CHADEMA kushinda Endasak

<br />
<br />
Hivi wewe ukiziona hizo picha ndiyo utajitangaza mshindi wa Igunga. Eboooo

Mwita25,
Suala la Igunga lipo kwenye thread zake, hapa tunajadili uchaguzi wa udiwani Endasak. CCM kila mahali choka mbaya. wameoza mpaka basi.
 
Aise mi nimefika pale mwaka jana kanisa PAG pale ile watu wapale ni makin watafanya mambo
 
Mgombea udiwani katika kata ya Endasak wilaya hanang bwana Hasimu kamunga aka Muna apewa nafasi kubwa ya kushinda. Mgombea huyo ambaye alikuwa diwani wa eneo kwa tiket ya CCM sasa amehamia CHADEMA na anagombea tena Udiwani.

Mgombea huyo aliyetuhuimiwa kumpigia kampeni mgombea wa Chadema ana nafasi kubwa yua ushindi hasa kwa kuwa anakubalika kwa pande zote mbil.

Nipo hapa endasak kwa muda na naona msafara wa kubwa unaomsindikiza mgombea huyu kwenda kuchukua fomu.

Naona pia Mh Mary Nagu akihaha kunusuru kiti hicho. Lakini duru la siasa linasema anatwanga maji kwnye kuni.

ukiwa muongo walau uwe makini ndugu!!
 
CDM wawe makini sana ushini wa kuamika ni ule baada ya kutangazwa mtokeo angalie isije ikawa ya Mrema kusukumwa kwenye gari mwisho 27% Tanzania Bwana " si kebehi shangwe hizi ila ni muhimu kuwa makini kila second " big up jitahidi ulete picha mkuu
 
Back
Top Bottom