Chadema kuongeza umaarufu hadi vijini

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Kulingana na aina ya siasa zinazoendelea katika nchi yetu, imeonyesha CDM itaongeza umaarufu maradufu wakati ccm itapoteza zaidi heshima na kukubarika. Hii imetokana na ushindi uliopataikana katika uchagunzi mdogo wa Ubunge Arumeru Mashariki, pia pale uchagunzi wa kumrudisha Lema ukifanyika na akishinda CDM itaongeza kuaminika zaidi kwa wananchi wote na kukubali kauli ya "kama wao wameweza kwanini sio...". Hii ya Lema ni njia ya kuporomoka kwa sissem hapa nchini. We subiri.
 
Back
Top Bottom