CHADEMA kupoteza kura za akina mama, waislamu na vijana Igunga

Kama wataipa ccm au cuf KWA SABABU HIYO basi to Hell....waipe!
Nasikia kuna mwanamuziki alipata kuimba juu ya mtu aliyetema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa!
Kama Hoja inayobuniwa overnight na wanapropaganda inaweza kumfanya mtu abadili uamuzi utakaomcost kwa miaka 5, basi ujue hakuna dawa kwa mtu huyo, na hata angekupa kura, basi ujue ingeleta shida baadaye!
Hivi IPUMBULYA ni wapi NA MAANA YAKE NINI?
sisi wengine nilo neno lina maana hiyo ambayo iko bold na nyekundu...sioni shida kama watu wanaokalia hiyo red wakiinyima kura chadema kama watafikiria kwa kutumia kiungo kilichonyuma ya red and bold.
 
Vaa tu mkuu, ila jamaa kweli wako vibaya sana hapa Igunga,, wananchi wanasema watawatoa nishai asubuhi mapema saa 3 tu, kura zitakuwa zishatosha. mbaya zaidi wame panic maana na muda ndo huoooooo. Bora wangetuliza akili.

magamba bwana! kaz ipo
 
Duh hii kali,hii nchi tunahitaji maombi..suala la kumvua mtu mtandio linafanya watu wachague mtu ambaye atawatesa miaka mitano ijayo?kweli hizi dini zina matatizo...napata wasiwasi na upeo wa viongozi wa hizi dini na waumini wao ambao uwezo wao wa kufikiri ni mdog sana...ndo maana wanatumika
 
Hapa wanashabikia CCM au muziki?............hao watoto wanasoma saa ngapi?

attachment.php

msimu dogo janja hawajamchukua, kwenye kampeni ya mwaka jana ya jk alimtumia mtwara.. Lini watoto wataachwa kutumikishwa.
 
Kama ndo hivyo basi kumbe karata ya udini ya CCM inafanya kazi, lakini hakuna mbinu chafu ya kuchonganisha watu kwa udini itakayodumu, na ikichujuka watatuletea bunduki tupigane wenyewe kwa wenyewe ili wabaki madarakani !
 
Mimi sijui kama huyu DC ni Muislam au Mkiristo.
Kilichopo ni udhalilishaji aliofanyiwa huyu mama ni jinai.
Hivi kama huyu mama ni Mkiristo akivuliwa nguo mpaka tumbo likabaki wazi huo utakuwa sio udhalilishaji?

Mwanamke wa Kitanzania lazima aheshimiwe, hata hakiwa Mkiristo, Muislam, Pagan, hakuna mwenye mamlaka ya kumdhalilisha mwanamke yoyote kumvua nguo zake na kumuacha uchi bila ridhaa yake

poor mind.! Very poor., kwa hiyo bakwata ndo chama cha kutetea haki za wanawake huh? Na mnajitahidi ndo mana mawaidha yenu yote yana husu wanawake..ni mapepo ndo yanawasumbua
 
sisi wengine nilo neno lina maana hiyo ambayo iko bold na nyekundu...sioni shida kama watu wanaokalia hiyo red wakiinyima kura chadema kama watafikiria kwa kutumia kiungo kilichonyuma ya red and bold.
Matusi haya.
OTIS.
 
hakuna hijab inayoonyesha maumbile ya mwanamke, kama gauni ya mikono mifupi, kuonyesha sehemu ya kifua na kuvaa gauni na sehemu za miguu ya mwanamke zikionekana.
Hadaa tupu! Hizo ndizo propaganda feki za ccm. Huyo mwanamke mkuu wa wilaya mfuga nguruwe ni mwislamu wa dhehebu gani? Kama ni swala la wanawake kudhalilishwa, na yule mwanamke aliyedhalilishwa kwa kuvunjiwa heshima na Mwigulu Nchemba ndani ya guest house je! Hao mashehe ni njaa tu!
 
wanawake wanatugharimu sana tz,wanapigia sana ccm kwa sababu ya nyimbo za akina komba na pia kuangalia sura na maumbile ya mtu..Walimpa JK eti handsome...
Mkuu umenena akinamama ni wagumu sana kuelewa somo,nitakupa mfano mama yangu mzazi alikuwa ni gamba damu na ilikwa c rahisi kumbadilisha kwa maoni kwamba ccm nndio ime2pa elimu bure na kuna amani,lakini ckuchoka kumuelimisha,blive me kwa sasa hakuna m2 yuko against ccm km mama nafurahi sasa ukoo mzima hakuna gamba.Kwa hyo ni vizuri kukawa na mkakati maalum wa kuwaelimisha wanwake maana wanapumbazwa kuwa kuchagua upinzani ni kuchagua vita.
 
Kila uchaguzi unapofika waislam tumekuwa mtaji kwa wanasiasa hasa ccm kutimiza matakwa yao,lkn wakishapata tunasahaulika jumla.

Wakati wa uchaguzi mkuu nilionya kuhusu hili suala la udini na kumkingia kifua kikwete kama mwenzetu,ukweli nguvu waislam tunayotumia kumlinda kikwete na ccm yake ni kubwa sn lkn malipo hakuna,kikwete hana uislam wwte wakutufanya waislam tutembee kifua mbele na kumsifu,
Hakuna ttzo la kuchagua mkristo kutuongoza ikiwa ni muadilifu,
Wakati wa mtume muhammad saw baada ya maudhi kuwa makubwa kwa waislam mtume aliwaamuru swahaba zake waende habash ethiopia,wakati huo ethiopia ilikuwa inatawaiwa na mfalme mkristo lkn mtume aliwaambia kule mtaishi kwa amani na mtapata kumuabudu mungu wenu m1,ni kweli walikaa habash kwa amani kubwa hata huyu mfalme alipofariki mtume alimswalia sala ya jeneza,

Kwa hyo waislam wenzangu wa igunga udini wekeni pembeni chagueni mtu ataewafaa
 
wanawake wanatugharimu sana tz,wanapigia sana ccm kwa sababu ya nyimbo za akina komba na pia kuangalia sura na maumbile ya mtu..Walimpa JK eti handsome...
aisee ni kweli tn hasa wanawake wa kiswahili wanamatatizo kweli wakipewa chai ya hiliki na kanga basi wanajiona wako peponi,
 
Hii ya udini ni TURUFU kwao na itawachukua CDM miaka ili kuweka mambo sawa. Ila CCM mnaongeza chuki kwa Wakristo. Mungu na awalaani
 
Udini hauna nafasi katika nchi hii, CDM haina sababu ya kuwabembeleza watu wenye fikra kama hizo kuwapigia kura kwania suala la huyo DC lilishatolewa ufafanuzi na hatua za zinaendelea kutekelezwa.
 
poor mind.! Very poor., kwa hiyo bakwata ndo chama cha kutetea haki za wanawake huh? Na mnajitahidi ndo mana mawaidha yenu yote yana husu wanawake..ni mapepo ndo yanawasumbua

Epuka generalization yako..kuhusu mambo yanayohusu dini yetu tukufu...

Mawaidha yetu yanahusu mambo yote ikiwemo Islamic financing, Leadershiph, family (wanawake)

Go and read..usipotoshwe na mikutano yenu ya jumuiya za kila wiki..ambayo mnajazwa chuki ili mharibu amani ya Tanzania.oops
 
Back
Top Bottom