.........mkuu! sijafikiria kama uko serious, bado!!!!!!Majibu ya kuboresha miundombinu ya elimu yameshapatikana. Chenji za rada zinaenda kutatua matatizo ya elimu ikiwepo kununua madawati na ujenzi wa nyumba za walimu. Shime tujiunge pamoja watz tuondoe tofauti za vyama TWENDE KUSHEREKEA MIAKA 50 YA UHURU KUENZI kazi iliyofanywa na waasisi wa nchi!!!
Hii ni fursa pekee kwa watz kujiuliza, kutafakari pale tulipojikwa na kupata mkakati wa kitaifa, TUZIDI kusonga mbele.
Mwaka 1961, graduate walikuwa 12, leo wapo mitaani hawana idadi wengine wanatumika pasipo kujitambua kushiriki maandamano ya CDM; tuwe waungwana tujitambue maendeleo yamepatikana.
Leo watoka Mwanza hadi DSM siku moja.
UDOM ni ishara ya maendeleo katika elimu
Powertillers kwa wakulima walioingia katika KILIMO KWANZA
nadhani uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho kama babu zako magamba:eyebrows:Waungana katika pitapita zangu nimegundua wana CDM hawafurahi TZ kusheherekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika.
Dalili zimejoinyesha;-
1. Viongozi wao katika ngazi zote kutoshiriki vikao vya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru
2. Viongozi wao kushindwa kushiriki kuukimbiza mwenge ulipofika katika maeneo yao; mfano Ubungo (mhe.Mnyika) na Kawe (mhe. Mdee ).
3. Wabunge wao wameshindwa kushiriki katika vikao vya maandalizi ya miak 50 ya uhuru pasipo kutoa udhuru.
Watanzania inabidi tutumia akili ya mbaimbawi tuwahukumu CDM katika masanduku ya kura kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2012 na tuwape kichapo kikubwa uchaguzi mkuu 2015. Hawa wamekosa uzalendo, wamebaki kushabikia sera za Mfadhili wao David Cameroon.
Waungana katika pitapita zangu nimegundua wana CDM hawafurahi TZ kusheherekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika.

unalaana miaka hamsini ya nini? ya dhiki kuu au:spy:
Miaka hamsini ni kwako mkuu unayefaidi keki ya uhuru, sisi wengine bado tunatafuta uhuru wa kweli na si uhuru wa bendera! Haingilii akilini mnasherekea miaka hamsini ya uhuru huku umasikini, ujinga na maradhi vinazidi kutuundama na waandaaji wa sherehe hizo wanaficha uozo kwa kuupaka perfume!
Unakaa sehemu gani ya Tanzania wewe? CDM kutoenda ni haki kabisa, huwezi kupoteza billions of money wakati akina mama wanajifungulia chini, watoto wanakalia mawe, 12km kutoka magogoni hamna maji ya bomba, miundombinu duni na rasirimali za nchi zikiporwa eti mnasherekea miaka hamsini ya uhuru! Inabidi tuomboleze maana miaka hamsini ya uhuru taifa linazidi kujichimbia kaburi chini ya wakoloni weusi ccm! Heri yako usiyoyaona haya!
MAFILILI We mwongo na Mnafiki,Wewe Unasherehekea Miaka 50 ya Tanganyika lakini wenzako TBC 1 na Serikali yao ya CCM wanasema Tanzania Bara.Hadi hapo hata wewe haupo pamoja nao maana umesema Chadema hawasherehekei Miaka ya Tanganyika,ndio maana wako bize wanaisaka Tanganyika kupitia katiba mpya.Wanawafunza wananchi waipiganie Tanganyika yao .Chadema Hawawezi Sherehekea miaka 50 ya nchi ambayo haipo Duniani.Chadema Wanaitafuta Tanganyika ilikofichwa na CCM,Nadhani watashiriki miaka 55 mwaka 2016 watakapokuwa wanamiliki Magogoni na Tanganyika wanayoililia Watanganyika walio wengi.
nimekugongea like kwa sababu ya akili yako,wasomi wanatusaidia nini wakati tumekuwa nchi ya kwanza ombaomba bila sababu duniani?Hii ni fursa pekee kwa watz kujiuliza, kutafakari pale tulipojikwa na kupata mkakati wa kitaifa, TUZIDI kusonga mbele.
Mwaka 1961, graduate walikuwa 12, leo wapo mitaani hawana idadi wengine wanatumika pasipo kujitambua kushiriki maandamano ya CDM; tuwe waungwana tujitambue maendeleo yamepatikana.
Leo watoka Mwanza hadi DSM siku moja.
UDOM ni ishara ya maendeleo katika elimu
Powertillers kwa wakulima walioingia katika KILIMO KWANZA
Mwenge huo na sherehe za miaka hamsini ni madawati mashuleni, madawa hospitali, vitanda vya wagonjwa, maji umeme vijijini au mwenge na sherehe za miaka hamsini ni nini umechanganyikiwa nini?????????Waungana katika pitapita zangu nimegundua wana CDM hawafurahi TZ kusheherekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika.