Kwa hiyo nyinyi CDM mkishinda mmetendewa haki,mkishindwa hamkutendewa haki mtasubili sana! KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM.
Ndugu Willium
Najua ulivyokuwa unaandika haya maoni yako ulijua fika unachokiandika SIO KITU CHA KWELI na wala hakina uhalisia wowote. Wewe haihitaji uwe na elimu ya sheria kujua kwamba Mpendazoe kaonewa na hizo chuki ni muendelezo wa kumuadhibu tangu atoke CCM. Hii kesi Mahanga alikuwa anajua nini kinaendelea tangu ile siku ushadidi ulipofungwa kusikilizwa, sasa wewe unachokuja kukisema hapa unamaanisha nini?
wewe tu mtoto wa mteule uliposhindwa ubunge wa africa mashariki mlilalama na nape Umedhulumiwa,,, mpenda zoe akilala mika kwa uonevu dhahiri unamtetea rafiki yako Mahanga, nani ambaye hajui uhusiano wa familia yako na ya mahanga????
Kumbuka heshima ya MAHAKAMA NDANI YA JAMII NA HATA MACHONI PA JAMII YA KIMATAIFA IMESHUKA TENA MNO,
Mheshimiwa Malecela, kwa hoja yako hii, naamimi sasa kuwa ukiwa CCM akili yote hupotea na ubongo unakuwa giza giza fulani hivi. Umeshindwa kugundua hata kwa kutumia common sense, ukiukwaji mkubwa sana uliotendeka kwenye kesi ya Arusha na Segerea? Tuache mambo ya ushabiki pembeni. Na bahati nzuri kwa sababu CCM sasa inachungulia kaburi, imefikia hatua ya nyie wenyewe kunyukana bila kujali kuwa vita vya panzi furaha ya Kunguru? Siri zote tunazo jinsi CCm walivyolumbana na kutofautiana kuhusu kesi ya Lema pale Arusha.
Please come out of that box called CCM, come out and think critically as "Msomi" instead of just bringing "a layman's hypothesis". Shauri lako, utajuta muda si mrefu
Hata mimi kama ningekuwa naitwa Precise John Malecela ningeweza hilo jina la Malecela ni promo tosha- Yaani inaonyesha kwamba wewe ulishaamua hata kabla ya kesi kwamba hukumu iwe vipi, mimi sio the ishu hapa lakini sikuwahi kulalamika popote kwamba nimeonewa, again and again nimesema hivi:-
Nimerudi miezzi minne iliyopita baada ya kukaa nje kwa karibu miaka 30, lakini nikaweza kupita Secretariat, CC, Wabunge wa CCM, mpaka kwenye Finally full Bunge, that was a big achievement infact it speaks a lot about my future in politics za bongo.
- Otherwise, kukubali kushindwa ni kujenga utamaduni wa kukubali kwa amani kwa the future ya taifa, badala ya kujali taifa la leo tu!
William.
- Wengi wetu tunaotaka mabadiliko ya kweli kwa taifa letu, huwa tunawachukulia Chadema seriously kama chama as the best alternative from CCM, lakini pole pole au kwa kasi sana wamekuwa wakijenga imani potofu sana among wananchi kwamba kila wanaposhindwa, either iwe uchaguzi au kesi za uchaguzi, basi haki inakuwa haikutendeka na kwamba nchi haiwezi kutawalika.
- Imean, kwenye kila ushindani kuna kushinda na kushindwa, depending on how much politics you have in you kushindwa kunaweza kuwa ni kushinda, lakini unapoanza kujenga mazingara ya kwamba ukishindwa tu haki haikutendeka na hasa kwenye siasa, unajenga a very fragile political base, ambayo Mungu jalia ukija kushika madaraka itakuja kukumiza wewe mwenyewe, maana itawaruhusu uliowashinda ku-claim your conflict theory ya kutokea kwamba haki haikutendeka!
- Ujumbe wangu kwa Chadema ni kwamba some of us are taking you very serious, sasa huu msingi mnaoujenga wa haki kutendeka pale tu mnapokuwa mmeshinda, ni hatari sana kwa siasa za mbele kwa taifa, jaribuni kuweka taifa mbele kama sisi wengine.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William @DSM City!
Wewe Mwenyewe ulishindwa kwenye kinyang'anyiro wa bunge la Afrika mashariki ukasema rushwa imetumika hata wapinzani walikuwa wanapokea rushwa . sasa hivi unamtetea mtu aliyekamatwa na masanduku ya kura? Wiliam jaribu hata kutumia saburi lako moja tu kufikiria vitu virahisi ambavyo havihitaji hat ubongo kufikiria
Hata mimi kama ningekuwa naitwa Precise John Malecela ningeweza hilo jina la Malecela ni promo tosha
- Wengi wetu tunaotaka mabadiliko ya kweli kwa taifa letu, huwa tunawachukulia Chadema seriously kama chama as the best alternative from CCM, lakini pole pole au kwa kasi sana wamekuwa wakijenga imani potofu sana among wananchi kwamba kila wanaposhindwa, either iwe uchaguzi au kesi za uchaguzi, basi haki inakuwa haikutendeka na kwamba nchi haiwezi kutawalika.
- Imean, kwenye kila ushindani kuna kushinda na kushindwa, depending on how much politics you have in you kushindwa kunaweza kuwa ni kushinda, lakini unapoanza kujenga mazingara ya kwamba ukishindwa tu haki haikutendeka na hasa kwenye siasa, unajenga a very fragile political base, ambayo Mungu jalia ukija kushika madaraka itakuja kukumiza wewe mwenyewe, maana itawaruhusu uliowashinda ku-claim your conflict theory ya kutokea kwamba haki haikutendeka!
- Ujumbe wangu kwa Chadema ni kwamba some of us are taking you very serious, sasa huu msingi mnaoujenga wa haki kutendeka pale tu mnapokuwa mmeshinda, ni hatari sana kwa siasa za mbele kwa taifa, jaribuni kuweka taifa mbele kama sisi wengine.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William @DSM City!
Kwa hiyo kwa mtizamo wako unataka kutuambia kuna uchaguzi wa huru na haki TZ kwa vile tu CDM huwa wanashida sometimes au?? Tatizo lenu CCM ni kufikiria kuwa Watanzania wote ni wajinga isipokuwa ninyi. Hizo propanganda zenu za kutaka watu waamini kuwa wapinzani hawakubali kushindwa zishaanza kukosa mshiko. Nyie wenyewe kwenye chaguzi za ndani hamuishi kuraramika na huwa mnasema wazi wazi kuwa kuna mazingira ya rushwa. Hili swala la kulalamika na rushwa kwenye chaguzi zenu hata wewe umetuambia humu. Sasa sijui unataka tuwaamini vipi tunapoona kuwa kuna mazingira ya kuporwa haki zetu?? Jaribuni kubadili strategies.
Mkuu najua ulifurahi sana kutokana na hukumu ya jana, hivi unajua hata hukumu ilishavuja hata kabla ya jana kusiomwa na watu tayari walishasherekea toka wiki iliyopita jambo la kujiuliza nani aliivujisha? na alifanya huvyo kwa madhumuni gani? na kwanini alipata ujasiri wa kufanyua ivyo? .Unafikiri jaji angekuwa kwenye hali gani kama hukumu ingekuwa imevuja huku ikionyesha CHADEMA wameshinda?. Ukiweza kujibu maswali haya utajua vile mfumo wetu wa muhimili wa mahaka unatakiwa kufanyiwa mabadiliko makubwa. Nakushauri hebu kabla hujarudi NY. tembelea magereza yetu upate ushahidi ya watu wangapi wanateseka kwa kuvifungo vya kuonewa na kukomolewa.
Sie MSAMIATI wetu; mahakama ni chombo cha HAKI pale maamuzi yanakuwa na faida kwetu na si vinginevyo;
Tumeshuhudia tukitendewa haki; Singida, Biharamuro, Mbozi
Tumeshuhudia tukinyimwa haki; Arusha Mjini, Shinyanga Mjini, Segerea
Kweli Magamba ni Magamba tu, hata uyapake rangi vipi yataendelea kuwa Magamba! Hivi wewe unadhani kama kungekuwa hakuna kubebana ungefika kote huko? Sasa unatoa wapi ujasiri wa kujitapa hapa? Unadhani angekuwa mtoto wa Mkulima japo kakaa Tz miaka 30 Chama cha Magamba kingem-shortlist? Wewe shukuru tu kuwa kubebana kwa Magamba ndio kulikufikisha hatua hiyo, ila kwakuwa HUNA SIFA HATA MOJA ndio maana Bungeni ukaangukia Pua. Yaani kwa mtazamo huu heri ungefikiria kimasaburi kuliko kigogo! Mpuuuuzi kweli wewe!- Yaani inaonyesha kwamba wewe ulishaamua hata kabla ya kesi kwamba hukumu iwe vipi, mimi sio the ishu hapa lakini sikuwahi kulalamika popote kwamba nimeonewa, again and again nimesema hivi:-
Nimerudi miezzi minne iliyopita baada ya kukaa nje kwa karibu miaka 30, lakini nikaweza kupita Secretariat, CC, Wabunge wa CCM, mpaka kwenye Finally full Bunge, that was a big achievement infact it speaks a lot about my future in politics za bongo.
- Otherwise, kukubali kushindwa ni kujenga utamaduni wa kukubali kwa amani kwa the future ya taifa, badala ya kujali taifa la leo tu!
William.
- Wengi wetu tunaotaka mabadiliko ya kweli kwa taifa letu, huwa tunawachukulia Chadema seriously kama chama as the best alternative from CCM, lakini pole pole au kwa kasi sana wamekuwa wakijenga imani potofu sana among wananchi kwamba kila wanaposhindwa, either iwe uchaguzi au kesi za uchaguzi, basi haki inakuwa haikutendeka na kwamba nchi haiwezi kutawalika.
- Imean, kwenye kila ushindani kuna kushinda na kushindwa, depending on how much politics you have in you kushindwa kunaweza kuwa ni kushinda, lakini unapoanza kujenga mazingara ya kwamba ukishindwa tu haki haikutendeka na hasa kwenye siasa, unajenga a very fragile political base, ambayo Mungu jalia ukija kushika madaraka itakuja kukumiza wewe mwenyewe, maana itawaruhusu uliowashinda ku-claim your conflict theory ya kutokea kwamba haki haikutendeka!
- Ujumbe wangu kwa Chadema ni kwamba some of us are taking you very serious, sasa huu msingi mnaoujenga wa haki kutendeka pale tu mnapokuwa mmeshinda, ni hatari sana kwa siasa za mbele kwa taifa, jaribuni kuweka taifa mbele kama sisi wengine.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William @DSM City!
Wewe Malecela tumia akili yako, najua dhamira hasa ya kuanzisha uzi huu inatokana na hukumu ya jana ya kesi ya Makongoro Mahanga. NI kweli haki haikutendeka na kama ningelikuwa mimi ni aheri CCM isingemvua ubunge Aeshi - Sumbawanga Mjini lakini ikamvua Makongoro kwa sababu kesi yake ilikuwa ipo wazi sana. Naamini ni tecknolijia tu inayotuponza kuweza kuweka ushahidi wazi zaidi kama nchi zilizoendelea.
Back to the point, theory hiyo unayodai inakuwa postulated na CDM inaweza ikarudi haina mashiko endapo CDM ikishika madaraka itaacha kuingilia mihimili mingine ya maamuzi na kupunguza manung'uko kama ya sasa hivi yanayoendelea.
Inapoonekana haki ipo ndipo CCM inapoipoteza na inapoonekana haipo ndipo inapopatikana!!!! Hii yote inatokana na mfumo unaoitafuna CCM wa kubebana.
Ni mpaka pale CCM itakapooacha kuingilia mihimili mingine ya maamuzi hasa mahakama na tume ya taifa ya uchaguzi ndipo haki itaonekana kutendeka na malalamiko yatapungua kama si kukoma kabisa.
- Yaani inaonyesha kwamba wewe ulishaamua hata kabla ya kesi kwamba hukumu iwe vipi, mimi sio the ishu hapa lakini sikuwahi kulalamika popote kwamba nimeonewa, again and again nimesema hivi:-