CHADEMA kupata ofisi mpya ya Makao Makuu-Mwenge

Sabodo nim2jasiri mwenye kupenda maendeleo ya nchi yake. Ni matajiri wangapi wanaweza kujitokeza hadharani na kusaidia CDM? Wengi wanauwezo ila wanaogopa wakifanya hivo either watachunguzwa mali zao maana hawazipati kihalali au kuna ukiukwaji mkubwa ktk ulipaji wa kodi. Go go go on Sabodo.
 
Ninashangazwa na kitendo cha chama kikuu cha upinzani kutokuwa na ofisi za kudumu , na kwa masikitiko makubwa hata hiyo ruzuku wanayopata ndio inatumika kununua utitiri wa magari .Kwa ufupi hiki chama hakina mipango endelevu hata kidogo.
 
CCM matumbo moyo.

Harakati za mapinduzi zinakaribia kufanikiwa.
 
Nadhani pale sio Mwenge ni Mikocheni...angalizo Chadema kuweni makini kuna baadhi ya vitu chama kinatakiwa kufanya kwa nguvu zake, siku Sabado hakiwa hayupo familia yake wakalitaka jengo lao itakuwaje?
Tahadhari na wewe pia! CDM sio CCM, Wanajali umakini wakati wa kuingia mikataba yao. Hivyo hakuna hofu yoyote iwapo Mzee huyu kwa Mapenzi ya MUNGU atatoweka Duniani! Rest assured, there will be no problem at all my Friend!
 
Back
Top Bottom