakili ya kukuwezesha chamba utajua ni CCM ndiyo inayo kamua wananchi hata wakazi wa Arumeru wana litambua hilo....
 
Ni Muhimu Kuchangia Chama wakati wote!! Tuko tayari ila shida Hatujua Njia iliyo salama katika kutoa Mchango!! Hata TZS 2000 KWA MWAZI INAWEZA KUKIKWAMUA CHAMA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA 2012!! NImuhimu kuanza kujipanga
 
00.jpg

unamuaona Ndanda Kosovo hapo?
ameweka mkwe wake awe mbunge Arumeru mashariki!!

hahaaa Ndanda Kosovo ....hivi huyo si Zakhia Meghji huo..mbona kachoka sana
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom