CHADEMA kupoteza kura za akina mama, waislamu na vijana Igunga

hivi na hao 'wananchi' upande wa kulia mwa picha watampa au watamnyima!?

By the way, ni juu ya watu wanaoishi kwa wakati huo wenye kuweza kufanya historia! Sana sana Lipumba, James Mapalala, Edwin Mtei, Chifu Fundikila, Dr. Slaa, Zitto Kabwe, Kafulila nk watakuwa wanakumbukwa na historia ya Tanzania kuwa waliwaeleza wananchi usiku na mchana lakini hawakusikia na kwa vile ni vigumu kuwa na jeshi la mtu mmoja na wao hawakuweza kuendelea na hiyo 'vita' lakini walijitahidi kufikisha ujumbe.

Kwani kuna baadhi ya wawakilishi wa majimbo ambayo mtu unaona hata aibu kusema natokea kwenye watu waliomchagua huyo mtu kufuatana na kutostahili kwake lakini haya yote yametokea hapahapa TZ.

Tuwaachie wana Igunga wafanye uchaguzi wao na historia itawasoma hivyo!

Mfano: Maji marefu
 
Dr. Willibrord Slaa
Kauli ya Zitto kwa wana Igunga;Kumbukeni kuwa uchaguzi huu si wa kuamua nani anajua kutukana, nani kavuliwa hijabu ni uchaguzi uliolenga kumpata Mbunge wa Igunga atakayeshughulika na matatizo ya watu.Chadema hatuahidi maziwa na asali kwa wakazi wa Igunga, kazi zetu Watanzania mmeziona na mkatuongeza hadi kufikia 48 na sasa tunataka Igunga mtuongezee mtu wa 49 ili kutuongezea nguvu ya kufanya kazi.

Ni wapiga kura wachache sana wataelewa hii kauli ya Zitto Kabwe.
 
Mwenzio akinyolewa wewe tia maji. Zambia wameonyesha njia last week na tuko kwenye kero hizo hizo. Wasome alama za nyakati na waache kueleza kizazi hiki eti wameleta uhuru. Kama iila kona kuna kero wajiulize mara mbili mbili. Tumesikia wakisema kwenye ufunguzi kuwa Rostam kaleta maendeleo Igunga. Kwa jinsi tunavyoshuhudia kwenye picha na matukio, inabidi tuangalie upya dhana ya maendeleo. Nadhani watu sasa wamezinduka na hawataki kusikia ngonjera tena wanahitaji huduma.
 
kumbe wewe wa lini? Mbona kama vile bado una kamba mguuni?
Bila CCM maisha yako nayo hayawezi kwenda. Hata hao viongozi wenu wa upinzani wanaitegemea CCM.
Hawakuambii tu directly...inabidi uujue mchezo uliopo kwenye siasa ndio uanze kuongea
 
Hapa wanashabikia CCM au muziki?............hao watoto wanasoma saa ngapi?

attachment.php
[/QUOT

Yaani huu ndio umati anaosema? Angalia watoto wanavyolazimishwa kunyoosha mikono na mzigo nyuma. CCM acheni hii ni kashfa kubwa sana kwa hawa watoto. Halafu mnazubutu kuweka hadharani, ikumbukwa itakuwa historia kwa vizazi vijavyo.
 
Alicho kifanya Salimia amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujaza upupu ndani ya vichwa vya watu...


Ukweli ni kwamba chadema inawapeleka mbio CMM, kiasi kwamba wamekata tamaa na wanajua kabi sa kuwa jimbo l Ingunga ni mali ya chadema. Anacho fanya salimia ni kujifariji tu...

Ukipata nafasi ya kuongea na wana CMM waliopo hapa Iigunga watakupa ukweli kwamba hawana chao kama watategemea kura za kwenye sanduku tu.
Kwani alichoongea ni uongo? Je si kweli kwamba CDM walimvua hijabu yule mama? Si kweli kwamba walimburuta na kumvuta? Si kweli kuhusu tindikali? Nadhani Salimia kasema anachokiona na kusikia huko Igunga. Tusipende kujipa moyo tu,, face the reality now!! Ukilikoroga utalinywa! Tarehe mbili hiyoooooooooooo, watu wanapigwa mapema sana asubuhi,, yaani fasta!! kura zinatosh watu wanaendelea na life,, wengine maandamano
 
Tupo katika kijiji cha Ipumbulya kata ya Bukoko wilayani Igunga kwenye mkutano wa kampeni. Duru za siasa zinasomeka kwamba kwa kitendo cha CDM kumdhalilisha yule mama DC, tayari akina mama hapa walikuwa na kikao cha pamoja na kuazimia kuitosa CDM. Na pia kwa kumvua Hijabu yule mama ikiwa ni kinyume kabisa na dini ya Kiislamu, mashehe na waumini wote wa dini hiyo wamesema jana kwamba CDM inastahili adhabu na adhabu hiyo wataipata tarehe 2. Sheikh Mwinyiusi Mpugusi alisistiza kwamba si adhabu bali ni ADHABA. Nao mtandao na ndugu wa kija aliyemwagiwa tindikali, nao wameazimia the same.
Watafiti wa masuala ya kisiasa kwa kuzingatia hayo wanaipa nafasi kubwa CCM, ikifuatiwa na CUF. Nadhani picha hii ina kaukweli ndani ya hayo.

huo ulikuwa ni mpango mmoja wapo wa CCM, kuwalaghai wananchi ili waone washindani wao hawafai. nawambia wana igunga kuwa waipe CCM kura zao ila wasililie mtu, shida walizonazo zitazidi maradufu, katika uchaguzi mkuu uliopita rafiki yangu ambae ni mmoja wa viongozi wa ngazi za juu serikalini upande wa usalama alisema " Watanzania tutajuta tukiirudisha CCM madarakani tena'' sasa hali imekuwa ngumu kuliko hata kipindi cha kwanza cha serikali ya Jakaya na itazidi kuwa ngumu zaidi kwa muda uliobaki.
Japokuwa tupo katika hali ngumu, lakini bado 2015 CCM itakuja na uongo mwingi na wananchi watapigia kura tena kisha baada ya hapo wataanza kulia hali ngumu.

CCM inatumia lugha ya udini ilikujipatia kura, lakini itawatokea puani,

wababa wa igunga na vijana wakiume watoe tamko lao kuwa hatapigia kura CCM kwaajili ya kiongozo wa CCM alitembea na mke wa watu huko igunga.
 
Tupo katika kijiji cha Ipumbulya kata ya Bukoko wilayani Igunga kwenye mkutano wa kampeni. Duru za siasa zinasomeka kwamba kwa kitendo cha CDM kumdhalilisha yule mama DC, tayari akina mama hapa walikuwa na kikao cha pamoja na kuazimia kuitosa CDM. Na pia kwa kumvua Hijabu yule mama ikiwa ni kinyume kabisa na dini ya Kiislamu, mashehe na waumini wote wa dini hiyo wamesema jana kwamba CDM inastahili adhabu na adhabu hiyo wataipata tarehe 2. Sheikh Mwinyiusi Mpugusi alisistiza kwamba si adhabu bali ni ADHABA. Nao mtandao na ndugu wa kija aliyemwagiwa tindikali, nao wameazimia the same.
Watafiti wa masuala ya kisiasa kwa kuzingatia hayo wanaipa nafasi kubwa CCM, ikifuatiwa na CUF. Nadhani picha hii ina kaukweli ndani ya hayo.

hao watu wengi wako wapi, mikutano mingi ya ccm imejaa watoto tu
 
Hata ikitokea CDM kutawala bado itataka DC wake na RC wake waheshimiwe inakuaje wanaotegemewa kushika serikali.

Hawoneshi upevu na badala yake wanaonesha vitendo vya kihuni kila kukicha, kuna makundi yanachupikia ndani ya CDM isije kutokea CDM wakajiundia kundi lake la ulinzi au kundi la kutuliza ghasia.
Kwani utakuwa ndio mwanzo wa kuilekeza Tanzania kwenye vurumai kama Somalia

Kweli jamiiforum inaanza kupoteza maana,suala la mtandio limeitwa hijabu na hicho ndio kigezo cha Chadema kunyimwa kura!!?,mauaji yaliotokea Arusha/Nyamongo/Mbeya na kwingineko nchini kwa polisi kuua raia hatuoni mkipaza sauti.Kweli dunia Tambara bovu
 
wanawake wanatugharimu sana tz,wanapigia sana ccm kwa sababu ya nyimbo za akina komba na pia kuangalia sura na maumbile ya mtu..Walimpa JK eti handsome...
 
Tanzania nchi ya ajabu sana... badala ya kuangalia sera wanaangalia mtandio... kesho wakikosa sukari wanaiomba serikali

upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom