CHADEMA kupoteza kura za akina mama, waislamu na vijana Igunga

Tupo katika kijiji cha Ipumbulya kata ya Bukoko wilayani Igunga kwenye mkutano wa kampeni. Duru za siasa zinasomeka kwamba kwa kitendo cha CDM kumdhalilisha yule mama DC, tayari akina mama hapa walikuwa na kikao cha pamoja na kuazimia kuitosa CDM. Na pia kwa kumvua Hijabu yule mama ikiwa ni kinyume kabisa na dini ya Kiislamu, mashehe na waumini wote wa dini hiyo wamesema jana kwamba CDM inastahili adhabu na adhabu hiyo wataipata tarehe 2. Sheikh Mwinyiusi Mpugusi alisistiza kwamba si adhabu bali ni ADHABA. Nao mtandao na ndugu wa kija aliyemwagiwa tindikali, nao wameazimia the same.
Watafiti wa masuala ya kisiasa kwa kuzingatia hayo wanaipa nafasi kubwa CCM, ikifuatiwa na CUF. Nadhani picha hii ina kaukweli ndani ya hayo.

Ukiwa masikini wa akili ni kitu kibaya sana, wanasoma lkn hawaelewi,wanaambiwa lkn hawasikii,wanaelimishwa lkn hawaelimiki, sikio la kufa halisikii dawa,Chadema itadumu na itastawi hata kama propaganda za kiukosefu wa fikra pevu zikiendelea.Mungu ibariki Chadema ,Mungu ibariki Tanzania.
 
kwa porojo za udini kweli wewe kinara, ila najua we kiraza kwa kuwa wajua Fatma ni Mkristo na Mumewe hufuga Nguruwe pale Mwenge sasa wewe washikiria Udin kama chama chako.

Mimi sijui kama huyu DC ni Muislam au Mkiristo.
Kilichopo ni udhalilishaji aliofanyiwa huyu mama ni jinai.
Hivi kama huyu mama ni Mkiristo akivuliwa nguo mpaka tumbo likabaki wazi huo utakuwa sio udhalilishaji?

Mwanamke wa Kitanzania lazima aheshimiwe, hata hakiwa Mkiristo, Muislam, Pagan, hakuna mwenye mamlaka ya kumdhalilisha mwanamke yoyote kumvua nguo zake na kumuacha uchi bila ridhaa yake
 
Hiyo Picha inaonesha wanachama wa CCM na watoto na sio wapenzi wa CCM!!!! CDM ushindi aslimia 100, na hakuna uchakachuaji mwaka huu, maana vijana hapa Igunga tumejipanga kwelikweli...!!!
 
Mimi sijui kama huyu DC ni Muislam au Mkiristo.
Kilichopo ni udhalilishaji alifanyiawa huyu mama ni jinai.
Hivi kama huyu mama ni Mkiristo akivuliwa nguo mpaka tumbo likabaki wazi huo utakuwa sio udhalilishaji?

Mwanamke wa Kitanzania lazima aheshimiwe, hata hakiwa Mkiristo, Muislam, Pagan, hakuna mwenye mamlaka ya kumdhalilisha mwanamke yoyote kumvua nguo zake na kumuacha uchi bila ridhaa yake
nahunga mukono hoja. unyanyasaji autakiwi kabisa ni chukizo mbele ya ALLAH. Wacha dhambi hio iwahukumu talehe 2
 
Wana-Igunda wanasema: Walianza kwa kutusema sisi tuna 'fisadi' wakapelekea kutuvua GAMBA, sisi tumetulia tu, Wakaja kwa kutuvua NGOZI kwa tindikali, Sisi tumetulia tu, hawakuishia hapo wakatutoa na vilemba kichwani. Sasa tunasema tutawapa jibu letu tarehe 2, na huo ndio utakuwa mwisho wao.
 
Tupo katika kijiji cha Ipumbulya kata ya Bukoko wilayani Igunga kwenye mkutano wa kampeni. Duru za siasa zinasomeka kwamba kwa kitendo cha CDM kumdhalilisha yule mama DC, tayari akina mama hapa walikuwa na kikao cha pamoja na kuazimia kuitosa CDM. Na pia kwa kumvua Hijabu yule mama ikiwa ni kinyume kabisa na dini ya Kiislamu, mashehe na waumini wote wa dini hiyo wamesema jana kwamba CDM inastahili adhabu na adhabu hiyo wataipata tarehe 2. Sheikh Mwinyiusi Mpugusi alisistiza kwamba si adhabu bali ni ADHABA. Nao mtandao na ndugu wa kija aliyemwagiwa tindikali, nao wameazimia the same.
Watafiti wa masuala ya kisiasa kwa kuzingatia hayo wanaipa nafasi kubwa CCM, ikifuatiwa na CUF. Nadhani picha hii ina kaukweli ndani ya hayo.

HK bana bwahahaha ahahahah! siku zote mnajisahau kufuta fingerprints hahaha ahahaha ahahaha!!!!!!!!!!!!!!!! na mwenzio Rejao anakuja lini Igunga??????? Hahaha ahahaha ahahaha!
 
Hali ilianza kubadilika baada ya Wassira kumshambulia Mbowe akisema kambi ya upinzani iko ovyoovyo na kwamba hata Baraza la Mawaziri kivuli alilounda Mbowe ni kama halipo na mawaziri hao kivuli hawaeleweki.

"Huwezi kusema Serikali yetu ni dhaifu wakati hata baraza hilo unaloliita kivuli ni ovyo tu ni kama halipo, hata hao mnaowaita mawaziri kivuli hawaeleweki kila mtu na lake," alisema Wassira na kusababisha tafrani ndogo huku mtangazaji wa TBC1, Elisha Elia akijitahidi kuingilia kati.

WASIRA HAPA ALISEMA UKWELI MTUPU!
ASANTE KWA LINKI MKUU
 
Sidhani kama waislamu ni shallow kiasi hicho, kuna baadhi tu wanataka wakamilishe maslahi yao kwa mgongo wa Uislamu, laiti ningekuwa muislamu...
 
Maisha yako hayaendi bila CCM that y unadhani kila mtu ana akili za kitumwa kama wewe.
Bila CCM maisha yako nayo hayawezi kwenda. Hata hao viongozi wenu wa upinzani wanaitegemea CCM.
Hawakuambii tu directly...inabidi uujue mchezo uliopo kwenye siasa ndio uanze kuongea
 
Tupo katika kijiji cha Ipumbulya kata ya Bukoko wilayani Igunga kwenye mkutano wa kampeni. Duru za siasa zinasomeka kwamba kwa kitendo cha CDM kumdhalilisha yule mama DC, tayari akina mama hapa walikuwa na kikao cha pamoja na kuazimia kuitosa CDM. Na pia kwa kumvua Hijabu yule mama ikiwa ni kinyume kabisa na dini ya Kiislamu, mashehe na waumini wote wa dini hiyo wamesema jana kwamba CDM inastahili adhabu na adhabu hiyo wataipata tarehe 2. Sheikh Mwinyiusi Mpugusi alisistiza kwamba si adhabu bali ni ADHABA. Nao mtandao na ndugu wa kija aliyemwagiwa tindikali, nao wameazimia the same.
Watafiti wa masuala ya kisiasa kwa kuzingatia hayo wanaipa nafasi kubwa CCM, ikifuatiwa na CUF. Nadhani picha hii ina kaukweli ndani ya hayo.

Kwa mujibu wa maelezo yako na picha husika umewazungumzia hawa kina mama nane waliovaa vitamba na kanga mlizowagawia, mbona hujazungumzia hilo kundi kubwa la watoto wa shule ya msingi waliojaa hapo mbele kwa nia ya kuwapa backup ionekane mkutano ulijaa.Kuhusu swala la Sheikh Mwinyiusi Mpugusi na BAKWATA kuhusu uislam wa DC Bi.Fatuma Joseph Kimario Kanisa la Mbezi,Na mume wa DC wameshaweka wazi kuwa waislam wasio waelewa wanampigania mkatoliki kwa kumsingizia ni muislam, Ila kwa upande mwingine kiuchumi nafurahi kuona shura ya maimam na Bakwata wanatetea ufugaji na ulaji wa nguruwe kupitia DC huyu so tunazidi kuongeza wateja na faida ya biashara yetu inaongezeka.
 
Mimi sijui kama huyu DC ni Muislam au Mkiristo.
Kilichopo ni udhalilishaji aliofanyiwa huyu mama ni jinai.
Hivi kama huyu mama ni Mkiristo akivuliwa nguo mpaka tumbo likabaki wazi huo utakuwa sio udhalilishaji?

Mwanamke wa Kitanzania lazima aheshimiwe, hata hakiwa Mkiristo, Muislam, Pagan, hakuna mwenye mamlaka ya kumdhalilisha mwanamke yoyote kumvua nguo zake na kumuacha uchi bila ridhaa yake
Nyie wote hapa ni sehemu ya watanzania walioathirika na unafiki, na ndio nyie mpaka leo mnaishi utumwani. Suala la mkristo muislam kwanza hiyo ni wewe unamsemea. Vazi haliwakilishi dini, mbona muislam mrema alikimbizwa na mabomu ya machozi mpaka kibaraghashia kikachomoka ? Uislam mlitoa tamko? narudia, siasa ya ccm inkaribia kufa sasa inatafuta mtu wa kufa naye, ikikatisha dini twende, ukabila twende ukanda twende na haya yote walianzia kwa kafu na sasa wanataka kwa chadema pia.
-kuna mtu asiyejua makonda wamekua wakisuma watoto wasipande daladala wengine mpaka wandosha shungi nakufa and yet and nobody complains like what we are seing now katika haka kauchaguzi kadogo, watch out dont be deceived so cheaply.

Kwanza nyie hamkushtukia tuu baada ya tukio lile wali lenga kuwashambulia tgnp,tamwa kijinga tena nasema kijinga kwa kusema mbona hawajamtetea na wakati mnaona polisi walichukua uamuzi wa kuwakamata chadema, sasa mnataka kutetewa na wakati sheria (tena ya uongo) imeshachukua mkondo wake? Na wale wanaouwawa na polisi bila makosa na sheria inanyamaza ni nani awateteee?????????????????
Ujinga unatutafuna tanzania(naangua kilio hapa)
 
Wenye akili timamu hawapo hapo, hapo ni watoto na akina mama ambao hawajitambui na uwezo wa kutofautisha mambo ni mdogo, ndiyo utawaona hapo.

Aluta Continuae

Hapa wanashabikia CCM au muziki?............hao watoto wanasoma saa ngapi?

attachment.php
 
Alicho kifanya Salimia amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujaza upupu ndani ya vichwa vya watu...

Ukweli ni kwamba chadema inawapeleka mbio CCM, kiasi kwamba wamekata tamaa na wanajua kabisa kuwa jimbo la Igunga ni mali ya chadema. Anacho fanya Salimia ni kujifariji tu...

Ukipata nafasi ya kuongea na wana CCM waliopo hapa Igunga watakupa ukweli kwamba hawana chao kama watategemea kura za kwenye sanduku tu.
 
Hiki cha mtoto mkutano huu hauna watu zaidi ys]a 50 ikiwa ni pamoja na watoto wa shule. Tumeona mikutano yao ya Igunga ikiwa na umati wa watu walikuwa kwenye mkutano wa PM kule Musoma. CCM wamekwama kabisa. Kwanza nguvu kubwa inayotumika kwenye kampeni ikiwa ni pamoja na kuwabeba viongozi wastaafu ambao walionekana si chochote na wagonjwa walioko kitandani kupanda jukwaani ni dalili za mtu mzima kukwama.

Kwa nini jimbo ambalo lilikuwa chini ya chama hiki linakuwa gumu au wanatumia gharama kubwa sana kiasi cha kuwapasua vichwa? Kuna mambo hawafanya kwa wananchi kwa miaka 50 ya uhuru. Kauli zao kama ile ya mtendaji wao mkuu kuhusu majasusi ni kielelezo tosha cha kufika mwisho wa safari. Kutumia siasa uchwara kuchomeka mambo ya udini ndani ya siasa. Kwa udandiaji huu tu, CCM kwishne!
 
Dr. Willibrord Slaa
Kauli ya Zitto kwa wana Igunga;Kumbukeni kuwa uchaguzi huu si wa kuamua nani anajua kutukana, nani kavuliwa hijabu ni uchaguzi uliolenga kumpata Mbunge wa Igunga atakayeshughulika na matatizo ya watu.Chadema hatuahidi maziwa na asali kwa wakazi wa Igunga, kazi zetu Watanzania mmeziona na mkatuongeza hadi kufikia 48 na sasa tunataka Igunga mtuongezee mtu wa 49 ili kutuongezea nguvu ya kufanya kazi.
Mkuu,watu makini hufanya maamuzi makini.Vitendo vinajitosholeza kudhihirisha ipi ni maziwa na ipi ni tui la nazi. Wakutatua matatizo ya wana Igunga anajulikina na kila Mtanzania.
 
Back
Top Bottom