CHADEMA Kutikisa Shinyanga leo

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo kinatarajiwa kuzindua kampeni za udiwani wa Kata ya Mawaza.Mgombea wa CDM ni ndugu Anthony Peter Mhola.
CDM ina nguvu kubwa hapa Shinyanga na haitarajiwi CCM kutoa upinzani wowote mkubwa.
Mkutano unatarajiwa kuanza saa 8 mchana huu.
 
Kabla ya huu uchaguzi hiyo kata ilikuwa inashikiliwa na chama gani?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo kinatarajiwa kuzindua kampeni za udiwani wa Kata ya Mawaza.Mgombea wa CDM ni ndugu Anthony Peter Mhola.
CDM ina nguvu kubwa hapa Shinyanga na haitarajiwi CCM kutoa upinzani wowote mkubwa.
Mkutano unatarajiwa kuanza saa 8 mchana huu.

Mkuu weka mambo sawa! wanazindulia SHY mjini au kule kule Mwawaza?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo kinatarajiwa kuzindua kampeni za udiwani wa Kata ya Mawaza.Mgombea wa CDM ni ndugu Anthony Peter Mhola.
CDM ina nguvu kubwa hapa Shinyanga na haitarajiwi CCM kutoa upinzani wowote mkubwa.
Mkutano unatarajiwa kuanza saa 8 mchana huu.

Asante kamanda kwa taarifa,niko ndani ya Matiko Trans natokea Mwanza, ninaelekea Lwenzera- Geita kupitia Kahama,karibu tunaingia Shinyanga tumefika Maganzo itanibidi nikatishe safari yangu ili niungane na makamanda pale kuwashikisha adabu hawa ma.ga.mba, then kesho nitaendelea na safari yangu alfajiri na mapema maana kule tuna uzinduzi kama huu hiyo kesho ambapo Wenje na Mawazo watagawa doz nene kwa ma.ga.mba
 
Heri aliyeifanya Chadema kuwa tumaini lake... Wala hakuwaelekea ombaomba na mafisadi wanaoruka kwenda ulaya na Marekani kutembeza bakuli na kuning'inia kwenye bembea...!
 
Shinyanga siku nyingi imekuwa ni ngome ya CHADEMA ni wale wa kuchakachua matokeo ndiyo walileta huzuni shinyanga, sasa ni kanyanga twende!
 
Back
Top Bottom