CHADEMA Kushirikisha wapinzani kuongoza kambi rasmi bungeni?

mwemanga

Senior Member
Oct 22, 2012
120
31
Zipo taarifa kuwa chadema chini ya kamanda mbowe itavunja baraza kiviri na kushirikisha vyama vingine vya upinzani huku nafasi ya naibu mkuu wa upinzani ikienda cuf na mnadhimu atatoka nccr chanzo ni tetesi toka vyama vitakavyo shirikishwa taarifa toka ktk matawi.
 
Too late.
 
Kushirikiana na CUF?.....................unajua walichofanya Mwanza wakati wa uchaguzi wa Umeya?
 
Mkuu, "tantarira" zako zote ningeweza kuzikubali isipokuwa hapo kwenye mnadhimu ndipo ulipoonesha hata kudanganya hujui. Nakuhakikishia tangu nchi hii ipate uhuru hapajaondekea mnadhimu bora kama huyu wa sasa hivi.
 
Zipo taarifa kuwa chadema chini ya kamanda mbowe itavunja baraza kiviri na kushirikisha vyama vingine vya upinzani huku nafasi ya naibu mkuu wa upinzani ikienda cuf na mnadhimu atatoka nccr chanzo ni tetesi toka vyama vitakavyo shirikishwa taarifa toka ktk matawi.

Upinzani ni Chadema tu, utakuwa mwendawazimu hata kudhani chadema tunaweza kumshirikisha cuf kwenye kambi ya upinzani, cuf tayari wako kwenye kambi ya chama tawala kama hujui!
 
Hiyo itakuwa habar nzuri.bila ushirikiano vyama vya upinzan vitaendelea kugawana kura na ccm kuendlea kutawala.wafanye hivyo
 
Kwangu mimi siamini kitu kama hiki hata kidogo kwani naona chama cha upinzani ni CDM tu wengineo waliobaki wapo kama wapo.
 
Acha blah blal, CDM siyo wajinga kiasi hicho. Watakuwa walikataa nini na sasa wanafanya nini? Tetesi hizo ni za uongo kabisa.
 
Zipo taarifa kuwa chadema chini ya kamanda mbowe itavunja baraza kiviri na kushirikisha vyama vingine vya upinzani huku nafasi ya naibu mkuu wa upinzani ikienda cuf na mnadhimu atatoka nccr chanzo ni tetesi toka vyama vitakavyo shirikishwa taarifa toka ktk matawi.

Waungane na CUF au NCCR ya Mbatia?
 
Back
Top Bottom