CHADEMA Kutingisha Morogoro

Kila la kheri CDM,Timizeni wajibu wenu kwa kuhakikisha kura zote zinahesabiwa na hivyo tu ndivyo mtakavyoweza kujihakikishia ushindi. Hadi sasa safari ya CCM kung'oka ipo peupe.
 
Kuna tetesi kua maandamano yamepgwa marufuku ila mkutano upo pale pale,siku zote dola iliyotawala kwa dhuluma,uongo uongo,kuwapumbaza wananchi,siku zinapofika kua inakaribia kudondoka kwa vile wananchi wamebumburuka na kugundua kua dola hiyo ni dhalimu,uwa inatumia nguvu kubwa mno kudhibiti vitu vidogo!wanashndwa kuamini ile kauli ya Mwalimu Nyerere kua "risasi na silaha zenu zote hazitatosha pindi wananchi wakiamua"
 
Nimesika magazetini leo Asubuhi kwamba maandamano yamezuiliwa lakini mkutano ruksa. Mwenye taarifa zaidi naomba atujulishe!
 
Taarifa za kuaminika NAPE karudi kwenye chama chake alichokianzisha.Hapa akihojiwa na waandishi wa habari

223330_213225672032187_3304863_n.jpg
 
makamanda mpo
...huku kwetu morogoro kumekucha..... Hapa msamvu hali tete ...mabomu ya machozi yametawala .....vituo vya mafuta wamekatazwa kutuuzia mafuta
 
Hiyari Inashinda Utumwa Wahenga walisema, bahati mbaya waliyonayo magamba CCM na Nepi wao hawasomi alama za nyakati kuwaona Wtz wanahitaji nini hasa muda huu???? jibu lake sio Khanga na kofia na skafu tu, bali ni Maendeleo kwa kwenda mbele kwani Tz ni nchi ya Neema tuna madini tuna mafuta sasa tuna almasi tuna dhaabu, Tznzanite tunazitumiaje rasilimali hizi kuondoa umaskini unao wakabili wtz??????????? sio kila siku kuitisha Press Confrence kuonyesha sura yako kwenye Luninga tu watu wanataka maisha bora na sio bora maisha kuwa kama wimbo wa Taifa la Tanzania, kumbuka hizo pia ni kodi zetu kuonyesha sura yako.
 
Nyomi inazidi k ndege. Makamanda wamekomaa. Kamanda Rwakatare anaongoza maandalizi. Njooni msioggope
 
Hawa ni wanachama wa CCM. Kuna mtu alitegemea waipigie kura CDM? Jibu lipo wazi
 
Back
Top Bottom