Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
ni jambo la kumshukuru Mungu
Huwa sikubaliani sana na misaada. Haya ndio yanaifanya CCM wasiweze kufurukuta leo mbele ya akina Rostam. CHADEMA inabidi wawe makini sana
Ben,
Nashukuru kwa kutoa alert ingawa unaibatiza mijadala yetu kuwa ni ya kipuuzi. Lakini nina swali kidogo. Baada ya Uchaguzi wa BAVICHA kumalizika nakumbuka Dk Slaa alitoa kauli nzito kwamba wameweza kutokomeza mapandikizi kutoka CCM. Ni wazi kauli hii ililenga kutoa taarifa juu wasiwasi wa baadhi ya wagombea ambao waliota kama uyoga na kuwa maarufu kwenye harakati za kampeni. Emu tufafanulie maana na wewe ulikuwa ni miongoni mwa wagombea mlioenguliwa. Ni nani Dk Slaa alikuwa anamlenga kwamba ni mbegu ya CCM iliyoletwa kupandikizwa ndani ya BAVICHA?
wewe kwa akili yako watakabidhiana jengo bila doccumention au mikataba yoyote??Nadhani pale sio Mwenge ni Mikocheni...angalizo Chadema kuweni makini kuna baadhi ya vitu chama kinatakiwa kufanya kwa nguvu zake, siku Sabado hakiwa hayupo familia yake wakalitaka jengo lao itakuwaje?
Huyu mzee huwa hababaisha ukishasikia hivyo jua kila kitu kiko kwenye pipeline.Pamoja na kujaribu kueleza kuwa umeinukuu habari hii,hakuna sehemu ambapo Mzee Sabodo amesema amewapa CHADEMA jengo wala ofisi,amesema "nitaongea na washauri wangu kuona uwezekano".
Nyingi ya biashara zake hazitegemei TRA.Ccm inaweza kumhujumu Sabodo kupitia TRA hawanaga aibu wale.
Ni upuuzi kusifia mtu kwa lugha yake unaonyesha ulivyo low kwenye thinking ability.Teeeh.....teeeeh. Kweli TUMBIRI kula kwa akili dunia haina siri. Unataka kusema BEN ni TISS, ama ndiye pandikizi la CCM ndani ya CDM?. Nimjuavyo mimi Ben ni kijana machachali ndani ya CDM na ni hazina iliyowekwa kama akiba kwa baadaye. Ben anauwezo wa juu sana mbali na lugha yake ya kigeni (mimi sio mpenzi wa lugha hii) ila ni mjuzi wa kujenga hoja na kuitetea. Sasa mbona mnafanya kama Nabii asiyekubalika kwao? Tafadhali Quinene na Tumbiri "reload" your network and come again.
Kweli wewe ni makalio hasa, kwani umeambiwa taratibu za kisheria hazitafuatwa? taabu ya elimu ya shule za kata!Nadhani pale sio Mwenge ni Mikocheni...angalizo Chadema kuweni makini kuna baadhi ya vitu chama kinatakiwa kufanya kwa nguvu zake, siku Sabado hakiwa hayupo familia yake wakalitaka jengo lao itakuwaje?
Nadhani pale sio Mwenge ni Mikocheni...angalizo Chadema kuweni makini kuna baadhi ya vitu chama kinatakiwa kufanya kwa nguvu zake, siku Sabado hakiwa hayupo familia yake wakalitaka jengo lao itakuwaje?
Tanzania itajengwa na wenye moyo kama Mzee Sabodo,Mungu amtunze na aulinde uzee wake.Amen