CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

Hata huyo kufuli haaminiki mbona!

Mkuu, hata hii ni assignment? inahitaji degree ya udaktari kujua kama hayo ni mawazo ya mwendawazimu?, Hata mawazo ya mwehu, yanakuwa assigment?
Vyama vingi walianzisha wao, walidhani mawazo ya wanamapinduzi hayatakua?
 
Naona sasa Wassira ameanza kazi yake ya uganga wa kienyeji na utabiri. Nadhani huyu ndiye mrithi wa shekh yahaya. Sura yake na hii kazi zina-match.
 
naona unataka sasa uanze udini au sio! Basi jua kwamba udini hauna faida kwani hakuna aliyepanga kuwa na dini so acha mi nimtaje Mungu ninayemwamini ambaye ni Mungu wa israel pia hata na ww unaruhusiwa kumtaja yule Mungu wa makka.
Ni hayo tu oustadh juma.

Du!!! hii kweli JF...Mkuu ss tuna Mungu tena ni yuleyule leo jana na hata,,,,,,!!
 
HIzi ni ndoto za mchana,anayetegemea CDM kuanguka ajipange maana anguko litakuwa la CCM na litakuwa ndiyo tunaizika CCM
 
Hivi yule waziri wa maliasili na utalii hajaanza kazi rasmi!!? Mbona harudishi wanyama waliotoroshwa mbugani na kupelekwa ikulu eti wazungu wasipate tabu ya kwenda maporini!!?
I like this, hivi huyu jamaa mbona hajui anaongea na Tanzania ipi?
 
Mkuu waridi niseme ukweli umenchekesha saaana,,,hata hivyo poleni kwa hayo maneno yanayowakosea adabu,,,, enyi wana NCCR ni upepo utapita tu!!!
Mkuu Kaburungu,
Cheka kwa kadiri utakavyo lakini ukweli wetu ndio huo, ndani ya NCCR tupo wanachama waaminifu tusioteteleka kwa lolote lile, wanaoendelea kuimba nyimbo za uchuro kamwe hawatafanikiwa (ila kama nilivyosema; hawana adabu)
 
Kauli kama hizi ni kero kwetu wanachama hai wa NCCR, sisi hatujabaki historia tupo na tunaendelea kuwepo. Maneno yenu mengine yanatukosea adabu

Duuuh! Kumbe bado NCCR ipo na inawanachama.. Sijawahi kusoma kabla mwanajf akijitanabaisha NCCR..

Pole mjumbe!
 
Du!!! hii kweli JF...Mkuu ss tuna Mungu tena ni yuleyule leo jana na hata,,,,,,!!

mkuu kazi kwel kwel yani watu hawana hata religion tolerance koz mi kumtaja Mungu ninayemwan alafu mwingine anakuja kucritize vitu. Duh..!
 
huyu homosapiens aliyebadilika akashindwa kuwa binadamu kamili akakomea kwenye homohabilis ndiye anayewahangaisha humu jamvini?
 
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mahusiano Stephen Wassira amesema chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kitakumbwa na mgogoro mkubwa ndani ya kipindi kifupi kijacho.Wassira amesema mgogoro huo ndio utakaopelekea kusambaratika vibaya chama hicho na kubaki historia hapa nchini.Amesema mgogoro huo utahusiana na Uongozi na kuwaomba wananchi wavumilie kidogo ili washuhudie anachokisema.
Wassira amesema CDM ni chama cha hovyo na cha ajabu kilichojaa ubinafsi wa hali ya juu.Amesema CDM kimekuwa kikipinga kila kinachofanywa na serikali ya CCM na kwao CDM hakuna zuri la CCM tangu uhuru wa Taifa hili.

Source:Majira Jumapili.

Nadhani anatafakari
 
Tunasubiri kuona jinsi unabii huo wa uongo utakavyoshindwa kutimia.
 
Humu JF ndo kuna matusi hasa ukikikosoa chama fulani ktk jukwaa la Siasa ni Demokrasia ya wapi wanajisikia wao tu ni bora na wanaomtegemea MUNGU wao wengine hawana MUNGU, au makabila fulani ya ukanda fulani ni bora wawe na nchi yao
Wassira anajua ni cheo gani kitakachowachanganya kwani Wangwe na Zitto yaliwakuta na leo Shibuda.

Haya na mm nasubiri mitusi
 
Back
Top Bottom